Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

Kweli kabisa na shetani hawezi kukupiga vita kama una kitu cha muhimu ndani,nakazia hapo"aendelee kusali pia kama hawezi jizuia kwa kipindi hichi pia aendelee na hizo issue"ipo siku Mungu atamtetea tu.
 
Ndio iko hivyo Mkuu, hadi wake za watu wengi tu
 
Wakulungw hebu nielekezen namn ya kufika hapo kambi ya fisi nipo mabibo mwisho hapa na leo kun mvua nikapata papuchu itakuwa guhd saan
 
Hivi mwanaume aliye kamilika ki biologia ( i mean it maana wengine wanalepelekewa moto kwa Nyuma , so not included )

Ni kipi kari ya hivi anakuwa anatenda KOSA


1.kujichua (punyeto)
2.kulala na malaya (dada poa )

???
 

Huwa una comments ndefu ndefu
 
Nipo hapa kiusa bar sema midi ya kuchakata imekata kabisa , sema na enjoy mechi ya croatia tu hapa 2:1 natamani hiishe hivi hvi
 
Nipo hapa kiusa bar sema midi ya kuchakata imekata kabisa , sema na enjoy mechi ya croatia tu hapa 2:1 natamani hiishe hivi hvi
[emoji23][emoji23][emoji23] ushafika kiwende Boss Mkabala na ofisi za kata ya Kiusa[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bro umeelezea kwa weledi sana mimi nakumbuka kisa cha kuzomewa na watoto nikitoka kwa Wahaya ila hiyo ilikua ni Mwananyamala hosptl
 
Kuna mkuu wa mkoa mmoja mjinga wa mkoa wa Dar alitaka akomeshe biashara ya wahaya kuuza utamu. Yeye pia alikua mhaya.
Nyerere alipata habari kwamba wahaya wote wanarudishwa uhayawani. Nyerere amuiita yule mkuu wa mkoa mpumbavu na kumuuliza.
Ukisha wahamisha Malaya wa kihaya Dar, wale wateja wao utawapa kitu gani mbadala wapoze nyege zao?
Mpuuzi akasitisha zoezi Mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…