Maisha yanaenda kasi sana

Maisha yanaenda kasi sana

My step father R.I.P
Ulikubali kuishi na Mama yetu tukiwa watoto 4 huku Watoto 3 wakiwa sio damu yako-ulitutetea pale tulipobaguliwa na ndugu zako.

Kupitia utu uzima wangu huu ndio nimetambua uamuzi wako ulikuwa wa kishuja na upendo-hukufikiria perception ya jamii na nduguzo.Ulichukua uamuzi ambao hata Mimi kwa sasa siwezi kuuchukua Mungu akurehemu huko ulipo,Daima nitaliendeleza Jina lako.
 
RIP Ruge
911F120B-F22D-4E67-A544-6341D8DDD743.jpeg
 
R.I.P
Nyerere, Magufuli, B Mkapa, J Kijazi, Maalim Seif, Augustino Mrema, Basil Mramba, Reganald Mengi, Ruge Mutahaba, Beno Ndulu, Getrude Lwakatare, King Majuto, Mwl Kashasha, Maalim Gurumo, TX Moshi, Selemani Mbwembwe, Mwanyiro, Momba, Banza Stone, Waziri Sonyo, Mangwea, Langa, Kanumba, Masogange, Mpakanjia, Amina Chifupa, Joseph Mungai, Christopher Mtikila, Shekh Ilunga, Gorogosi, Mez B, Jebby, Sharo Millionaire, Subash Patel n.k, hii ni Tanzania tu!

Kweli Duniani tunapita na hawa ni wale baadhi ya watu maarufu tu. Unaweza ukaona kama juzi tu lakini ndiyo safari yetu.

Leo nimewakumbuka hawa. [emoji25][emoji29]

Mtaje unayemkumbuka ukijisikia.
Duuh.
Ndio najua leo kumbe Mez B alishatangulia mbele ya haki.

#MaendeleoHayanaChama
 
Professor Haroub Othman, Professor Mushi, Professor Wangwe, The Genius of Football Godfrey Born Mwandanje, Mitimingi, Asasi, Said Bwana Mdogo, Samwel Sitta, Mzee Kandoro, Mzindakaya, Ditopile, Jaka Mwambie, Gulamali Abasi, Justin Mtekele, Hamis Gaga, Said Mwamba Kizota, Deo Filikunjombe, Sultan Mangungo wa Musovero, Omary Makunganya, Abushiri bin heri, Jackson Makweta, Charles Kabeho (waziri wa elimu enzi zetu primary), Mafuruki, Imran Kombe, Komandoo Tamim, Zackaria Hans poppe.
 
My step father R.I.P
Ulikubali kuishi na Mama yetu tukiwa watoto 4 huku Watoto 3 wakiwa sio damu yako-ulitutetea pale tulipobaguliwa na ndugu zako.

Kupitia utu uzima wangu huu ndio nimetambua uamuzi wako ulikuwa wa kishuja na upendo-hukufikiria perception ya jamii na nduguzo.Ulichukua uamuzi ambao hata Mimi kwa sasa siwezi kuuchukua Mungu akurehemu huko ulipo,Daima nitaliendeleza Jina lako.
Usimuangushe shujaa wako, ikitokea uamuzi uwe fast na rahisi sana kwako
 
Professor Haroub Othman, Professor Mushi, Professor Wangwe, The Genius of Football Godfrey Born Mwandanje, Mitimingi, Asasi, Said Bwana Mdogo, Samwel Sitta, Mzee Kandoro, Mzindakaya, Ditopile, Jaka Mwambie, Gulamali Abasi, Justin Mtekele, Hamis Gaga, Said Mwamba Kizota, Deo Filikunjombe, Sultan Mangungo wa Musovero, Omary Makunganya, Abushiri bin heri, Jackson Makweta, Charles Kabeho (waziri wa elimu enzi zetu primary), Mafuruki, Imran Kombe, Komandoo Tamim, Zackaria Hans poppe.
Nadhani utakuwa umemix madesa Professor Wangwe hajafa nadhani ulikuwa una maanisha Chacha Wange yule alikuwa Chadema. Dah Hans Pope huwa nikipita pale Visiga naona zile gari zake roho inaniuma sana, leo hii Simba ni wa kuzidiwa usajili na vijana wadogo wakina injia Hersi
 
R.i.p Babu yangu wajina kipenzi changu ulinipenda tangu nikiwa mdogo, upendo wako haukujificha mbele za ndugu zangu jamaa na marafiki.

R.i.p Mjomba wangu haakika ulikuwa zaidi ya wajomba kwangu ulikuwa mkali lakini kwangu tulielewana sanaa, ulikuwa rafiki kwangu saizi sina mjomba rafiki japo wapo 4 nitakumisi mjomba wangu japo naumia kukukosa.

R.i.p rafiki angu wa utotoni David upumnzike kaka, Maisha yako yalikatishwa na Baba ako mzazi kwa uongo aliopewa, leo mzee wako anasota gerezani mwaka wa 13 sasa.
 
Back
Top Bottom