Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Mimi nawaonea sana huruma hawa. Yaani wanamzulia Allah uongo hawa.Hahahaaaaa ..
Hao jamaa hawajui kama wameingizwa chaka
Hivi inawezekanane Adiosamigo akiwa anasema yeye ni mwanaume aseme "Yeye Adiosamigo ni mwanaume"?
Hiyo kauli atakuwa ameitoa yeye au ni mtu mwingine anamsemea?
Hawa jama wana msiba mkubwa sana mkuu!
Hata Muhammad mtume wao hakuwai sema "MIMI MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU. Hakika huu ni Msiba Mkubwa sana kwao.
Nimeomba aya weeeeeh, mpaka nimechoka sasa.
WAISLAM:
WAPI AYA AMBAYO MUHAMMAD ANASEMA: "Mimi Muhammad ni Mtume wa Mungu"