Dammdaeok
JF-Expert Member
- Feb 13, 2022
- 300
- 917
Hahahahaha huyo alifirwa, hujui tena alifanyweje?Kuna naibu waziri mmoja wakati wa jpm aliwahi kuja ofisini kwetu mtwara kwa ishu fulani katika maongezi akataka atafutiwe mabinti fulani wa 3 kwa pesa ndefu tena walikuwa wanachuo cha saut,siku fulani nikakutana na mmoja wa wale mabinti aliponiona akanikumbuka katika stori akadai yule mtu wenu ni mshenzi sana tena sana laiti ningejua nisingekubali kila nikimuhoji ushenzi wake ni upi haniambii sasa sijui aliwafanyaje
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app