mtegemea Mungu
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 290
- 507
Aisee!! Bibi yangu, Babu yangu, Baba yangu, Mama yangu, Kaka yangu, Dada yangu, Mke wangu, Shemeji yangu!! Imagine how lonely iam.
Pole sana kaka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!! Bibi yangu, Babu yangu, Baba yangu, Mama yangu, Kaka yangu, Dada yangu, Mke wangu, Shemeji yangu!! Imagine how lonely iam.
Dah 😢Aloshafariki Zizi mda tu, alifariki before Ruge I think
Kitambo nahisi ilikuwa 2018Hivi Godzilla aalifariki hivi!!??
Hivi alafariki 2018 kama sikoseiMda saana, stress & depression is real ikikuchukua inakutoa kwenye mchezo
Yaaah ni mwaka mmoja ila yeye alitangulia nafikirAloshafariki Zizi mda tu, alifariki before Ruge I think
Usiku wa kuamkia February 13, 2019 ndio alipofariki mkuu, ilikua siku ya JumatanoHivi alafariki 2018 kama sikosei
Kbsaa kafuruga Kweli nikapoteza uelekeo baadae najikuta napelekwa biasharaAsilale pema alituvurugia sana elimu yetu kwa maslahi yake binafsi
Godzilla, Cpwaa, Patrick Mafisango daah maisha haya
Wee umekumbuka mzigo mkuu[emoji41]Agness masogange namkumbuka sana na apumzike kwa amani.
Mwanzoni mwa mwaka jana nadhani, hatuko naye tena mwamba huyuCpwaa kafa lini mkuu[emoji3064][emoji102]
Dah😢Kitambo nahisi ilikuwa 2018
Huyu jamaa alikufa ?Pierre Liquid cha Pombe mzee wa Gambe
Yupo hai bado, anachonga furniture zake pale keko unaweza kumtembelea,Huyu jamaa alikufa ?