Mkuu naomba uniwie radhi kama naenda nje ya mdaharo wenu
Nina dada yangu ambaye ni mkristu, amepanga kwenye nyumba moja hivi ya muslim, mwaka huu mwanzoni alijifungua mtoto wa kike nikaenda kumuona hapo alipopanga, nikawakuta wapangaji karibia wote(all of them are muslim) pamoja na mzee mwenye nyumba, mstaarabu sana huyu mzee (maybe for outward appearance)
Huyu mzee aliongea kauli moja ambayo hadi leo huwa najiuliza kama ina ukweli au laa
Ninam,QUOTE, "WATOTO WOTE HUZALIWA MUSLIM, LAKINI WAKRISTU HUWABATIZA ILI KUWAVIKA DINI YA UONGO"
Can you tell me how much this statement is true???
i'm not christian, i'm not muslim, don't call me atheist please because i beleave in one GOD
.made in mby city.