Maisha yangu binafsi na msoto niliopitia tangu mwaka 1996

Never give up bro.. tupambane Hadi tone la mwisho
 
Msoto ninaopitia mimi acha kabisa mkuu
Tumegee mkuu.

Hatutakiwi kukata tamaa.

Mimi nimewai kuambiwa sitofika popotee.

Mimi mtu akinipa negativity hugeuka kuwa positive energy yaani driving engine kuachieve chochote maishani.

Haters kwangu huwa nawapendaga coz kimya kimya naanza kuwa prove wrong
 
Mimi kiukweli sina haters wanaokwamisha mambo yangu bali ni vijimambo tu vya hapa na pale. Kila mtu ana msoto wake wa tofauti
 
Mimi kiukweli sina haters wanaokwamisha mambo yangu bali ni vijimambo tu vya hapa na pale. Kila mtu ana msoto wake wa tofauti
Siku zoteee Mungu akikupa /mtihani/ matatizo lazima atakupa mlango wa kutokea.
 
Hin
Hongera sana bwana mdogo ,uko wapi kwasasa ? Je yamenyooka kamanda wangu ?
 
Kazi ya ualimu wa laki tatu umeacha?
 
We ngedere OKTOBA TUNATIKI
 
K
A

Amka njoo vijijini upambane mjini kumekukataa kaka
Kijijini tena? , huko nimekulia na kuishi sehemu kubwa ya maisha yangu. Maisha ya kijijini ni magumu sana, kushika shilingi 20000 kwa mwezi ni ngumu sana aisee!. Bora huku mjini naokota hata laki 2 mkuu. Asante kwa ushauri.
 
Ninamaanisha vijiji vilivyochamka ambavyo hata ukiiba wakikudaka ni moto kaka
 
Tuma picha nione physical appearance Yako Kuna kazi ya TANAPA HAPA chap ulale masikin uamke Tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…