mudy92
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 671
- 531
Msikilize Mungu hapa anavyosema wewe
Mika 1:1-3
1 Hili ndilo neno la Bwana lililomjia Mika, Mmorashti, katika siku za Yothamu, na Ahazi, na Hezekia, wafalme wa Yuda; maono aliyoyaona katika habari za Samaria, na Yerusalemu.
2 Sikilizeni, enyi watu wa kabila zote; sikiliza, Ee dunia, na vyote vilivyomo; Bwana MUNGU na ashuhudie juu yenu, yeye Bwana kutoka hekalu lake takatifu.
3 Kwa maana, angalieni, Bwana anakuja akitoka mahali pake, naye atashuka, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka.
Haya bishana na maandiko sasa!
We kwa akili zako huyo Bwana ni YESU sio? Ebu sikia yesu anasema
God raised up his servant...¡±(Acts 3:26).. Kumbe hata ww ukiwa mtumishi wa mungu ni sawa na yesu Kijana! Na pale Peter ali declared:¡°The God of Abraham, Isaac and Jacob, the God of our fathers, has glorified his servant Jesus.¡±(Acts 3:13). SASA ww kafiri unabwabwaja kumbe hata peter anakupinga
hakuwa lolote yesu ila
" your holy servant Jesus, whom you anointed.¡±(Acts 4:27).
Ebu tuone QURAN inasemaje kwa watu kama Ww.
Quran 4:171-172"O People of the Book!Commit no excesses in your religion:nor say Of Allah ought but the truth.Christ Jesus the son of Mary was (no more than) A Messenger of Allah, And His Word, which He bestowed on Mary, and the Spirit proceeding From Him: so believe In Allah and His Messengers.Say not "Trinity": desist: It will be better for you: For Allah is One God: Glory to Him: (Far Exalted is He) above Having a son. To Him (Allah) Belong all things in the heavens And on earth. And enough...
Sasa Mwehu kama ww unazusha tu.. Mpka Unakufuru Dah.