Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

Kuna naibu waziri mmoja wakati wa jpm aliwahi kuja ofisini kwetu mtwara kwa ishu fulani katika maongezi akataka atafutiwe mabinti fulani wa 3 kwa pesa ndefu tena walikuwa wanachuo cha saut,siku fulani nikakutana na mmoja wa wale mabinti aliponiona akanikumbuka katika stori akadai yule mtu wenu ni mshenzi sana tena sana laiti ningejua nisingekubali kila nikimuhoji ushenzi wake ni upi haniambii sasa sijui aliwafanyaje
Huyo naibu Waziri wa JPM mpaka sasa bado yupo madarakani.
Kama ndio yeye ninayemhisi Barabara za TARURA ziliwahusu ndio maana huyo binti aligoma kukufungukia.
 
Wanaonunua puchi Ni watu wa kawaida Sana. Unao kanisani, msikitini, kwenye bar, ofisini, kwenye daladala hata hapo nyumbani kwako. Hata mawaziri wapo Tena Yuko mmoja anachukuaga watatu kwa mpigo ndio kiu yake kidooogo inapungua. Nikupe jina ushangae?
Yes unaweza kujiuliza hata hawa madada wanaojiuza wanafananaje na wanatokea wapi, kumbe wengine ndo michepuko yetu mtaani na tunawalipia hadi kodi za nyumba. So proctect yourself at all times
 
Umenikumbusha kitoto Fulani kinaitwa Bupe pale Mwanjelwa Mby. Arooo, kitoto kina stamina usiombe, unafahamu Cha pili Kama umevaa kondom kinakwenda mpaka dkk arobaini, Bupe yumo tu mtoto anajituma. Hata nywele hajasuka. Yule nadhani alikua darasa la nne.
🏃🏃🏃🏃
 
Namalizia

Maisha yangu na matapeli na nilivyojifunza utapeli

Kipindi iko enzi za mzee wa msoga pesa zilikuwepo yani na utoto wangu wa miaka 19 nilikuwa na simu ya lenovo touch, na nokia ya touch

Nilivyomaliza four maisha ya kujichanganya nikajikuta nipo interest na matepeli wazee wa town, kwanza ndo wamenilea tangia naingia mjini nyumba niliyofikia kulikuwa na bar na ndo yalikuwa makutano yao kila siku asubuh na jioni wakitoka kutapeli


So walikuwa wananijuwa vyema , matapeli wana lugha zao wanaweza zungumza na usiwaelewena pia wana lugha zao za ishara na alama

Kwaiyo mi lugha yao nilikuwa naijuwa hata wakiwa wanasimuliana deal zilivyokuwa kwa siku iyo nilikuwa nawaelewa,
..
Waliiuwa wanachnanganya maneno asilimia kubwa ni maneno ya kikongo na mengineyo

Mfano , mbongo ni polisi,. Famme ni mwanamke , mwasi ni mke , garison ni mwanaume

Tororoo ni pikipiki, njenje ni baskeli,. Miguu ni nauli,
Kipeme ni mwenye pesa au boss , brokea kushawishi,

Vuraa ni gari, maiti imefufuka yani alietapeliwa kawadaka,

Kansee ni kufa, kashoo ni jela , pogoma ni kuongea, kimaseke ni kwa akili, maseke yani akili

Chungamira yani tizama au chungulia

Zoba. Yani anaetapeliwa

Wa foo yani mtu nuksi au snichi,

Pakee,mbumba, ni pesa

Elfu moja walikuwa wanaaita mgongo mmoja alafu elfu kumi wanaiita katani, laki wanaiita tani , milioni nimesahau,

Manjee yani kula, doro yani kulala,
Kansee au amekansee yani amekufa,

Ukimwi walikuwa wanaiita takataka yani ana matakataka means ana ukimwi,

Konyee ni ****, alafu makonyezi ndo kutombna

Kumchekecha mtu yani kumsomesha deal kama anaingia mkenge


Mizoo measn nyumbani
Battlee yani kukamatwa
Kashoo yani jela

Pombe ni mokeji yani tupate mokeji measn tupate kunywa pombe,

Msongoro yani kwenye deal au kazini ukisikia twende msongoro ndo wanaenda kwenye kazi za kutapeli


Shako means begi
Kitu cha biee au famme wa biee yani kitu kizuri au mwanamke mzurii , biee means kizuri


Pembe au kiberiti ni kifaa flani ivi walikuwa wanatumia kuwekea madini feki

Agghh nimechoka kiufupi matapeli walikuwa na lugha zao

Kipindi iko utapeli ulikuwa wa aina nyingi sana na walikuwa wanapiga pesa sana,

Tapeli ni mtu mmoja mchangamfu sana , charming, inteligent, haogopi, anamaneno matamu, hana huruma na pesa, hajali cheo chako akitaka kukutapeli,

Njia walizokuwa wanatumia si za kumdhuru mtu zaid ya maneno tu, ila hapo hapo kulikuwa na makundi tofauti kuna ambao walikuwa wanaingia maofisini au maduka ya simu wanasunda

Au ktk supermarket kubwa wanasunda mfano pombe kali za bei, yani vile vitu vya bei vinavyobebeka kirahisi, kuna wale waliokuwa wanajifanya watu wa TRA, uhamiaji na maofisa wengine amabapo wanajuwa wanatarget vipi ulaji, wengine yani wanavyo jiweka hakika utoboi

.ntaendelea
 
Back
Top Bottom