Jibu swali wewe Sio ulete story za vijiweni.... Unayafahamu mazazi ya Mungu?
Toa ujinga wako tangu lini mungu akawa na wazazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali wewe Sio ulete story za vijiweni.... Unayafahamu mazazi ya Mungu?
Hahahahah au wanawake wenyewe watageuzwa macho yao yawe makubwa kama vikombe, halafu kina Adiosamigo watapewa... sipatii picha jicho la Faizafoxy litakavyokua, au wenyewe ndio hawana kitu tena kwisha habari yao...hiyo pepo inapendelea wanaume tu. Wanawake wao siju wameahidiwa nini?
hiyo pepo inapendelea wanaume tu. Wanawake wao siju wameahidiwa nini?
Hahahahah au wanawake wenyewe watageuzwa macho yao yawe makubwa kama vikombe, halafu kina Adiosamigo watapewa... sipatii picha jicho la Faizafoxy litakavyokua, au wenyewe ndio hawana kitu tena kwisha habari yao...
Toa ujinga wako tangu lini mungu akawa na wazazi?
Quran 7:157Mkuu wa chuo?? My nose Ndo maana kule useminar mnaotesha MASHOGA cwez amini kwa Akili zako + kuambiwa unaeza tamka mambo kama haya... Ni aibu uzuri Quran mnaipapasa tu hamsomi wala haina haja ya Kubishana na mtu alie na HALF KNOWLEDGE
Unahisi umeongea POINT sanaaa?? Elimu yako ya Kipaimara hapa haiwez kukusaidiaa.. Sakrament zoote ulizo nazo na Vi parable vya bible hazna nafasi hapa wala Akhera ila Quran ndio nguzo Mama
Hatuabudu Mungu mmoja nini kinakukera?NDUGU WAISLAMU
hawa MAKAFIRI hawana jipyaa.. Wametekwa na shetani maana shetani kazi yake ni kukufuru! Na hawa wamekufuru kupindukia
1.yesu ni mungu..
2.maria mama wa mungu
3.yesu mwana wa mungu
na MwenyeZi Mungu anasema
"imekalibia mbingu kupasuka kwa wao kusema haYo maovu" Waislamu tuwafundshen Maandiko ipo siku watongoka.
Quran 7:157
157. Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa.
We endelea kumfuata nabii aliye ummy...
Hatuabudu Mungu mmoja nini kinakukera?
Mbingu isipasuke kwa watu kuabudu miti na sayari halafu ipasuke kwa watu kusema Yesu Mungu?
You must be sick!
Tatizo lenu hamjui kujadiliana kwa hoja....! Mnachofanya ni kutoa maoni nonsense km haya huku mkiamini kua ni hoja sn....! Pole sn Kijana...!
Sawa mi mjinga....! Lkn Mimi Nilitaka twende hoja kwa hoja ndio maana nikakuuliza UNAYAFAHAMU MAZAZI YA MUNGU? hapa lengo langu tujifunze kupitia kitabu kitakatifu cha Mungu Biblia tuone kinavyotupatia majibu kutokana na kihoja chako...! Lkn km hautaki au hili swala ni kubwa kwako maana mmekaririshwa unaweza ukawaita wenzako wakusaidie kabla sijashusha nondo hapa.....!
Narudisha pole kwako! Usiyejua hata msingi wa dini yako ila unapelekwa tu... Someni DINI vijana na nyie mpge Sadaka co daily kuchangia wezi tu
Mishipa imekutoka kbs kutaka tusikie KUFURU yako! Laana iwe juu yako... MUNGU atuepushe na watu kama ww wanaozua UONGO wapotoshe binaaadamu! Eti MAZAZI YA MUNGU we kijana wwee KOMA kbs..
Msikilize Mungu hapa anavyosema weweWe kweli Poyoyo! Lait mngalikuwa hamjui Neno nisingeleta hyo Point... Lakn mnajua na bado mnataka kumfanya mtu =mungu! Je Mbingu ishndwe pasuka?? Yesu anasema "Mbona waniita mwema? Hakuna mwema ila mungu pekee" sasa kvp mungu akane u wena wake na kumsingizia Mungu mwingne?? kweli we ni Chiken***t
We vipi wewe!? yaani mimi nimsifie nabii aliye ummy, hebu kula dose kwanza hapa chini...Nafurah kuwa unamsifia kipenz cha watu MUHAMMAD s.a.w Lakn hujui.. Ametukataza mabaya na katuamrisha Mema we endelea kupga viboga Watoto wa katekism kila jumapil ndo Mema yenu hayo
We vipi wewe!? yaani mimi nimsifie nabii aliye ummy, hebu kula dose kwanza hapa chini...
Ezekiel 13:3-7
3 Bwana MUNGU asema hivi; Ole wao manabii wajinga, wanaoifuata roho yao wenyewe, wala hawakuona neno lo lote!
4 Ee Israeli, manabii wako wamekuwa kama mbweha, mahali palipo ukiwa.
5 Hamkupanda kwenda mahali palipobomolewa, wala hamkuitengenezea nyumba ya Israeli boma, wapate kusimama vitani katika siku ya Bwana.
6 Wameona ubatili, na uganga wa uongo, hao wasemao, Bwana asema; lakini Bwana hakuwatuma; nao wamewatumainisha watu ya kuwa neno lile litatimizwa.
7 Je! Hamkuona maono ya bure, hamkunena mabashiri ya uongo? Nanyi mwasema, Bwana asema; ila mimi sikusema neno.
Safi sana, ujue pia nabii mfano wa Musa sio Muhammad, kwasababu hakuwa Myahudi... Muhammad ni nabii wa uongo"Ee Israeli, manabii wako wamekuwa kama mbweha, mahali palipo ukiwa.." sasa hayo maneno yanamgusa vip MUHAMMAD s.a.w Ikiwa yeye c myahudi? WE KWEL MBURULA somen mtaelewaa vzr maandiko.