Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Huyo jamaa mwingine Gavana huwa naona akili zake hazipo sawa kabisa...
 
Kaazi kweli kweli .....

Ushahidi gani ulioutoa kuwa malaika Gabriel ni Roho Mtakatifu?

Sijaona zaidi ya kutoa mistari ambayo wala hauzungumzii kile ambacho unadai,kama una ushahidi weka hapa tuuone!
 
Huyo jamaa mwingine Gavana huwa naona akili zake hazipo sawa kabisa...

Mi naona kama wapo sawa tu

Huyu Adiosamigo unaweza kumuwekea maelezo ambayo yanafafanua jambo ambalo ameuliza,anakuja kuku quote halafu anauliza kitu kile kile

Tazama hapa chini ni maelezo ya mkuu 2013 ....
Haya hapa chini ni majibu ya Adiosamigo kwa hayo maelezo hapo juu ...
Kwanza unaweza kujiuliza,huyu mtu ana matatizo gani kwasababu hapo anaweka maandiko ya Paulo ambae wanamuita majina yoote ambayo ni mabaya na wanamlaumu kwa kubadili mafundisho ya Yesu,na hapo anatumia kama ushahidi wa hoja yake,sasa inakuwaje anatumia mafundisho ya uongo kuthibitisha mafundisho ambayo yeye anadai ya ya ukweli?

Achana na hilo,mkuu 2013 kwenye hoja yake am eweka ushahidi kutoka kwenye mafundisho ya Yesu kuwa unatakiwa mwanaume uoe mwanamke mmoja na ametoa maelezo kuhusiana na maelezo ya Musa,huyu jamaa anakuja na kuuliza jambo lile lile ambalo 2013 ametolea maelezo ...

Hawa watu ni binadamu wa ajabu sana .....!
 
Last edited by a moderator:

Tena mwisho kamuweka Marko aliyempinga mwanzo.
 
Last edited by a moderator:
Huyo jamaa mwingine Gavana huwa naona akili zake hazipo sawa kabisa...

Most of those kids are molested by their Ustaadh. They need therapy and help from Jesus. Tatizo sasa hata Yesu ambaye angewa safisha na waokoa kutoka shetani. Wanamkataa kila siku.

Ndio wale ambayo, wamepigwa Mihuri ya kwenda Jehannam. Many are called but few are chosen.
 
Mtu anapinga Uungu wa Yesu ambae ndio nuru ya ulimwengu Alafu anakuja anasema Eti anawafundisha wakristo... Hayo maarifa utayatoa wapi wakati Uko ktk Giza? Hawa Jamaa ni shida sn.....!
Mkuu, hautaki hizi neema, labda jamaa ameona asiwe mchoyo wa fadhila... labda ndio maana anatukomalia tukawafaidi wote wanawake na wengine wenye macho makubwa kama vikombe... pamoja na ile mito ya pombe...

Quran 52
20. Watakuwa wameegemea juu ya viti vya enzi vilivyo pangwa kwa safu. Na tutawaoza mahuru-l-aini.


Quran 47
15. Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya mvinyo yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?

Quran 37

48. Na watakuwa nao wanawake wenye macho ya staha mazuri.

Quran 76

17. Na humo watanyweshwa kinywaji kilicho changanyika na tangawizi.


Mkuu hao Mahurulaini ndio wale wenye macho ya vikombe makubwa, Lakini Adiosamigo na yeye ni mnyama simpatii picha yaani hajaridhika na hawa wa Duniani anafukuzia na hawa wenye macho kama vikombe... Mkuu hutaki hizo neema!? kama sheikh Kipozeo...
 



Mkuu Hizi Aya hua nikisoma hua nacheka sn.... Hiyo Ndo pepo ya hawa wenzetu!
 


Eiyer hivi Unafikiri ukiwa unaongozwa Na shetani ukisoma maandiko utaelewa kweli? Huyu Adiosamigo anaongozwa na shetani ndio maana anaona kauli ya Yesu akisa wazi "KWASABABU YA UGUMU WA MIOYO YENU MUSA ALIWARUHUSU" hii ikiwa na maana kwamba kutoa talaka haukua mpango wa Mungu tangu awali.... Ni UGUMU tu wa MIOYO ya wanadamu na tamaa zao... Lkn mtu hapa anasoma haelewi anarukia story za kwenye kahawa na vijiweni Mara Marko hakua na Yesu wala hakumuona Yesu.... Kwani Mohammad alimuona Yesu? Km hoja kwa mtume kua na Yesu ndio tumuamini, Kwani Muhammad alimuona au kua nae nabii gani au Yesu mpk tumuamini?

Hilo swali na Mimi ningependa alijibu inakuaje anatumia mafundisho ya uongo na nyalaka za mtume Pau ambaye hawampendi kweli na wanamuita shetanil kudai hayo madai yake anayoyaona kua ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahah si mchezo aisee...



Ni hatari mkuu...! Mi ndio maana hawa Jamaa hua sipotezi muda wangu kujadiliana nao....! Maana wapo kwenye Giza kubwa...!

Mkuu maandiko yanasema wazi kabisa kwamba "without shedding of blood there is no remission" Sasa Yesu ambae ni kafara Halisi ambaye damu yake yenye thamani inatusafisha Alafu wewe binadamu unamkataa na kupinga kua hakufa Mara sijui liliwekwa li mtu jingine tu utapata vipi ondoleo la dhambi kwa muktadha huu? Ni shida sn....! Kisema cha ndugu yangu Sangarara BAGOSHA...!
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo bible yako inayobadilishwa kila siku na binaadamu halafu unaita kitabu cha mungu nadhani wewe ndio upo gizani,
Halafu huwezi kuwa na akili, kwa kumuita mtu aliyezaliwa na mwanamke mungu, huo ni ujinga mkubwa
 
Sijui kina Faizafoxy ndio watakuwa hao Mahurulaini!?, kina Faiza wenyewe sijui wameahidiwa kitu gani!? hahahahah mkuu ni shida...
 
Kwahiyo bible yako inayobadilishwa kila siku na binaadamu halafu unaita kitabu cha mungu nadhani wewe ndio upo gizani,
Halafu huwezi kuwa na akili, kwa kumuita mtu aliyezaliwa na mwanamke mungu, huo ni ujinga mkubwa



Unayafahamu mazazi ya Mungu weye? au unatoa tu maneno
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…