Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
You believe in oneness of GOD so ur Muslim..

Mkuu mudy92, i'm not muslim
Muslim believe in allah but not in GOD, i don't wanna call ISHMAEL to tell you the difference between GOD and allah
Swali langu ni dogo tu lipo hapo juu, naomba unijibu kama unafahamu , kama hufahamu basi wataalam wa dini ya kiislam watakuja kunisaidia
Why battle with you that blaBLAAH is better than blaBLAAH or vice-versa? where by all of them are blaBLAAH to me

.made in mby city.
 
Kuna jamaa hapa alisema Wakristo Wanakariri.. Nikajiuliza kvp? But naanza kupata jibu.. Asilimia 95 ya wakristo hawapendi KIARABU kutokana na kukariri uarabu ni UISLAMU ni Msiba...
Na mm napenda kukwambia nyie wakristo Mnaamini ktk Majina lakn si ktk Ufasaha wa mwenye jina...

YEHOVA- KIEBRANIA

ALLAH- KIARABU

KYALA-KINYAKYUSA

KIFIPA-LEZA

KIZARAMO- MURUGU

KICHAGA-LUWA

Napata mashaka na Elimu yako, na ubishi unaojificha ktk kupinga Allah sio Mungu mwenyezi kumbe ww ni Mkatoliki Ulie asi..
 
Acha uongo wee muislam. ALLAH sio Mungu.
 
Yesu ni Mungu.

Sasa wee nipe maana ya Allah na huwa anasikaje maombi yenu wakati yeye hana Masikio?[/QUOTE

We kama sio Mbwiga una mtindio... Una akili lakn huzishughulishi, hata zile za kuambiwa
 
Yesu ni Mungu.

Sasa wee nipe maana ya Allah na huwa anasikaje maombi yenu wakati yeye hana Masikio?

Nakushangaa kijana! Nikikupa Aya hapa utaanza kubisha Nakuaacha uendelee na UMBWIGA wako.. Huna unalo jua.
 
Kuna jamaa hapa alisema Wakristo Wanakariri.. Nikajiuliza kvp? But naanza kupata jibu.. Asilimia 95 ya wakristo hawapendi KIARABU kutokana na kukariri uarabu ni UISLAMU ni Msiba...
Na mm napenda kukwambia nyie wakristo Mnaamini ktk Majina lakn si ktk Ufasaha wa mwenye jina...

YEHOVA- KIEBRANIA

ALLAH- KIARABU

KYALA-KINYAKYUSA

KIFIPA-LEZA

KIZARAMO- MURUGU

KICHAGA-LUWA

Napata mashaka na Elimu yako, na ubishi unaojificha ktk kupinga Allah sio Mungu mwenyezi kumbe ww ni Mkatoliki Ulie asi..

kama muslim wote mko hivi basi naenda ku-conclude kuwa IQ zenu ni chini ya single digit
Kuna sehem umeona nimesema mi mkristu?
Una uthibitisho kua mimi ni mkatoriki niliye asi??
Una uhakika na maana unayo ifahamu juu ya elimu??. Usiwe una jaji elimu yangu ukiwa hujui hata maana ya elimu
Hivi ninyi mi.muslim. Mna matatizo gani na uelewa wenu au bado evolution ina take place kwenu ili kuwa normal human being???
Hivi kweli allah ni mungu??
LA ILAHA ILA ALLAH maana yake nini?

(far Q all muslim)

Kwanini usingenijibu swali langu tu afu nikuache uendelee na mdaharo wenu wa ku Prove that "blahBLAAH is better than blahBLAAH" ???
Damn

.made in mby city.
 
Nakushangaa kijana! Nikikupa Aya hapa utaanza kubisha Nakuaacha uendelee na UMBWIGA wako.. Huna unalo jua.
Ni kawaida yenu watoto wa House Girl kukimbia maswali. Eti unatishia nyau, huna ubavu wewe.

Allah wenu anasikiaje maombi bila ya Masikio?

Allah wenu anasemaje bila ya kuwa na mdomo?
 
Toa hoja kwann sio MUNGU usiendeshe na Hisia
Thibitisha kuwa Allah ni Mungu.

Allah sio Mungu. Kama unabisha leta ushahidi hapa. Mwenye hisia ni wewe unaye dai kuwa eti, Allah anasikia maombi yenu huku ukifahamu fika kuwa Allah wenu hana Masikio.
 
kama muslim wote mko hivi basi naenda ku-conclude kuwa IQ zenu ni chini ya single digit
Kuna sehem umeona nimesema mi mkristu?
Una uthibitisho kua mimi ni mkatoriki niliye asi??
Una uhakika na maana unayo ifahamu juu ya elimu??. Usiwe una jaji elimu yangu ukiwa hujui hata maana ya elimu
Hivi ninyi mi.muslim. Mna matatizo gani na uelewa wenu au bado evolution ina take place kwenu ili kuwa normal human being???
Hivi kweli allah ni mungu??
LA ILAHA ILA ALLAH maana yake nini?

(far Q all muslim)

Kwanini usingenijibu swali langu tu afu nikuache uendelee na mdaharo wenu wa ku Prove that "blahBLAAH is better than blahBLAAH" ???
Damn

.made in mby city.

kijana una ufasaha wa kuongea tena kwa kimombo Swadakata!

Jibu: ktk uislamu asili ya wanadamu wote ni Kuamini Mungu ni 1 na kunyenyekea kwake ALLAH! SO.. kila kiumbe wa kibnadamu ni Muislamu anapozaliwa lakn mazngra humfanya aache njia iliyonyooka na kufuata Batil... NADHANI umenipata Na m.mungu anajua Zaidi
 
Bado hujathibitisha kuwa Allah ni Mungu.

Wapi Allah kasema Mimi Allah ni Mungu?
 
Thibitisha kuwa Allah ni Mungu.

Allah sio Mungu. Kama unabisha leta ushahidi hapa. Mwenye hisia ni wewe unaye dai kuwa eti, Allah anasikia maombi yenu huku ukifahamu fika kuwa Allah wenu hana Masikio.

kula AYA hii hapa....!

"nitajen nami nitawataja, na nishukuruni na wala msikufuru" quran 2:152

unaswali??
 
We unaetaka kujua kuwa ALLAH ana mdomo na anaskia Aya hyo juua. Quran 2:125
 
kijana una ufasaha wa kuongea tena kwa kimombo Swadakata!

Jibu: ktk uislamu asili ya wwanadamu wote ni Kuamini Mungu ni 1 na kunyenyekea kwake ALLAH! SO.. kila kiumbe wa kibnadamu ni Muislamu anapozaliwa lakn mazngra humfanya aache njia iliyonyooka na kufuata Batil... NADHANI umenipata Na m.mungu anajua Zaidi

Nashukuru kwa kunijibu, kwanini tunarumbana mambo madogo, hapa sasa tutaenda pamoja taraatibu
Umesema mazingira yana mbadilisha mtu kutoka muslim anapozaliwa na kua batili, je inakuaje hiyo kitu ? I mean mazingira yanahusikaje ??
I real appreciate your mchango
Believe me i'm neither christian nor muslim

.made in mby city.
 
Thibitisha kuwa Allah ni Mungu.

Allah sio Mungu. Kama unabisha leta ushahidi hapa. Mwenye hisia ni wewe unaye dai kuwa eti, Allah anasikia maombi yenu huku ukifahamu fika kuwa Allah wenu hana Masikio.

Kwakuwa ISA a.s alipenda kuwaambia kwa mfano ngoja nikupe Aya.. Kisha ng'amua we kondoo kuwa Allah alitenda haya kama mungu au?

Aya za 9 hadi 12 za Surat Fuswilat zinasema:¡°Sema: Je, kwa hakika mnamkataa aliyeumba ardhi katika nyakati mbili, na mnampa washirika? Huyo ndiye Mola wa walimwengu. Na akaweka humo milima juu yake na akabarikia humo na akapima humo chakula chake katika nyakati nne, ni sawa kwa waulizao. Kisha akaielekea mbingu na hali i moshi, ndipo alipoiambia (mbingu) na ardhi: Njooni mkipenda au msipende, vyote viwili vikasema: Tumekuja hali ya kuwa wenye kutii. Basi akazifanya mbingu saba katika nyakati mbili, na kila mbingu akaifunulia kazi yake, na tumeipamba mbingu ya karibu kwa mataa na kuilinda, hicho ndicho kipimo cha Mwenye nguvu, Mwenye kujua.¡±

Anae umba ni nani hapo Mtu au ALLAH?(MUNGU)
 
kula AYA hii hapa....!

"nitajen nami nitawataja, na nishukuruni na wala msikufuru" quran 2:152

unaswali??
Hamna kitu hapao zaidi ya ngonjera na twaswida zenu. Lete uthibitisho kuwa Allah ni Mungu bana na Allah wenu anasikiaje bila ya Masikio?

Lete jibu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom