2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
Mkuu naomba kuuliza-Nimekupa Aya ukakwepa haya wacha nikupe point na Aya usikimbie tu. Tuanze na Qur'an (7:158) inasema;Kuja kwa Nabii Muhammad s.a.w. si jambo geni kwa watu wa Kitabu maana kumebashiriwa mara nyingi katika Biblia. Hayayanathibitishwa na Qur'an inayosema hivi juu ya waaminio kwamba ni wale "Ambao wanamfuata Mtume, Nabii aliye Ummi, ambaye wao humkuta emandikwa kwao katika Taurati na Injili.Huwaamuru yaliyo mema na kuwakataza yaliyo mabaya. Labda hapo unababaika hujui hebu tazama point hii kwenye Bibilia;Isaya 28:9-13 kinasema, "Atamfundisha nani maarifa?Atamfahamisha nani habari hii? Je ni wale walioachishwa maziwa,walioondolewa matitini? Kwa maana ni amri juu ya amri, amri juu. ya amri, kanuni juu ya kanuni, kanuni juu ya kanuni, huku kidogona huku kidogo. La, bali kwa midomo ya watu wageni, na kwalugha nyingine atasema na watu hawa; ambao aliwaambia, Hiindiyo raha yenu, mpeni raha yeye aliyechoka; huku ndiko kuburudika; lakini hawakutaka kusikia."Kwa sababu hiyo neno la Bwana kwao litakuwa hivi, amri juu ya amri, amri juu ya amri; kanuni juu ya kanuni, kanuni juu ya
kanuni; huku kidogo na huku kidogo, ili waende na kuanguka nyuma, na kuvunjwa, na kunaswa, na kuchukuliwa".
Walioachishwa maziwa ni wana wa Ismaili ambao waliakhirishwa kupata ujumbe wa Mungu. Qur'aniliteremshwa pole pole, amri juu ya amri, kama ielezavyo bishara hiyo. Baadhi ya sura zilishuka Makka na nyingine Madina (Huku kidogo na huku kidogo).
Qur'an tukufu iliteremshwa katika lugha ya Kiarabu ambayo ni "Midomo ya watu wageni na lugha nyingine" kwa wana wa Israel.
Katika Isaya 21.13-17 mmeandikwa: "Hili ni neno zito lililo juu ya Arabia. Ninyi mtalala ndani ya msitu wa Arabuni, enyi Wadedani
wenye kusafiri pamoja, Wenyeji wa nchi ya Tema walimletea maji yule aliyekuwa na kiu, walimlisha mkate wao yule aliyekimbia.
"Kwani walizikimbia hizo panga, huo upanga uliofutwa, na huo uta uliopindwa, na hayo mazito ya vita. Kwani yeye Jehova
ameniambia neno hili, katika muda wa mwaka mmoja, kwa kuandama hesabu ya miaka ya mwenye kuajiriwa, huo utukufu. Kama hujaridhika pia soma hapa chini.
The Prophet who will come from the lands and "tents of Kedar" and "lands of Teman". Kedar and Teman (also called "Tema" in the Bible) are two of Ishmael's sons: Genesis 25:13-15. Hapo nadhani huna ujanja au bado? BTW; The "Kingdom of God" here means THE COVENANT & RELIGION OF GOD on earth to the new nation. Hapo ufalme untaok aIsrael unaenda uarabuni.
Hata mama yake Yesu aliogopa alipo muona Malaika au alifurahi, na akawa hana wasi wasi? Yani wewe unadhani Gabriel hatishi? We unafikiria nani aliye wamaliza umati wa Louti kama si Gabriel, aliwamaliza kwa ncha ya mbawa zake, kasome kijana Gabriel sio mchezo akigusa dunia kwa ncha ya mbawa zake pale kahamaki, basi dunia inasambaa kabisa. Sa we unadhani Mitume wote walimuona Gabriel hawajaogopa pale mwanzo?
Ushahidi maneno yake Warqah anamuliza Mtume Muhammad malaika aliye muona kama aliye muona Prophet Mussa. Sa unataka ushahidi gani tena? Au Warqah alimuliza nini, hebu sema wewe kama nayo yasema mimi ni uwongo. Na Mtume Muhammad akajibu nakusema ndio. Warqah akasema ningekuw akijana ningekuwa mkono wako wa kulia, kusaidia kufikisha ujumbe ulio letewa na Mungu kwa nia ya Gabriel.
Nilikuwa nakusudia vitabu vya dini ya kikristo, sio lazima iwe bibilia, na alikuwa ni priest. Sa uwongo wangu uko wapi? Kama nilitype Bibilia inawezekana by mistake tu, lakini nilikuwa nakusudia vitabu vya kikristo, kuna vitabu vingi tu sio lazima viwe bibilia.
Tatizo lako kijana hujui Qur'an Mtume Muhammad alianza kushushiwa wapi? FYI Qur'an ailianza kushushwa wakati Mtume Muhamamd yuko Pangoni katika mlima Hira (Jabal Hira). HAPO WEWE NDIO UNANIZULIA UWONGO NAJARIBU UWE MKWELI SIKU ZOTE, WACHA UWONGO.
Hii Aya inahusika nini na point yetu hapa, naona unakimbilia kwingine kama kawaida yako. Hebu wewe tueleze umeiweka hii Aya kwa sababu ipi? Inahusika nini na Mtume kupewa utume hapa? Hii Aya inaongelea mambo mengine kabisa na wewe umekuja ipachika. Ndio siku zote nasema wakristo mmekaa kama walevi, na wavuta bangi. Hamjui wapi mnakwenda.
Sa we akilini kwako Yesu alizaliwa kwenye Hospital? Hebu tuambie Hospital ipi alizaliwa au Palace gani alizaliwa au nyumba gani aliyo zaliwa. Si bora hata waislam tunasema alizaliwa chini ya mtende. Nyie wakristo mnasema alizaliwa kwenye zizi la ngo'mbe:wave:
nyinyi hamna Yesu mtajuaje alipozaliwa,?
nyinyi hamna Injili mtajuaje alipozaliwa,?
nyinyi hamtumii jina pekee la mwana wa mungu mtajuaje alipozaliwa,?
Muhammad hakuwahi kuwa mkristo wala kuujua ukristo mtajuaje alipozaliwa Yesu. ?
Mume wa Mariam (Yusufu) hakujulikana kwenu mtamjuaje YEsu alipozaliwa?
Ukristo ulikuwa wakwanza kuwepo, nyinyi mmekuja mkaanza upya mtajuaje alipozaliwa?
Nyinyi mnaabudu mkitazama kaa'ba mtajuaje wale wanaoabudu katika roho nakweli.
Nyinyi mji mtakatifu ni Mecca mtaijuaje Yerusalem?
Mtategemea supporting documents zipi?
Muhammad ametaja mbingu iliyotofauti kabisa na ile aliyoitaja Yesu, je nyinyi mtajuaje alipozaliwa?
Bibilia haiwajui nyinyi wala haiwataji: angali nyinyi mnaiwataja wakristo na wayahudi? Mtawezaje kutamka kwa ujasiri ya kuwa mnajua Mahali Yesu amezaliwa???
Kubwa kuliko yote ni kwa.. Muhammad hakumjua Yesu : wafuasi wake mtamjuaje??