Muda mzuri wa kwenda kwa wahaya Ni saa moja usiku Hadi saa nne usiku. Kule Msasani maandazi niliingia kwa mhaya saa Saba mchana. Alikua amekaa peke yake kwenye kichochoro Chao, Ile nimemaliza natoka, aisee! Sijui wale watu walitoka wapi. Mtaa ulikua full watu. Kibaya zaidi nilipokua ndani sikuvua Shari (si unajua kwa wahaya hata viatu unaweza kupanda navyo kutegemea na ukame) nimetoka kwenye Ile chocho Shari limelowa mwenyewe na aibu zangu mkono mmoja mfukoni uso chini.
Wale wadudu nimekuja kuacha kuwatembelea rasmi 2005.