BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Unakuta unatongoza hata manzi kumi ila zote zinakukazia ila wake za watu wanaanza kukutongoza wenyewe huku si kutafutana ubaya
Hao mabinti wanaokukataa wanachukuliwa na waume za watu kwa hiyo wewe chukua hao wake za watu.Unakuta unatongoza hata manzi kumi ila zote zinakukazia ila wake za watu wanaanza kukutongoza wenyewe huku si kutafutana ubaya
hivi sasa kuna mageuzi makubwa sana katika saikolojikali na ulimwengu wa kimahusiano gentleman, ni vizuri sana kujizatiti na kwenda sambamba kwa umakini zaidi dhidi ya kasi na mabadiliko ya mawimbi ya kimahusiano kadiri yanavyokuja 🐒Unakuta unatongoza hata manzi kumi ila zote zinakukazia ila wake za watu wanaanza kukutongoza wenyewe huku si kutafutana ubaya
Likimpata la kupakwa mafutaHao mabinti wanaokukataa wanachukuliwa na waume za watu kwa hiyo wewe chukua hao wake za watu.
Ushoga ni kosa la jinai TanzaniaLikimpata la kupakwa mafuta
Utamsaidia?
Ndio njia inayotumika kuwakomoa wanaotembea na wake za watu.Ushoga ni kosa la jinai Tanzania