Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20


Hii fani ya masimulizi huiwezi ,achana nayo tu
 
Niliwahi tapeliwa na madini fake nilipokuwa nasoma Sekondari Iringa, nilishawishiwa hadi nikatoa pesa Bank kama Laki hivi na simu yangu akasepa nayo, kwa enzi hizo kishuleshule ilikuwa pesa ndefu dah nilihisi kuchanganyikiwa na nilijiona mjinga sana
 
Amekulia mambo safi huyo kwani msure wake alikuwa nazo kitambo
Siyo sababu, hata kama kakulia mambo safi. Haiondoi ukweli kajulia hela ukubwani. Mjanja kama JK unafikiri yanaweza mkuta mambo kama hayo?
 
Aaah
Mabibo na manzese si karibu tu apo ......ingia manzese au nyoosha nyoosha miguu adi riverside pale maisha ndo haya haya tu
Nkajua labda hapo NIT naweza pata utelezi wa chuon na majiran zao
 
mfuko wa bei ya nn!?😂😂
 
Hahhhaha... "Bei za Mtanzania wa kawaida"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…