Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Amigolas mwenyewe mzee wa mustachi mkuuAmigolas!? Lini huyu jamaa!? Usije ukawa unamaanisha " baba Diana, baba Sharifa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amigolas mwenyewe mzee wa mustachi mkuuAmigolas!? Lini huyu jamaa!? Usije ukawa unamaanisha " baba Diana, baba Sharifa...
Madiya gani huyu mkuu, wakwe zangu hawaR.I.P SUCCESS P.MADIYA my son, nimekumiss sn aisee.
Pole sana Mkuu, wapumzike kwa amaniAisee!! Bibi yangu, Babu yangu, Baba yangu, Mama yangu, Kaka yangu, Dada yangu, Mke wangu, Shemeji yangu!! Imagine how lonely iam.
RIP Warumi aka Binamu!Mama yangu kipenzi nitakukumbuka daima, wenzetu wote ndani ya nyumba hii Jamii forums na wote waliotutangulia tutawakumbuka daima.
Fidel CastroR I P
- Nyerere
- Fidel Castro
- Hugo Chávez
- Lucky Dube
- Chadwick Boseman
- Che Guevara
- Pablo Escobar
- Tupac Shakur
- Bruce Lee
- Baba na mama
- Mwamba kutoka Chato JPM
- Mohamed Ali
Pac, Biggie,Pun,Jam Master Jay, Freaky Tah ,Alliyah,Big L , Left Eye ,Pop Smoke , Trouble ,Young Dolph , LottaCashDesto,Huey,Nipse,xxxcenton.
Wengine niliwataja kama Shekh Ilunga na Mch MtikilaAbdulWahid Sykes, na wote waliokufa bila kupewa Credits zao katika mambo mbali mbali, Mungu atafanya tuwajue na tuwape Credits zenu. Mashujaa wa ukweli nyuma Camera, Dua zetu nyingi muwe na maisha mazuri huko Akhera. Wapi Sheikh Ilunga, Mchungaji Mtikila, Bibi Titi... kwa wepsesi na wazito, Dunia mapito.
Una ushahidi? Mimi nimesoma shule ya ufundi kipindi Mungai akiwa waziri wa elimu.Kote mashuleni alifuta masomo ya;
Kilimo
Ufundi
Biashara
Wakati masomo haya yalifundishwa kwa vitendo zaidi na yaliweza kuajiri vijana moja kwa moja