Maisha yanaenda kasi sana

Maisha yanaenda kasi sana

Hardlife

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2021
Posts
2,758
Reaction score
6,299
R.I.P
Nyerere, Magufuli, B Mkapa, J Kijazi, Maalim Seif, Augustino Mrema, Basil Mramba, Reganald Mengi, Ruge Mutahaba, Beno Ndulu, Getrude Lwakatare, King Majuto, Mwl Kashasha, Maalim Gurumo, TX Moshi, Selemani Mbwembwe, Mwanyiro, Momba, Banza Stone, Waziri Sonyo, Mangwea, Langa, Kanumba, Masogange, Mpakanjia, Amina Chifupa, Joseph Mungai, Christopher Mtikila, Shekh Ilunga, Gorogosi, Mez B, Jebby, Sharo Millionaire, Subash Patel n.k, hii ni Tanzania tu!

Kweli Duniani tunapita na hawa ni wale baadhi ya watu maarufu tu. Unaweza ukaona kama juzi tu lakini ndiyo safari yetu.

Leo nimewakumbuka hawa. [emoji25][emoji29]

Mtaje unayemkumbuka ukijisikia.
 
RIP masikini wote waliokosa hata watu wa kuwazika wakazikwa na manispaa, Mpumzike kwa amani wanajeshi wote waliozikwa kwenye makaburi ya halaiki kwenye nchi za watu mkipigania wanasiasa au nchi yenu, Mlale salama bodaboda wote mliogongwa na kufariki hapo hapo.
 
Na hapa ndio kuna watu wengi sana.
 
Back
Top Bottom