Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

Mmeujeuza Uzi kutafuta machimbo unaendaje nunua dad POA jmn
 
May be maana niliambiwa na mzee ye nyumba yake kaijenga mwaka 1960 karibia na maeneo yale ila alishakufaga ndo alisimulia ivo palianza kuchangamka kwanzia late 75
 
Jina uwanja wa fisi limetokana na kwamba miaka iyo kulikuwa na fisi wengi na kiboko pia palikuwepo na bwawa na ndo maana kunasehem panaitwa kiboko bar
Hapana sio kweli, kwanza uwanja wa Fisi na Kiboko Bar ni maeneo tofauti kabisa na yapo mbalimbali. Jina la uwanja wa Fisi lilitungwa na gazeti moja kipindi hicho linaitwa Burudani lilikuwa likitoka mara moja kwa wiki.
Na hii ilitokana na kutoa habari ya eneo lile kuwa kutokana na maisha wanayoishi watu wa pale hawana tofauti na mnyama fisi.
 
Duh kweli we ndo mwenyewe mitaa ile...ni kweli hata mimi babu yangu ndo ilikuwa mitaa yake ya kunywa pombe na nyama zisizoeleweka.....tulikuwa tunaishi ajentina pale jirani na jego gesti
 
Wanaonunua puchi Ni watu wa kawaida Sana. Unao kanisani, msikitini, kwenye bar, ofisini, kwenye daladala hata hapo nyumbani kwako. Hata mawaziri wapo Tena Yuko mmoja anachukuaga watatu kwa mpigo ndio kiu yake kidooogo inapungua. Nikupe jina ushangae?
Kuna naibu waziri mmoja wakati wa jpm aliwahi kuja ofisini kwetu mtwara kwa ishu fulani katika maongezi akataka atafutiwe mabinti fulani wa 3 kwa pesa ndefu tena walikuwa wanachuo cha saut,siku fulani nikakutana na mmoja wa wale mabinti aliponiona akanikumbuka katika stori akadai yule mtu wenu ni mshenzi sana tena sana laiti ningejua nisingekubali kila nikimuhoji ushenzi wake ni upi haniambii sasa sijui aliwafanyaje
 
Hahahahaha aliwakojolea masikioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…