Naendelea....
Maisha yangu na wauni/masela
Kipindi iko nipo fm3 ndo uhuni ukaniitawala maana kampani yangu kuanzia shule hadi mtaani ni masela tupu
Ila uzuri ninkwamba home nilikuwa chini ya uangalizi mkali san wa faza, japo haikuzuia kuungana na masela japo ilinipunguza speed,
Tukazindua camp letu, moja linaitwa wagiriki, misosi, datoni,yalikuwa makemp mangi sana, camp ni ile kampany au group la masela wa eneo moja wenye itikeli moja,
Yani kama jeshi la mtaani kwaiyo walinzi ndo wao na wakabaji ndo hao hao
Yani ikitokea issue mtaani labda mtu kaibiwa basi we wafuate masela washtakie kama ni damu yao yani unawazingatia alfu upo nao peace basi pesa zako au simu yako inarudi we wape maelezo tu mazuri
Kipindi kile kama wauni wa mtaa flani wanakuja kitaa kingine kuonyesha namba au utembo basi ni vita nao lazima wafuatwe uko uko kitaani kwao, hii bora walivyozibitiwa, na kuingia kwa boda boda ilisave sana jiji la dar maana lingekuwa na uhuni kama wa South kupigana visu nje nje
Kukaa kote na wahuni ila sijawahi kuizoea bangi wala sigara, nilivuta nikaona inanipelekea kuwa mtu wa siriasi sana, hadi kesho bangi ntavuta ila kwa kujisikia
Ila katika minanda, vigodoro sikosi pombe tu na kamali za karata ndo vilikuwa hobby yangu,
Nikawa na marafiki wengi sana wavuta bangi wavuta unga n.k, mvuta unga mmoja akawa ananishawishi nipige pafu kadhaa ila nikashika ile sigara ile harufu tu ikanitia kichefu chefu nikaacha,
Unga uvutaji wake ni wa ovyo sana na una process ndefu sana kuuandaa, kwanza anapasha moto kigae/tairiz then anausaga anapasha moto tena, aanze kutia ndani ya sigara sport au master spoti, then ndo avute na kila mara anaupaka mate ule msigara nafikiri ili usiishe haraka
Unaharufu mbaya sikupendezwa nao wala siikuuvuta, akanishaurri tuanze kuuza yani mi nitoe pesa afuate mwingi then aufunge auze nikafikiria nikaona hapa polis nje nje nikacancel
Ila kipindi iko unga bangi zilikuwa zinauzwa na kusambazwa kama mchicha au unga wa ugali,
Wauni bana sio watu yani kuharibu ni dk o ni watu wa fasta sana, kuish na muhuni lazim nawe uwe na itikadi za kiuni ,
Kuna siku moja nilipanda gari la mbezi usiku sas seat niliokaa kuna mtu alikuwa kalala siku ipo mfukoni , wakaja masela wawili wakakaa wakaanza kumchomoa simu yule jamaa mi nipo seat iyo iyo nawaangalia,
Sas sikutaka kuwaaribia maana kawaida ukiingilia deal la masela uliaharibu nao watakuharibu, bora ukaushe kama kuna uwezekano sepa mapema ,
Nikaona hapa jumba bovu litaniangukia, mi mara nyingi huwa natembea sana na kitu kama kisu flani cha kujikunja kwaiyo nakiweka tu kama imejensi ,sas nikaona hawa jamaa wakipiga hii simu watashuka na mimi hapa ndo itakuw msala , nikawaambia oya kwaiyo msala mnaniachia mimi achn ukum....
Nikamwamsha yule jamaa nilimtia bonge la bao wale ikabid washuke tu huku wananimind, ila sikupenda kuingilia ila tu ninkwasbabu msala ungeniangukia
Yani kama unaona kunatukio alafu kwa vyovyote halitokuangukia basi mara mia ukaushe kama hautaweza kumsave uyo mtu anaeibiwa kwa njia ya kawaida labda kwa kunjifanya unajuwana nae,
Kingine kama kuna ugomvi pia usijaribu kujifanya msuluhishi ugombelezeeugomvi wa wauni ni vita tosha, ukiona msela kashika kisu au chupa either kakushikia wewe au mtu mwingine basi juwa io ni vita kamili no merci , kama ni kujihami jihami kama kukimbia kimbia,
Nimeshudia jamaa zangu wanakufa kizmbe kwa kugombelezea ugomvi , njia nzuri ya kuamua ugomvi ni kwa ugomvi, chukuwa limti au gongo mpelekee la kichwa au shingo yule alieshika silaha mpka azime iyo ndo stail ya kugombelezea tofauti na hapo never risk your life kuingilia ugomvi,
Kuish kitaa kumenifanya nijiamini popote , niweze kula demu yoyote, demu ukimtreat kihuni huni ndo anapenda, na ndo maana unakuta masela wanamiliki pisi kali alafu pesa tee ila demu hakazi kwa muhuni, akizinguwa anapigwa mtungo
Ntakuja endelea maisha yangu nilivyoish na matapeli na mbinu za utapeli nizijuazo ,
Wale waliowahi kuuziwa madini feki, na utapeli mwingine