Maisha yanaenda kasi sana

Upo Tanzania hii Mwenyekiti!!!
Yap Kuna kipindi nilikua mbali Sana na dunia. Bila simu, bila radio, bila kifaa chochote Cha mawasiliano.
Hadi kifo Cha mshua John nilihadithiwa TU.
Hiyo ilikuwa January 2021 mpaka 22 Feb.
Bila shaka kipindi hiki ndicho alichokufa Ana,
Nilistuka pia kuskia maalim Kashasha nae alifariki

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ulikuwa jera wewe
 
RIP MAKAMANDA MLIOFIA VITANI KAMANDA MTOI KAMANDA MAWAZO KAMANDA MWANA COTIDE MOULA NA WENGINE WENGI AMBAO TULIKUA NAO KWENYE MAPAMBANO
MTOI

Dah mara ya mwisho tulionana nae Lushoto Tanga kijiji cha Mlalo kwenye mazishi ya ndugu yake ambapo mie rafiki ndio alifiwa na mama yake. R.I.P
 
hakika inafikirisha sana ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…