Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

Shida ya kwenda kwa wahaya ilikua Ni pale unapotoka baada ya kupiga bao. Kichwa kinainamishwa na mikono mfukoni hapo hutaki watu wajue umetoka kwa Malaya wa Bei rahisi. Ukikutana na MTU unayemfahamu kwenye chocho za wahaya hamsalimiani. Utafikiri Ni waislamu wa Magomeni wamekutana kwenye kitimoto Kimara.
 
Mkuu agiza soda popote ulipo,,, wew ni mdau mzur sana,,
 
Vurugu zilitokea lini tena ?? Maana security wao wapo fresh sana
Muda kidogo na palifungwa muda mrefu sana pamefunguliwaga miaka hii hapa tu. Lambo ya miaka hiyo siyo ya leo. Hakuna ishu wala. Lambo ilikua miaka hiyo fuso zinapaki pale
 
Actually fisi hachagui chakula, mzoga wa juzi wa jana au aliyeulia leo yeye anakula. Kwa hiyo " fisi" ni wale wateja waliokuwa wanaenda pale kula minofu na masupu ya mifugo mpaka vibudu. Hawachagui, wale ni fisi
 
Sema kwa dunia hii ya sasa hasa huko vyuoni utelezi ni hela yako hahahaha maana hata hawa wanaojiuza uza sjui mitandaoni wanavyuo wapo kwaio ni bajeti na kibunda chako tu
Kwel kabsaa kamanda
 
Hizi mambo hizi.

Kuna time unawaza kuliko kupiga nyeto bora uipoteze afu tatu(uwanja wa fisi) ua afu ine bao 2 (mw/nyamala).

Hii kitu inasaidia sana vijana ila huo uchawi wao ndo umenitisha.
Unabandua fisi goli mbili kwa nne elfu ila ni bora angalau kuliko punyere
 
Kuna mwanangu mmoja alipata ugonjwa flan iv wa zinaa kwenda hospital dokta akumuuliza kama kawah kubandua mbwa akasema hapana akamwambia basi kabanduana na mtu aliebanduliwa na mbwa maana ugonjwa alionao ni ugonjwa wa zinaa wa mbwa mwamba aksema kweli aliruka na barmaid flan wa manzese Generetaion Z ndo umenibumbulusha kwamba wahuni wanabanduaga scoobi kwa bei nyasi
 
Actually fisi hachagui chakula, mzoga wa juzi wa jana au aliyeulia leo yeye anakula. Kwa hiyo " fisi" ni wale wateja waliokuwa wanaenda pale kula minofu na masupu ya mifugo mpaka vibudu. Hawachagui, wale ni fisi
Huo ndiyo ukweli, hence jina "uwanja wa fisi". Maana hapo enzi hizo zinauzwa pombe za kienyeji kila dizaini. Pia nyama ziliuzwa kila dizaini. Wakati uwanja wa fisi unaanza hapo kulikuwa na wanawake, wengi wasichana toka mikoa ya Singida na Dodoma.. Warangi, Wasandawi, Wagogo, Wanyiramba, na Wanyaturu. Enzi hizo hakuna ukanda wa ziwa hapo. Hapo naongelea mid 70's. Enzi hizo ulikuwa wakati wangu nikiwa mid 20. I vividly remember that time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…