Maisha yangu binafsi na msoto niliopitia tangu mwaka 1996

Tulia wewe, hujasota bado. 35 yrs old bado upo first eleven kabisa.
Tupambaneni vijana, mambo si mepesi kihivyo.
 
1750878064689.jpg
 
Wenye umri x2 yako sijui tuseme nini sasa.

Umri wako ndio wa kuanza kupambana na kulimbikiza akiba kila unachopata ili ukifika umri kama wangu basi unajua Una akiba nzuri ya kustaafu

Sasa wewe unastaafu halafu kapuku unategemea kuishi vipi?
 
Maneno ya busara haya nayachukua kama yalivyo mkuu. Shukrani kwa maoni na ushauri.
 
Tatizo linaanzia hapo ulipojiita mzee wa miaka 35. Unahitaji kustaafu sasa
 
Back
Top Bottom