Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

Kuna naibu waziri mmoja wakati wa jpm aliwahi kuja ofisini kwetu mtwara kwa ishu fulani katika maongezi akataka atafutiwe mabinti fulani wa 3 kwa pesa ndefu tena walikuwa wanachuo cha saut,siku fulani nikakutana na mmoja wa wale mabinti aliponiona akanikumbuka katika stori akadai yule mtu wenu ni mshenzi sana tena sana laiti ningejua nisingekubali kila nikimuhoji ushenzi wake ni upi haniambii sasa sijui aliwafanyaje
Hahahahaha huyo alifirwa, hujui tena alifanyweje?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Kuna naibu waziri mmoja wakati wa jpm aliwahi kuja ofisini kwetu mtwara kwa ishu fulani katika maongezi akataka atafutiwe mabinti fulani wa 3 kwa pesa ndefu tena walikuwa wanachuo cha saut,siku fulani nikakutana na mmoja wa wale mabinti aliponiona akanikumbuka katika stori akadai yule mtu wenu ni mshenzi sana tena sana laiti ningejua nisingekubali kila nikimuhoji ushenzi wake ni upi haniambii sasa sijui aliwafanyaje
Wewe nitakuja pm nikupe jina la huyo anayechukuaga Malaya watatu kwa mpigo. Ni MTU mzima na hupenda kuvaa kizalendo zaidi lakini kingono Hana chembe ya uzalendo.
 
Kulikuwa hakuna cha fisi wala nini. Ukitaka ukweli mtafute mtu mzima kama mimi akupe ukweli. Enzi hizo nilikuwa nakaa Mburahati zile numba za Jeshi (National Housing) ambazo zilijengwa wahamie watu toka kariakoo wakazikataa kwa sababu kulikuwa porini. Wakati huo mabasi (DMT/UDA) yakiishia Kigogo mwisho kwa Binti Kaenga. Binti Kaenga alikuwa mganga al-maaruf hata simu alikuwa ameweka nyumbani kwake (miaka). Jina la uwanja wa fisi lilitokana na vyakula na pombe aina zote. Enzi hizo Wagogo, Warangi, Wanyaturu, Wanyiramba ndiyo palikuwa kwao huko. Napakumbuka vizuri maana nilikuwa kwenye "late 20s", na nilikuwa nachungulia huko mara chachechache.
We jamaa umenikumbusha mbali sana aisee Kwa binti kaenga nyuma ya shule ya msingi kawawa ndo mitaa niliyozaliwa kitambo sana aisee.
 
sinza na kinondoni kumejaa wazee tu. ivo viwanja watoto wabichi tu mzee hatoboi. Basi tu watu wengi wanapadharau manzese wakihisi ni uswaili tu lakini huduma apo ni bora mara mia ya sinza. sinza imejaa wazee wakongwe bei kubwa na huduma mbovu afu usalama mdogo lakini apo manzese yani watoto wabichi kabisa na bei za mtanzania wa kawaida
Ni muda sasa weekend moja nipite lambo apo
 
Kiukweli ata mimi najilaumu sana muda na pesa nilizopoteza sinza na kinondoni yani nilikua napata huduma mbovu wadada wenyewe wazee na wamechoka ni makonki yani unahisi kaanza kazi izo kipindi cha Mkapa raisi. Najuta kwanini nilipadharau na kutokwenda manzese mapema. Sehemu nzuri sana na rafiki na mpaka watoto wabichi kibao
Sinza ukipata katoto kabichi kanataka kuanzia 80k
 
Kuna mkuu wa mkoa mmoja Kanda ya ziwa aliwahi Kununua mbususu Morogoro shida alipoenda alinyonya tits akaja kuamka kalizwa
Ndio ujue Kuna ukweli kwamba Kuna watu wanaingia chumvini. Weeeh. Mwanamke humjui, anaoga au haogi, anaoga na maji taka au maji Safi, wewe unaparamia kunyonya matiti. Kwa mkewe si ndio atazama kabisa.
 
moja ya madanguro salama kabisa apa mjini. ndani mabaunsa hakuna ugomvi wala nn pia vyumba mule mule amna polisi wala mgambo feki wala vibaka kukukaba au mdada kukufanyia noma. pia ukitoka nje bodaboda kibao hakuna kupita vichochoroni kukumbana na vibaka na usafiri ni rahisi pale tiptop kituo kinafanya kazi 24hrs. sema tu ndo ivo pale ni usiku tu mchana hakuna huduma
Hii mbona kama promo, huu uzi umeletwa kimkakati mno ila sisi wenye PhD za Cambodia hutuambii kitu! Wewe na generation z
 
Back
Top Bottom