Maisha yanaenda kasi sana

Maisha yanaenda kasi sana

Othuman Momba wa Msondo Ngoma Jazz Band. Ndiye aliyetunga wimbo wa "Lucy Bandawe" aliyekuwa mkewe kipindi yupo hai.
Nyumbani kwao pale Manyanya karibu na American Chips... kama unaelekea mtaa wa Ufipa.
 
Mama yangu kipenzi nitakukumbuka daima, wenzetu wote ndani ya nyumba hii Jamii forums na wote waliotutangulia tutawakumbuka daima.
 
Mama yangu na Bibi yangu, pumzikeni kwa amani[emoji24]
 
roho zenu zendelee kupumzika baba yangu mzazi mzee HM. wajomba zangu EN na GN, Mama zangu wadogo lilian na grace. kaka zangu edwin na emily......orodha ni ndefu sana. all in all we are dust and to dust we shall return.
 
R I P
  • Nyerere
  • Fidel Castro
  • Hugo Chávez
  • Lucky Dube
  • Chadwick Boseman
  • Che Guevara
  • Pablo Escobar
  • Tupac Shakur
  • Bruce Lee
  • Baba na mama
  • Mwamba kutoka Chato JPM
  • Mohamed Ali
Fidel Castro
Pablo Escobar
Beni nduru
Joseph Mungai ndo napata taarifa hapa leo!!!
 
AbdulWahid Sykes, na wote waliokufa bila kupewa Credits zao katika mambo mbali mbali, Mungu atafanya tuwajue na tuwape Credits zenu. Mashujaa wa ukweli nyuma Camera, Dua zetu nyingi muwe na maisha mazuri huko Akhera. Wapi Sheikh Ilunga, Mchungaji Mtikila, Bibi Titi... kwa wepsesi na wazito, Dunia mapito.
 
Pac, Biggie,Pun,Jam Master Jay, Freaky Tah ,Alliyah,Big L , Left Eye ,Pop Smoke , Trouble ,Young Dolph , LottaCashDesto,Huey,Nipse,xxxcenton.

Huey umenikumbusha mbali sana na inaelekea ni namna gani unafuatilia muziki wa hiphop wa mbele kiujumla..dah jamaaa nasikia alipigwa risasi huyu
 
AbdulWahid Sykes, na wote waliokufa bila kupewa Credits zao katika mambo mbali mbali, Mungu atafanya tuwajue na tuwape Credits zenu. Mashujaa wa ukweli nyuma Camera, Dua zetu nyingi muwe na maisha mazuri huko Akhera. Wapi Sheikh Ilunga, Mchungaji Mtikila, Bibi Titi... kwa wepsesi na wazito, Dunia mapito.
Wengine niliwataja kama Shekh Ilunga na Mch Mtikila
 
Kote mashuleni alifuta masomo ya;
Kilimo
Ufundi
Biashara
Wakati masomo haya yalifundishwa kwa vitendo zaidi na yaliweza kuajiri vijana moja kwa moja
Una ushahidi? Mimi nimesoma shule ya ufundi kipindi Mungai akiwa waziri wa elimu.
 
Back
Top Bottom