Maisha yanaenda kasi sana

Maisha yanaenda kasi sana

R.i.p baba yangu mzazi, nakukumbuka sana binti yako wa pekee, Nuru ya milele ikuangazie upendo wako kwangu hautakaa ufutike[emoji24]

R.i.p mama yangu mdogo mpenz uliekua na roho nzuri kuliko mtoto yoyote wa bibi yangu..tunakujumbuka sana watoto wako na dada yako anaumia sana sababu mliishi km mapacha, bibi haishi kukutaja kila siku! Mmeo amekonda mno na mji wako umechakaa! Pumzika kwa amani mama yangu wa pili.
 
Namm nitumie fursa hii kumkumbuka marehemu Bab yangu mzazi injinia w.m
Hakika tunakukumbuak San mm mwanao Bado sijao na sijui lini nitaoa umri inakwenda kwa Kas sna
 
Mleta mada hukumweka Mzee Daudi Balali hapo... ni miongoni mwa watu wakubwa Tanzania alikuwa, alitakiwa awepo hapo. 😂
 
R.i.p ndugu zangu wote mlio tangulia mbele ya haki,hakika nitawakumbuka sana siku zote hadi pale nitakapo ondoka

Babu yangu
Bibi yangu
Uncle wangu
Brother zangu

Wadogo zangu

Mama zangu
Na wanangu walio tangulia mbele ya haki ,pasipo kusahau jamaa na marafiki zangu wote.

Hakika tutaondoka sote,ni jambo la mda tu
 
Back
Top Bottom