Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Kweli mkuu, hata kama wewe ni mkeoHuyu ni mpumbavu Sasa sijui anatoa details ili iwaje,huu ni ulimbukeni..
Mara kadhaa wake za watu wametuita kwenye nyumba zao na kuwala ila hiana maana yeyote Kwa sababu ni mambo ya kawaida na hata yeye yatamkuta
Imagine mtu anatoa detail za mtaa, kabila na ajira za waume zao hata ingekuwa ni mimi ningejua tu😂