Maisha yanaenda kasi sana

Maisha yanaenda kasi sana

Dr shika, Alphonse mawazo, kanumba, Agnes masogange, kinyambe, mandela, mwai kibaki, Daniel arap moi, pier nkurunzinza, jiwe, ruge mtahaba, fanuel zedekia, katibu wa Masanja (r.i.p), maalim seif, Dr agustine maiga, mzee mrema, Reginald mengi, Diego almando maradona,
 
R.I.P
Nyerere, Magufuli, B Mkapa, J Kijazi, Maalim Seif, Augustino Mrema, Basil Mramba, Reganald Mengi, Ruge Mutahaba, Beno Ndulu, Getrude Lwakatare, King Majuto, Mwl Kashasha, Maalim Gurumo, TX Moshi, Selemani Mbwembwe, Mwanyiro, Momba, Banza Stone, Waziri Sonyo, Mangwea, Langa, Kanumba, Masogange, Mpakanjia, Amina Chifupa, Joseph Mungai, Christopher Mtikila, Shekh Ilunga, Gorogosi, Mez B, Jebby, Sharo Millionaire, Subash Patel n.k, hii ni Tanzania tu!

Kweli Duniani tunapita na hawa ni wale baadhi ya watu maarufu tu. Unaweza ukaona kama juzi tu lakini ndiyo safari yetu.

Leo nimewakumbuka hawa. [emoji25][emoji29]

Mtaje unayemkumbuka ukijisikia.
MOMBA ndo yupi?
 
RIP baba yangu mzazi na mwandishi Mwangosi aliyefia mikononi mwa polisi,RIP wote waliikotwa ufukweni Coco Beach, RIP wote. Waliokufa kwenye Operation MKIRU. Kama da Hamza tutaonana baadae. Siku za kuishi wanadamu ni chache, nazo zimejaa tabu.
 
Aisee!! Bibi yangu, Babu yangu, Baba yangu, Mama yangu, Kaka yangu, Dada yangu, Mke wangu, Shemeji yangu!! Imagine how lonely iam.
 
Back
Top Bottom