Maisha yanaenda kasi sana

Maisha yanaenda kasi sana

Mungu awalaze mahali pema Marehemu wote peponi yaan ukifa haurudi tena[emoji26]
 
Aisha madinda alikufa???
Mpumzike kwa amani marehemu wote tunaowafahamu na tusiowafahamu..
 
Apumzike kwa amani Edson Arantes do Nascimento "Pele" - The real G.O.A.T
 
Gianluca Vialli, Sinisa Mihajlovic, Modeste M'bami. Ulimwengu wa soka umechafukwa siku za karibuni.
 
Maisha haya dah.
Leo kafariki mshikaji wangu sana. Mtu wa mazoezi sana. Kafariki wakati anafanya mazoezi. Nadhani amekutana na heart attack dah.
R.I.P Wence..
 
Jamani rip warumi.
Dah story za huyu kaka humu jukwaa la celebrity dah.
 
Back
Top Bottom