Kweli mkuu, hata kama wewe ni mkeoHuyu ni mpumbavu Sasa sijui anatoa details ili iwaje,huu ni ulimbukeni..
Mara kadhaa wake za watu wametuita kwenye nyumba zao na kuwala ila hiana maana yeyote Kwa sababu ni mambo ya kawaida na hata yeye yatamkuta
Hana akili na Yuko desperateKweli mkuu, hata kama wewe ni mkeo
Imagine mtu anatoa detail za mtaa, kabila na ajira za waume zao hata ingekuwa ni mimi ningejua tu😂
ahahhaaKwikwikwi nitaua kwikwikwi
Yakinitokea (kwikwikwi) nitaua (kwikwikwi)
Maana siwezi (kuchapiwa kuchapiwa) ×3 mwenzako ooooh
(Oh my God ooh bless my marriage)×3
(Rakatarakata) ×2 rikitirikiti
Vimewekwa vitumike toka enzi na enzi na wewe sio wa kwanza kugawiwa au kugawa ila huo Muunganiko aliuanzisha Mungu mwenyewe ni ngumu sn kuubadili hata katika jamii tu ukiwa hauna mke unaonekana mhuni hauaminiki au utaonekana una shida na kuna baadhi ya kabila, wanaukoo wanakuozesha Kwa nguvu na viboko juu(likiwemo la kwangu),umsumbue nani Kila mtu yuko bize na familia yake.Kijana kataa Ndoa
Ndoa ni utapeli
Afya ya Akili ndo kila kitu kuliko huyo Mwanamke
Kwa jinsi wake za watu tunavyowaona wanagawa Ni bora kukaa kimya.
Mkuu mnataka story za kutunga?Huyu ni mpumbavu Sasa sijui anatoa details ili iwaje,huu ni ulimbukeni..
Mara kadhaa wake za watu wametuita kwenye nyumba zao na kuwala ila hiana maana yeyote Kwa sababu ni mambo ya kawaida na hata yeye yatamkuta
Pia siku zote wana lalamiko kuhusu waume zao haijalishi mume wake awe tajiri au maskini, awe anapiga mashine vizuri au la lakini lazima mke awe na lalamiko fulani kuhusu mumewe.Hakuna wanawake rahisi kuwagonga kama wake za watu,wanakuwa wana tamaa.
Kwaiyo ushuani ndo hawachepuki?Kama story yako ina ukweli wowote basi sitashangaa kwani haya ni matukio ya kawaida kwenye mazingira ya sehemu ulizokuwa unaishi na classes za watu wa maeneo hayo. Mke/mume kuchepuka sehemu za uswazi ni jambo la kawaida sana.