Maisha yangu binafsi na msoto niliopitia tangu mwaka 1996

Miaka 35 bado Kijana kabisa upo na nafasi kubwa yakufanikiwa kimaisha .

Jambo kubwa na muhimu ulilofanya ni kusoma Maana kupitia Elimu maxima score Bord itabadilika.

Ingekuwa maumivu unatoboa 35 na hauna Elimu basi hali ingekuwa ngumu Sana Mkuu .
 
Nimekuelewa sana ndugu. Tupo pamoja sana.
 
Wakati nasoma chuo kuna rafiki yangu alikuwa na miaka 40 alitoka mtaani bila elimu alikaza akatoboa degree na 43 na alipopiga 44 akaingia serikalini

So in life usikate tamaa hata siku moja .

Mfano huyu jamaa wakati anaamua kusoma marafiki zake walisema amezeeka so anything can happen in this life don't give and keep striving

Score bord can change anytime.
 
Back
Top Bottom