Umeuliza swali la maana sana. Tena kwa faida yako mwenyewe na wakristo wenzako.
LUGHA YA ASILI YA QURAAN toka mwanzo NI KIARABU. Na mpaka Leo na kesho ITABAKI kuwa na ASILI YAKE ILE ILE Iliokuja nayo.
Zile za kiingereza na Kiswahili sio Quran?
LUGHA ya ASILI ya YESU ni ARAMAIC lkn Lugha Hii mara ya mwisho Kutumika ni 600 A.D!
Kati ya Kiebrania na Aramaic ni ipi lugha ya asili ya Wayahudi?
Leo hii ile LUGHA ASILI ya YESU Hakuna anaeweza kuongea Wala Kuisoma wala Kuiandika. Na km unamfahamu sehemu yyt Kuna Kitabu cha LUGHA YA ASILI YA YESU Tusaidie Ushahidi na pia Ututafutie ambae anafahamu Lugha hio!
Aramaic ni lugha ambayo watu wa Izrael walikuwa wanaizungumza lakini haikutumika kuandika bib lia ya agano jipya,lugha ambayo ilitumika kuandika agano jipya ni Kigiriki,na biblia ya agano jipya ya Kigiriki ipo
Hujui hata hilo mkuu?
Ndio maana Nyie mnaweza kupunguza maneno au kuongeza maneno kwenye BIBLIA bila Mtu yyt kuweza kuwakosoa. Kwa sababu HAKUNA KITABU cha ASILI kilichohifadhiwa Kutoka kwa Yesu!
Mkuu huu ni uongo,Biblia ya agano la kale ya Kiebrania ipo
Biblia ya agano jipya ya Kigiriki ipo
Mkuu ni kweli haya yote huyajui au unataka tu kudanganya?
Leo Hii ktk Hii DUNIA imani pekee Yenye KITABU CHA ASILI ambacho HAKIJABADILIKA ni UISLAMU PEKE YAKE.
Sio kweli na nimekuambia hapo juu sababu ....
Na mtu yyt akijaribu Kuongeza Au kupunguza NENO moja tu kwenye QURAAN basi hata Mnyamwezi Anaejua Kusoma QURAAN atakwambia kuwa QURAAN Hio INA KASORO!
Akiwa hajui hicho kiarabu itakuwaje?
Halafu aliyekuambia kuwa lugha ni sababu ya kitabu kutokuchakachuliwa ni nini?
Imani zingine Zoote ZILIZOBAKI Ni michakachuo ya ajabu ajabu.
Ndio maana Leo Vatican Wanaitumia BIBILIA hio ya kikatoliki KUHALALISHA USHOGA!
Kwanza hawajahalalisha ushoga ...
Pili sio kweli wanaweza kuitumia Biblia,huu nao ni uongo ....
Na Mapadri wanafungisha Ndoa Za Kishetani Kila leo ktk MAKANISA.
Kwakuwa umetaja mapadri ni wazi unalizungumzia kanisa katoliki,nioneshe ndoa hata moja ambayo imefungwa kwen ye kanisa la kikatoliki,kama hakuna futa hii kauli yako hapa .....
Nakuuliza wewe
Eiyer HAYO NDIO MAFUNDISHO YA YESU?
Hayo yapi?
Na umeshawahi kujiuliza Je! Ni kwanini leo WAKRISTO wana 54 different BIBLES ambazo zimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 250 Duniani na kila Mmoja anadai kuwa ya kwake ndio SAHIHI?
Biblia imetafsiriwa kwa lugha nyingi zaidi ya hizo ulizoandika hapo kwasababu kila mtu anapaswa kumuabudu Mungu kwa lugha yake,lakini kwa kusikitisha ni kuwa kule kuwa na biblia za lugha tofauti wewe unadhani zinamaudhui tofauti
Hiyo ni ajabu kuu ....
Ukiweza kujiuliza Hilo swali Na Ukapata jibu Wewe mwenyewe utarudi kwenye dini ya ASILI.
Hakuna swali hapo ila inaonesha vile ambavyo umeshindwa kufikiria kidogo tu na kujua nyeupe na nyeusi zina tofauti gani
Dini ya YESU na MUSA. na manabii wote wa Mungu.
Yesu hahitaji dini kwakuwa ni Mungu,Mungu haitaji dini na dini ni kwaajili ya binadamu ...
Unamzungumzia Musa yupi hapa?
Kama ni wa kwenye biblia nipe ushahidi kutoka kwenye biblia kuwa alikuwa Muislam
Fanya bidii kabla HUJAFA hali ya kuwa UNAABUDU kiumbe badala ya MUNGU.
Umepata wapi habari kuwa mimi naabudu kiumbe?
MUNGU WA KWELI BADO KAKUPA NAFASI LEO YA KUPUMUA.
Mungu wa kweli ni Mungu wa Ibrahimu,Isaka na Yakobo ambae anaitwa Yesu Kristo na huyu hata sasa yupo anaishi na ataishi milele ...
Nakukaribisha kwenye pumziko la kweli,kwe nye upendo wa kweli na amani siku zote,hapa panaitwa kwenye mamlaka ya Yesu Kristo ambae hata shetani analiogopa jina lake na akilisikia atatetemeka
Welcome to the kingdom of Jesus Christ brother .......!!