Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

Noma sana!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Noma sana!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Nimekaa nyuma ilipo Mexico tokea 1995 maisha ya hovyo mnoo kule, nimewahi shuhudia vifo kadhaa hadharani moja ni kisa cha jamaa alichomwa Kisu na wahuni akawa anawakimbiza but hakufika hata hatua 20 akaanguka na kufa dah(RIP)

Vifo vya vibaka 2006 walipouliwa nyumba kwa nyumba baada ya kumuibia na kumjeruhi mfanyabiashara wa tandale sokoni...

Dah.. Mungu anakila sababu ya Sisi kuondoka Hilo eneo maana tusingeondoka nahisi ningekuwa muhuni au chokoraa wa huko ....

[emoji22]
 
Noma sana!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa
 
Kipindi iko ndo ilikuwa SA ya bongo wahuni kibaoo enzi za minanda aloh kama haujulikani au aupo na wahuni ilikuwa ni tabu sana
 
Nilisha pata wa hivyo. Yaani kule ndani kwake Kama Kuna kitu kinamkamua abdalakichwawazi na macho yake anayageuza Kama anataka kufa huku mauno kwa kwenda mbele, Mara miguu iko kichwani halafu unahisi anamikono minne.
Sasa wazungu wakianza kutoka ndio unasikia unakamuliwa Kama MTU anayekamua ng'ombe maziwa.
Ukimpata mwanamke wa hivyo Kama mkeo Ni Hawa wa kaskazini unazini nae huku anasoma gazeti lazima ndoa ivunjike.
Kinacho nishangaza wanawake watamu Sana wote Ni singo maza hawana waume. Wengi Ni michepuko tu na hawadumu kwenye mahusiano.
 
Ni hatar na nusu unaweza ita maji mma niliwah fanyiwa ivo nikapiga ukunga hahahaa
 
Noma sana!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Kipindi iko ndo ilikuwa SA ya bongo wahuni kibaoo enzi za minanda aloh kama haujulikani au aupo na wahuni ilikuwa ni tabu sana
Sisi tulikuwa tuna kundi letu lilikuwa pale kwenye bar ya masawe lilikuwa linaitwa Gamba la Nyoka Cample....

Aliyetuzulumu maisha ya ghorofani pale nasikia hakai nyumba imekuwa ghofu na nasikia haiuziki...

Dhuluma haijengi
 
Mchati ndio nini Mkuu? Nimekuwa interested kujua kwanini huyu mrembo walimpiga bisu la koromeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…