Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Hahahaaaaa ..

Hao jamaa hawajui kama wameingizwa chaka

Hivi inawezekanane Adiosamigo akiwa anasema yeye ni mwanaume aseme "Yeye Adiosamigo ni mwanaume"?

Hiyo kauli atakuwa ameitoa yeye au ni mtu mwingine anamsemea?

Hawa jama wana msiba mkubwa sana mkuu!
Mimi nawaonea sana huruma hawa. Yaani wanamzulia Allah uongo hawa.

Hata Muhammad mtume wao hakuwai sema "MIMI MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU. Hakika huu ni Msiba Mkubwa sana kwao.

Nimeomba aya weeeeeh, mpaka nimechoka sasa.

WAISLAM:

WAPI AYA AMBAYO MUHAMMAD ANASEMA: "Mimi Muhammad ni Mtume wa Mungu"
 
Dogo tatizo Mungu wenu analana sa nyie mtakuwa wazima? Ajabu ipi nikisema mimi Adiosamigo ni mwanaume? Sijui aibu hii mtaificha wapi Mungu wenu ana laana??

Wagalatia 3:13 inasema: Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa ALIFANYWA LAANA kwa ajili yetu; maana imeandikwa, AMELAANIWA KILA MTU AANGIKWAYE JUU YA MTI.

Na Kumbukumbu 21:22 nayo inasema: Ikiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti; mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa AMELAANIWA NA MUNGU; usije ukatia unajisi katika nchi yako …

Kumbe sasa unaanza KUKIRI mwenyee kuwa Yesu alifanywa LAANA kwa ajili yako. Safi sana kijana. Bado kidogo tutakubatiza.

Safi sana kwa Kukiri kuwa Yesu alifanywa LAANA.

WORDS IN RED: Ni nani aliye mpa Yesu Mamlaka ya kukomboa watu kutoka laana ya torati? Kwani mwenye uwezo wa kukomboa watu si Mungu Pekee?
 
Ni wakristo ndio mnasema kalaniwa sio waislam hahaha, hakuna muislam anaweza kusema Yesu kalaniwa labda awe kichaa. Bibilia ndio inasema mtu aliye tundikwa kwenye mti/amsalabani amelaniwa.

Safi sana! Nami nimeshamuelewesha kwamba mchakachuo wao ndio unasema hivyo.

Nahisi anatafuta njia ya kukimbia, maana kuna siku aliniambia ameshafanya research ya kutosha kwa dini yake na alistiza yeye sio mkiristo kwa sababu kazaliwa na wakiristo.

Hapa leo ananishangaza kidogo, maana porojo zote alizotoa ameambatanisha na aya mbili tu! Na anavyozidi kunishangaza ni kwamba mimi namuekea aya za bible hiyo hiyo anayoiamini but sijui kwanini anajifanya haelewi.

Ukimuuliza bible anaamini yote au nusu hajibu!

Mkuu nahisi ni ujinga wake tu kama alivyotajwa Timoteo wa pili, 3:7.

Hata hivyo bado nafasi anayo kwani Bible yasema heri ya Mjinga kuliko mpumbavu.

Mjinga akieleweshwa anaelewa! Yaani ujinga ni ukosefu wa elimu tu. Natumai ataelewa.

Ila kama ni mpumbavu, hapo itakuwa tatizo maana mpumbavu haelimiki.

Wacha niendelee naye Mkuu.
 
Naomba utoe maana ya sinagogi kama ilivyotafsiriwa nyuma ya bible unayoiamini. Acha bla bla! Hekalu na msikiti wapi na wapi?

.
The synagogue is the Jewish equivalent of a church, more or less. It is the center of the Jewish religious community: a place of prayer, study and education, social and charitable work, as well as a social center.

Mtoto Mbishi. Jifunze hapa maana ya Synagogue Judaism 101: Synagogues, Shuls and Temples
 
Huyu hapa chini ni Mkristo sio?

Kama mlivyomzushia Yesu eti ni Mungu ndivyo unavyonizushia mimi.

Aliyesema Yesu kalaaniwa unampata ktk Kumbukumbu la taurati, 21: 22.

Msimamo wangu nimeshakwambia ktk post iliyopita.

Na bwana wako Yesu anasema wanaosema uongo na kuzua watakwenda wapi?
 
The synagogue is the Jewish equivalent of a church, more or less. It is the center of the Jewish religious community: a place of prayer, study and education, social and charitable work, as well as a social center.

Mtoto Mbishi. Jifunze hapa maana ya Synagogue Judaism 101: Synagogues, Shuls and Temples

Ah! Ishmael bhana!

Yaani wewe ndio hamna kitu kabisa. Hujui lolote, ukiulizwa kitu hadi ukapakue gugo.

Na sometimes hata ulichokipakua hukijui, na kama unakijua tafsiri tu hizo shengesha ulizozipaste hapo.

Hiyo ni moja.

Mbili nimetaka maana ya sinagogi kama ilivyoandikwa nyuma ya biblia.

Tatu. Mwenzio (Eiyer)
kasema sinagogi ni msikiti lakini sio msikiti wa kiislamu.

Jee nikuamini wewe, yeye (Eiyer) au niamini ilivyoandikwa nyuma ya bible?

Usipojibu hayo maswali matatu... Bora angalia tu mjadala wetu huenda ukajifunza kitu.
 
Hujaona kama amesema Yesu amelaaniwa?

Mimi nimesema wapi Yesu amelaaniwa?

Yesu ni Mungu wangu,nitasemaje huo uchafu?

Eiyer acha ubabaishaji, nilipokwambia bible imechakachuliwa umebisha.
Bible inasema Yesu amelaaniwa bado unabisha.

Huu sio ujinga tena, huu sasa ni upumbavu.

Ivi unaiamini bible au huiamini? (swali hili unalikwepa sana)
 
Ah! Ishmael bhana!

Yaani wewe ndio hamna kitu kabisa. Hujui lolote, ukiulizwa kitu hadi ukapakue gugo.

Na sometimes hata ulichokipakua hukijui, na kama unakijua tafsiri tu hizo shengesha ulizozipaste hapo.

Hiyo ni moja.

Mbili nimetaka maana ya sinagogi kama ilivyoandikwa nyuma ya biblia.

Tatu. Mwenzio (Eiyer)
kasema sinagogi ni msikiti lakini sio msikiti wa kiislamu.

Jee nikuamini wewe, yeye (Eiyer) au niamini ilivyoandikwa nyuma ya bible?

Usipojibu hayo maswali matatu... Bora angalia tu mjadala wetu huenda ukajifunza kitu.
What do you know? All you know is talking unintelligibly while jabbering like a kid.
 
Dogo hii aibu sijui mtaificha wapi...mnalana nyie na Paulo wenu.

Wagalatia 3:13 inasema: Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa ALIFANYWA LAANA kwa ajili yetu; maana imeandikwa, AMELAANIWA KILA MTU AANGIKWAYE JUU YA MTI.

Na Kumbukumbu 21:22 nayo inasema: Ikiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti; mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa AMELAANIWA NA MUNGU; usije ukatia unajisi katika nchi yako.

Safi sana Mkuu, hawa watu wakifa makafiri ni upumbavu wao wenyewe. Kiukweli wamepata bahati at least ya kupata watu wa kuwatoa matongo ila wanashindwa kutumia nafasi.

Wewe endelea na huyo kichwa ngumu mimi namsubiri Eiyer tumalizane na issue za mjadala tunaokwenda nao, then nimpeleke stage nyengine na nategemea sana kama anaiamini bible basi mwisho wa siku kheri kubwa itapatikana.
 
What do you know? All you know is talking unintelligibly while jabbering like a kid.

Umeshindwa kujibu na hapo. Si ndio?

Siku zote nakwambia, Ishmael haujui kitu.

Na ukifa kafiri unakwenda motoni.

Kilichobaki usubirie hatua inayofuata ktk mjadala wangu na Eiyer naamini nawe utajifunza kitu.
 
Ila kama ni mpumbavu, hapo itakuwa tatizo maana mpumbavu haelimiki.

Wacha niendelee naye Mkuu.
Hebu tujifunze kwa kutumia Biblia:

Zaburi 14 : 1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema

Sasa tusome Quran:
Hakuna Mungu ila Allah na Muhammad ni mtume wake

Hakika leo umejifunza kuwa Asemaye kuwa hakuna Mungu ni Mpumbavu.

Umeshindwa kujibu na hapo. Si ndio?

Siku zote nakwambia, Ishmael haujui kitu.

Na ukifa kafiri unakwenda motoni.

Kilichobaki usubirie hatua inayofuata ktk mjadala wangu na Eiyer naamini nawe utajifunza kitu.

Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.

Mungu wa Waislam ajulikanaye kwa Jina la Allah amesema kiuwazi kabisa kuwa "wale wote ambao wanajivunia Uislam na kumuabudu Allah wataingia Motoni"
 
Hebu tujifunze kwa kutumia Biblia:

Zaburi 14 : 1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema

Sasa tusome Quran:
Hakuna Mungu ila Allah na Muhammad ni mtume wake

Hakika leo umejifunza kuwa Asemaye kuwa hakuna Mungu ni Mpumbavu.

Iyo inaitwa kufilisika.
Ukifilisika waweza kumbuka hata uporo uliowaekea mbwa na ukafanya kiporo hiko kuwa ni mlo wako wa kesho.

Wewe kwa maneno huelewi. Nimekuekea tupicha huenda ukaelewa.

14NXg_myspace_diary_692743f.jpg
 
Wewe niambie, kati ya Wakristo na Waislam, ni nani wanasema kuwa HAKUNA MUNGU ILA ALLAH?

Sasa tuwasikilize na maswahiba wa Mtume Muhammad.
Simulizi za Maswahaba wa Mtume wa Allah:
Pia imesimuliwa na Ibn Jarir, iliyosimuliwa na Abu Kurayb, imesimuliwa na Ibn Yaman, imesimuliwa na Ibn Malik Maghul, imesimuliwa na Ibn Ishaq ambaye alisema, "Kila mara Abu Maysarah anapo kwenda kulala na akiwa kitandani kwake yeye husema, 'Mimi nasikia Uchungu kuzaliwa na Mama yangu. 'na kisha anaanza kulia kwa Machozi. Alipoulizwa kwa nini alikuwa akilia, alijibu ayafuatayo,' Tuliambiwa kwamba SISI WAISLAMU tutaingia Jehannamu, LAKINI HATUKUAMBIWA kwamba TUTATOLEWA HUKO JEHANAMU NA HATUKUAMBIWA NI KIVIPI TUTATOKA HUKO'"

Mfuasi huyu wa Muhammad anaoneka kupatwa na mshtuko mkubwa, pale alipo ambiwa kuwa, Waislam wote wataingia Jehannam. Mshtuko huu umemfanya ailaani siku ambayo alizaliwa. Kitu cha kujiuliza, kwanini Allah ambaye ni mungu wa Waislam anatoa ahadi ya Jehannam na si Akhera kama wafundishavyo Waislam?
 
Safi sana Mkuu, hawa watu wakifa makafiri ni upumbavu wao wenyewe. Kiukweli wamepata bahati at least ya kupata watu wa kuwatoa matongo ila wanashindwa kutumia nafasi.

Wewe endelea na huyo kichwa ngumu mimi namsubiri Eiyer tumalizane na issue za mjadala tunaokwenda nao, then nimpeleke stage nyengine na nategemea sana kama anaiamini bible basi mwisho wa siku kheri kubwa itapatikana.
Hapo nilipoweka red kwenye quote yako kuhusiana na makafiri, angalia hili hapa fungu hapa chini

Yuda 1:4 Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.

Je unamkubali Bwana wetu Yesu Kristo!?

Kama haumkubali hauoni wewe ni Kafiri!? kwa mujibu wa hilo andiko...
 
Wanao mkana Bwana wetu Yesu ni Makafiri. Tena wanamkana Mola kwa kusema HAKUNA MUNGU.
 
Naam ndio God ni Jina la Mungu.
WAISLAM NI MAKAFIRI KWASABABU WANAMKANA BWANA YESU NA KUSEMA KUWA HAKUNA MUNGU:
=========================================================================
Yuda 1:4 Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.

Zaburi 14 : 1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema

Sasa tusome Quran:
Hakuna Mungu ila Allah na Muhammad ni mtume wake

Hakika leo umejifunza kuwa Asemaye kuwa hakuna Mungu ni Mpumbavu.
 
WAISLAM NI MAKAFIRI KWASABABU WANAMKANA BWANA YESU NA KUSEMA KUWA HAKUNA MUNGU:
=========================================================================
Yuda 1:4 Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.

Zaburi 14 : 1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema

Sasa tusome Quran:
Hakuna Mungu ila Allah na Muhammad ni mtume wake

Hakika leo umejifunza kuwa Asemaye kuwa hakuna Mungu ni Mpumbavu.

Vp Yule anaesema mungu wapo watatu
 
Vp Yule anaesema mungu wapo watatu
Hana kosa lolote lile. Mwenye kosa ni yule anayesema kuwa eti Allah hana msaidizi wakati huohuo anamtuma Jibril. Kwanini mumzulie Allah uongo huku wote tunafahamu kuwa Allah anaye msaidizi.

The Prophet (salAllahu `alaihi wa sallam) said:
"When Allah (subhanu wa ta'ala) created Paradise and Hell, He sent Jibreel to Paradise, saying "Go and look at it and at what I have prepared therein for its inhabitants". So he went and looked at it and at what Allah had prepared therein for its inhabitants.... then He sent him to Hellfire saying, "Go and look at it and what I have prepared therein for its inhabitants", so he looked at it and saw that it was in layers, one above the other...." [Muslim, Abu Dawood]
 
Hapo nilipoweka red kwenye quote yako kuhusiana na makafiri, angalia hili hapa fungu hapa chini

Yuda 1:4 Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.

Je unamkubali Bwana wetu Yesu Kristo!?

Kama haumkubali hauoni wewe ni Kafiri!? kwa mujibu wa hilo andiko...

Safi sana Mkuu wa chuo. Napenda sana ukiambatanisha na aya kwa hoja zako.

JIBU.
Hapana simkubali Yesu kristo, na kafir maana yake ni aliekufuru.

Ni nani aliekufuru?
Jibu:
QURAN 5:72-73
72. Hakika wamekufuru
walio sema: Mwenyezi
Mungu ni Masihi mwana
wa Maryamu!
Na hali Masihi
mwenyewe alisema: Enyi
Wana wa Israili!
Muabuduni Mwenyezi
Mungu, Mola wangu
Mlezi na Mola wenu
Mlezi. Kwani anaye
mshirikisha Mwenyezi
Mungu, hakika Mwenyezi
Mungu atamharimishia
Pepo, na mahala pake ni
Motoni...

Mkuu wa chuo najua huamini Qurani.

Sasa msikilize unaemwita Mungu yeye anasemaje ili ujue kati mimi na wewe nani kafiri.

Marko 12 18.
Bwana Mungu wetu ni bwana mmoja.

Yohana 5 30.
Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe.

Yohana 20 17.
Ninaapa kwenda kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

Kabla hatujaendelea naomba uniambie ni kwa namna gani unaiamini biblia.
Jee unaamini aya zote?

Au unaamini baadhi na kuacha baadhi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom