Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Kamanda Adiosamigos nakusoma kwa kituo sana hapa unavyotoa darsa kwa makafiri.

Allah akuongeze afya mkuu.

Piga darasa wagalatia.
Kamanda Bill Cosby, hawa wakristo hawana kitu zaidi ya uwongo. Nabii Mussa Alisha waeleza Bibilia itaharibiwa Alisha jua anakuja Paulo, yani kabla ya kuja kwa Yesu miaka 1470 chezea Mungu hawa wakristo. Kama Qur'an wao wanasema hawaiamini mbona Yesu hakuweza kusema kama aliyo sema Prophet Mussa kwamba Qur'an ikija msi-i amini kama alivyo sema Nabii Mussa kuhusu Bibilia. Hivi Nabii Mussa angeshindwa kujua hayo au Yesu. Prophet Mussa Alisha waeleza atakuja mtume kama mimi ambaye atakubalika kwa watu wake nani kama sio Mtume wetu kipenzi Muhammad salaa lahu Aleh Wasalam.
 
Last edited by a moderator:
Hujajibu swali bado.

Ungefahamu maana ya Injili, wala usinge uliza swali lako. Lakini kwasababu ya Quran iliyojaa shaka kukushibisha uongo, unashindwa hata elewa nini maana ya Injili na Kwanini Injili haikutabiri ujio wa Muhammad.

Zaidi ya hpo, kwanini Quran inashindwa kutupa tarehe ya kuzaliwa Isa Bin Maryam? Hapo ndipo utafahamu kuwa Quran ni Bandia na imejaa copy cut kutoka Biblia. Kama unabisha, nipe sababu ya Allah wako kushindwa kutupa tarehe aliyo zaliwa Isa Bin Maryam, mtume wenu.

MWISHO: Niletee na au nionyeshe wapi ILIPO INJILI ya Isa? Naomba utuwekee copy yake au tupe link ili tuisome.
 
Habari ya MUJINI ndio HII::::
SHEHE AMPOKEA YESU NA KUSEMA ALLAH SIO MUNGU NA MUHAMMAD NI MTUME BANDIA



Nyie kina dada Joseph Acheni kuvaa mavazi ya kiislamu.s

Umeulizwa swali hapo juu.


[/CENTER]

Hebu jibu huyu ndio mungu wako?
 
Ngoja nianze kukata fitnah taratiiiiib:

Waislamu wanasema na kudai kuwa Muhammad mtume pekee wa Allah, alifuata mila za Ibrahimu, mimi mila sizijui naomba mzitaje tuzifahamu kwa ushahidi aya. NB: Aya hizo zitoke kwenye quran.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nani kaisema Injili, nimeisema Bibilia. Pili Injili ilitabiri atakuja Mtume Muhammad. Iko wapi waulize walio ificha.Mbona hawaiweki wazi watu wakaisoma. Wanaogopea nini kuiwacha wazi. Sisi hatutaki kuona kitabu cha Matthew, Luke, John and Mike. Tunataka kuiona Injili iko wapi dogo.
 
Ngoja nianze kukata fitnah taratiiiiib:

Waislamu wanasema na kudai kuwa Muhammad mtume pekee wa Allah, alifuata mila za Ibrahimu, mimi mila sizijui naomba mzitaje tuzifahamu kwa ushahidi aya. NB: Aya hizo zitoke kwenye quran.
Mbona jawabu lake rahisi sana dogo; Surat An-Naĥl (The Bee) - سورة النحل




This is a portion of the entire surah. View more context, or the entire surah.

16:123to top

Sahih International
Then We revealed to you, [O Muhammad], to follow the religion of Abraham, inclining toward truth; and he was not of those who associate with Allah .

Swahili
Kisha tukakufunulia ya kwamba ufuate mila ya Ibrahim, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.
 
Hujajibu swali. Nionyeshe na au zitaje hizo mila za Ibrahim. USIKIMBIE SWALI BANA.
By Ishmael

Ngoja nianze kukata fitnah taratiiiiib:

Waislamu wanasema na kudai kuwa Muhammad mtume pekee wa Allah, alifuata mila za Ibrahimu, mimi mila sizijui naomba mzitaje tuzifahamu kwa ushahidi aya. NB: Aya hizo zitoke kwenye quran.
 
UNAANZA KUOGOPA MAPEMA HII.

Niletee na au nionyeshe wapi ILIPO INJILI ya Isa? Naomba utuwekee copy yake au tupe link ili tuisome.
 

whoa, ha ha ha, nimecheka sana hapo juu..uliposema baada ya yesu kuondoka kukawa hakuna Uislamu tena.... Kiufupi hapo kwenye Bold. Mungu hakuwaleta hawa manabii bali ni watu waliompendeza Mungu: naye Mungu akawachagua, wakawa wateule wake. YEsu tu, Ndiye aliyeletwa..KWani ndie aliyeshuka kutoka Mbinguni. Na ujio wake ulitangazwa rasmi na malaika gabriel. Ila manabii wa kale kuanzia abraham, daudi walimtqbiria Yesu kuja kwake.


NB: Pia mkuu ningeomba usiniandikie hiyo lugha ya ISIS. Manake mi sijui kuisoma wala siielewi, hivyo hainisaidii kitu hata dictionary sina. Mimi ndiyo ninahaki ya kukuandikia hivyo sasa kama ulitoroka viboko vya madrasati shauri yako. We andikia mimi kwa kiswahili, kiswanglish ama kingereza.. angalau it makes sense.. okey...

Qurani 6:14 Suratul An-Am (Wanyama)
Sema: hakika nimeamrishwa niwe wa kwanza katika wenye kusilimu.
Katika aya hii tunaona Muhammad ndiye mtu wa kwanza kuamrishwa asilimu.

Imesimuliwa pia ya kwamba Muhammad S.A.W. alisema, "Sisi waislamu ndiyo wa mwisho kuja" hayo tunayasoma katika Sahih Al-Bukhari vol. ix Hadithi na 587.

Muhammad vilevile aliwaambia wafuasi wake wafuate njia ya waliowatangulia. "nchi kwa nchi, hatua kwa hatua hata kama ikiwa waliingia katika shimoni mwa mjusi" masahaba zake wakauliza "Layahud waal Na-swara? Yaani wayahudi na wakristo? Akawajibu Farman? Yaani nani zaidi? Hayo tunayaona katika Sahih Muslim vol. iv katika Al-lim, hadithi na 6448. Kutokana na jibu hili la Muhammad (S.A.W.) ni dhihiri kuwa dini ya Uislamu ilitanguliwa na dini yetu Wakristo na hata ile dini ya Kiyaudi.

Maana ya jina Yesu

Jina Yesu linatokana na lugha ya Kiebrania ‘Yehoshua' katika lugha ya Kigiriki wanasema ‘Iesous' inatamka ‘Yesous' yaani Yesu. Katika lugha ya Kiarabu wanasema " Yasu."kwa kiingereza ni ''Jesus'' Maana yake "Bwana anaokoa au Bwana ni Mwokozi"Soma aya hizi..
Mathayo 1:18-21 na Luka 2:8-11. Bwana maana yake Mungu ndiye mwokozi Isaya 43:6, 10-11. Katika Biblia ambayo ina jumla ya Surah 1189 aya 31,102 vitabu 66 39, Agano la kale na 27 agano jipya neno Mwokozi kiiengereza wanasema Saviour limetajwa mara 55. ikumbuke kwamba katika agano jipya jina Yesu au kiebrania Yehoshua kiarabu Yashua au Yasu limetajwa mara 1275 katika aya zipatazo 1226.zingatia pia kuwa agano jipya lina jumla ya aya 7930 na Sura 260
Aidha majina ya Kiebrania nayo pia yana maana. Malaki ni mtumishi au Mjumbe wa Yehova, Isaya ni Wokovu wa Yehova, Ezekiel inaamanisha Mungu hutia nguvu, Daniel Mungu ni Hakimu wangu.

Muhammad linaamanisha mwenye kushukuriwa, Abdallah ni Mtumwa wa Allah Abu-Bakar maana yake ni Baba wa bikira, Abu Huraira ni Baba wa mapaka.

hivyo hapa tunaona jina Yesu maana yake ni Mwokozi na jina IS
a ni wekundu uliozidiana na weupe. Kwa kuwa maana ya haya majina tofauti bila shaka Isa siyo Bwana Yesu.Na malengo ya hawa wawili sio lengo moja... (tafakari waliochakachua jina yesu wakaweka ISa walilenga nini?)
Manabii wa Mungu Yehova walifuata dini (njia) hii.
Tunaposoma maandiko matakatifu ya Biblia yanatufundisha kuwa manabii waliongozwa na huyu.
1 Petro1:10-11
katika habari ya wokovu huo manabii walitafuta tafuta na kuchunguza chunguza ambao walitabiri habari za neema itakayowafikia ninyi. Wakati upi na wakati wa namna gani ulioonywa na roho wa Kristo aliyekuwa ndani yao.
1 wakorintho 10:1-4
kwa maana ndugu zangu,sipendi mkose kufahamu ya kuwa baba zetu walikuwa wote chini ya wingu. Wote wakapita kati ya bahari,wote wakabatizwa wawe wa Musa katika wingi na katika bahari; wote wakala chakula kilekile cha roho; wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata na mwamba ule ulikuwa ni kristo.

----------------------
Katika aya hizi tunaona wazi wazi kuwa manabii wote waliongozwa na roho wa Kristo Yesu ambaye alikuwa ndani yao. Musa pamoja na watu wake pia walifuatwa na kristo naye aliwalisha na kuwanywesha. Wote waliongozwa na Bwana Yesu yeye mwenyewe aliwaita "watu wa Kristo" Soma Marko 9:38-41 hii ni kwasababu Bwana Yesu ndiye kiongozi wetu. Tazama Mathayo 23:9, tena Bwana Yesu ndiye njia (dini) ya kweli na uzima Yohana 14:6 hivyo manabii wote walikuwa ni watu wa Kristo kwasababu roho yake Yesu ulikuwa ndani yao ikiwaongoza.
Ka kuongezea tu: Ndio maana kwenye Injili Yesu anasema Daudi alimwita yeye (YEsu ) "Bwana" wake. kwakuwa ni mkuu kuliko yeye..
 
Yesu alikufa


Aya hii inasimulia kuwa
156 inasimulia hiv...
Qurani 4:156 Suratul AnNisaa (Wanawake]
Na kwa sababu ya kufukuru zao na kumzingizia Maryamu uwongo mkubwa (kuwa kamzaa nabii Isa kwa kuzini)
Hiki ni kisa cha kuhusu kuzaliwa kwa Isa, yaani dhama za utotoni ndio maana aya zinazofuatia zinasema hawakumua. lakini tukiendelea kusoma aya nyingine inasimulia hivi.
Qurani 21:7-8 Suratul Al Anbiyaa (Manabii)
Hatukuwatuma (hatuwapa utume) kabla yako ila wanaume (wa kibinadamu, si malaika) tiliowafunulia (tuliowaletea wahyi). Basi waulizeni wenye kumbukumbu (ya mambo ya zamani) ikiwa nyinyi hamjui. Wala hatukuwajalia (hao mitume kuwa] miili isiyo kula chakula, wala hawakuwa wenye kukaa milele(wasife).
Qurani 21:34 Suratul Al Anbiyaa
Nasi hatukumfanya mwanadamu yeyote kabla yako aishi milele.Basi ukifa wewe, wao wataishi milele?
Aidha Qurani inasema mitume waliokuja na hoja zilizo wazi wazi waliuwa Qurani 3:183 kadiri ya Qurani hiyo hiyo Isa alikuja na hoja waziwazi tazama Qurani 5:110
Isa mwenyewe alitabili mambo makuu matatu haya...
Qurani 19:33 Suratul maryamu
Na amani iko juu yangu siku niliyozaliwa na siku nitakayo kufa na siku nitakayofufuka kuwa hai.
. Tafakari


 

Kkkkkkk!
Leo umekubali kuwa YESU ndie ISSA sio?

Ndio siku zote nikasema MAKAFIRI ni akili KUAMBIWA!

na huyu dadako Ishmael aone kuwa Nyie wote akili zenu zinafanana!

Sasa ilikuwaje huko juu akakataa kuwa YESU sio ISSA?
Au yeye tukimtaja YESU akili yake yoote inampeleka kwa yule Msela Wa msalabani mwenye NEPI kuuubwa!
Au Sio?
 
Last edited by a moderator:

Nikisema WAKRISTO hawana Busara na Uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana Mnarusha ngumi hewani
ISSA ambae ndie YESU MWANA WA MARIA Aliongea LUGHA iitwayo ARAMAIC ambayo MARA YA MWISHO KUTUMIKA hapa Duniani Ni Mwaka 600 AD!
Halafu leo mwaka 2014 Unaomba ULETEWE COPY YAKE UISOME!

πŸ˜€πŸ˜€:sly::sly::sly:πŸ˜±πŸ˜›πŸ˜Ž!

Yaani sijui binaadamu wengine walikuwa wanatakiwa Kuzaliwa WANYAMA halafu wakabahatika Kuwa watu?

We na Utapeli wako woote HATA JINA LAKO huwezi KULIANDIKA ki ARAMAIC! leo hii inataka Uletewe COPY ya INJILI NZIMA UISOME?

KKKKKKKKKK!

BANGI ukiichanganya na kubeli pamoja na Makende ya Nguruwe Matokeo ndio haya!
 
Nasubiri niione injili ya Issa aisee .............!!
 
Kwa maana hii hii inataka kuniambia hii Quran sio ile ya karne ya 7?

Maana kwa maelezo yako haya inaonekana haiwezekani kuwepo kitabu cha nyakati hizo au hata copy yake!
 
Kwa maana hii hii inataka kuniambia hii Quran sio ile ya karne ya 7?

Maana kwa maelezo yako haya inaonekana haiwezekani kuwepo kitabu cha nyakati hizo au hata copy yake!

Umeuliza swali la maana sana. Tena kwa faida yako mwenyewe na wakristo wenzako.

LUGHA YA ASILI YA QURAAN toka mwanzo NI KIARABU. Na mpaka Leo na kesho ITABAKI kuwa na ASILI YAKE ILE ILE Iliokuja nayo.

LUGHA ya ASILI ya YESU ni ARAMAIC lkn Lugha Hii mara ya mwisho Kutumika ni 600 A.D!

Leo hii ile LUGHA ASILI ya YESU Hakuna anaeweza kuongea Wala Kuisoma wala Kuiandika. Na km unamfahamu sehemu yyt Kuna Kitabu cha LUGHA YA ASILI YA YESU Tusaidie Ushahidi na pia Ututafutie ambae anafahamu Lugha hio!

Ndio maana Nyie mnaweza kupunguza maneno au kuongeza maneno kwenye BIBLIA bila Mtu yyt kuweza kuwakosoa. Kwa sababu HAKUNA KITABU cha ASILI kilichohifadhiwa Kutoka kwa Yesu!

Leo Hii ktk Hii DUNIA imani pekee Yenye KITABU CHA ASILI ambacho HAKIJABADILIKA ni UISLAMU PEKE YAKE.
Na mtu yyt akijaribu Kuongeza Au kupunguza NENO moja tu kwenye QURAAN basi hata Mnyamwezi Anaejua Kusoma QURAAN atakwambia kuwa QURAAN Hio INA KASORO!


Imani zingine Zoote ZILIZOBAKI Ni michakachuo ya ajabu ajabu.

Ndio maana Leo Vatican Wanaitumia BIBILIA hio ya kikatoliki KUHALALISHA USHOGA!
Na Mapadri wanafungisha Ndoa Za Kishetani Kila leo ktk MAKANISA.

Nakuuliza wewe Eiyer HAYO NDIO MAFUNDISHO YA YESU?

Na umeshawahi kujiuliza Je! Ni kwanini leo WAKRISTO wana 54 different BIBLES ambazo zimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 250 Duniani na kila Mmoja anadai kuwa ya kwake ndio SAHIHI?

Ukiweza kujiuliza Hilo swali Na Ukapata jibu Wewe mwenyewe utarudi kwenye dini ya ASILI.

Dini ya YESU na MUSA. na manabii wote wa Mungu.

Fanya bidii kabla HUJAFA hali ya kuwa UNAABUDU kiumbe badala ya MUNGU.
MUNGU WA KWELI BADO KAKUPA NAFASI LEO YA KUPUMUA.
Usipuuze!
 
Last edited by a moderator:

Swalalahu alaihi wasallam.

Captain Adiosamigo Maneno yako kama radi!
Asie muislamu akiyasoma jaya maandiko na akawa na moyo wa kuongoka basi ukafiri anauaga leoleo!
Na msalaba anaurudisha kwa wachongaji pale mwenge kwa wamasai.
 
Last edited by a moderator:
Hujajibu swali. Nionyeshe na au zitaje hizo mila za Ibrahim. USIKIMBIE SWALI BANA.
Ishamel, we sometimes ni mjinga sana tena sana nini mana ya neon MILAT IBRAIM? Unajua mana yake. Au unadhani mana ya MILAT IBRAHIM ni mila za kichaga, au kisukuma. Hapo Mungu anasema Qur'an mana ya Milat Ibrahim ni wale wanao mtii Mungu na hawamshirikishi Mungu na kitu chochote kile, wanao sali sana na watoa zakaa ndio mana yake. Hivi kuna mkristo anaweza kufit hapo sidhani hata siku moja. Unadhani hizo ni mila za kichaga hapo Mungu anaongea, nikikuambia wewe Ishamel huna kitu unabisha hapa umeonyesha ujinga wako.

We read about "Millat Ibrahim" in a number of verses which include the command to follow it, the following are some examples:"Then We inspired you to follow the creed of Abraham, the monotheist; he was not one of the mushrikeen." Qur'an 16:123
"And they said, "You have to be Jewish or Nazarenes, to be guided." Say, "No, rather the creed of Abraham, the monotheist and he was not one of the Mushrikeen." Qur'an 2:135
"Say, "God has proclaimed the truth: You shall follow Abraham's creed, the monotheist. He was not one of the Mushrikeen."
Qur'an 3: 95. When Prophet Joseph declared that he follows "Millat Ibrahim" he quickly added that it dictates to them (Joseph and his people) not to associate anything/anyone with God:
"And I followed the creed of my fathers, Abraham, Isaac and Jacob. It is not for us to associate anything with God. Such is God's favour upon us and upon the people, but most people are not thankful." Qur'an 12:38.

 
UNAANZA KUOGOPA MAPEMA HII.

Niletee na au nionyeshe wapi ILIPO INJILI ya Isa? Naomba utuwekee copy yake au tupe link ili tuisome.
Mimi niogope kitu gani cha kuniogopesha? Unaiuliza Injili ya Issa iko wapi? mimi ndio nawauliza WAKRISTO wote, pamoja na watungaji mashairi ya Bibilia, kina Luke, Matthew, John na Mark. Walivitoa wapi vitabu vyao, kwa Mungu au Malaika. Kama kwa malaika gani aliye wambia waviandike? Hivi vitabu kwanini vilikuja kama sio kuja kuficha Injili ya Yesu. Tatizo lako Ishmael huna akili, unakuja nililia mimi. Ungewalilia kina Paulo na hao wafuasi wake kina Luke, Matthew, John na Mark WAMEKIFICHA WAPI KITABU CHA JESUS. Afu mbona hukumlalamikia Prophet Mosses (Mussa) aliposema Bibilia itavurugwa, mpigie simu umulize si pia mnasema Mussa ni Mungu, lazima atakusikia tu.
 
Kamanda Bill Cosby , (Qur'an 21:107 na Yohana 16:7-14). Zimeisha waeleza wazi Yesu anaondoka anakuja Mheshimiwa hapo. lakini ujinga wao hao hawafahamu kama Yesu kamkusudia mtume Muhammad, na wengine wanafahamu basi chuki tu zinawasumbua. Ndio yale yale ya shetani kumchukia Adam bila kosa. Qur'an 21:107; Nasi hatukukutuma ila iwe Rehema kwa ulimwengu wote. Yohana 16:7-14;[SUP]7 [/SUP]Lakini nawaambia kweli kwamba kuondoka kwangu ni kwa faida yenu kwa maana nisipoondoka, yule Msaidizi hatakuja kwenu. Lakini nikienda nitamtuma aje kwenu. [SUP]8 [/SUP]Naye akija atauthibitishia ulim wengu kuhusu dhambi, haki na hukumu. [SUP]9 [/SUP]Kuhusu dhambi kwa sababu hawaniamini; [SUP]10 [/SUP]kuhusu haki kwa sababu ninakwenda kwa Baba na hamtaniona tena; [SUP]11 [/SUP]na kuhusu hukumu kwa sababu mtawala wa ulim wengu huu amekwisha kuhukumiwa.[SUP]12 [/SUP]"Nina mambo mengi zaidi ya kuwaambia lakini hamwezi kuy apokea sasa. [SUP]13 [/SUP]Akija yule Roho wa kweli atawaongoza muijue kweli yote. Yeye hatanena kwa uwezo wake mwenyewe bali atanena yote atakayosikia. Atawafundisha kuhusu mambo yote yajayo. [SUP]14 [/SUP]Atanitukuza mimi, kwa maana atayachukua yaliyo yangu na kuwaambia ninyi.
 
Nasubiri niione injili ya Issa aisee .............!!
Ipo ndani ya Qur'an we kaisome Qur'an vizuri itaifumo humo humo imetulia. Lakini ukisoma Bibilia za kina Mathayo, John, Luka na Marko, mtakuwa mnapoteza wakati wenu bure.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…