Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Wewe ni mpumb.avu na huna shkurani. Bwana wako anasema umpende adui yako.

Ivi kama mimi nisingeuliza hayo maswali wewe ungepata wapi uwo ufafanuzi?

Mkuu Mashaxizo nashukuru kwa kutambua kwamba Mungu wetu yeye ambaye Yesu kristu ndiye mwanae wa pekee ametufunza kuwapenda adui zetu na katukataza katakata tusilipize "kisasi" kwani hatuwezi kushindana na mtu mwovu. Na nashukuru kwamba hakuna mahali nilipokuchukia,kama papo "I'm here Istand to be corrected" nionyeshe!!

Halafu kudai kwamba sijakushukuru, utakuwa unasoma mada kwa haraka haraka nakushauri uwe unasoma na kuelewa ili kuepusha maswali na maelezo yanayojirudia rudia na kuna mahali hapo juu nimewaona wadau flani wakihoji kwannini hamuelewi ilhali maelezo yote ya maswali yenu mmewekewa tena kwa ukamilifu lakini nado mnajifanya hamwelewi!!! Na hili nalithibitisha hapa kwani unadai sijakushukuru wakati mimi nimekushukuru si wewe tu bali na wengine wote kwa sentesi hii "Wakuu Eiyer,Ishmael,Mkuu wa Chuo na Wengineo" wewe ulitaka mpaka nikutaje kwa jina? Oky tambua nimekushukuru hapo kwenye Red

Halafu ukitaka kuonekana mwaledi na mtu makini jiepushe na matusi na lugha za mitaani vinginevyo hutapishana na walevi wa mataputapu huko Vilabuni

This is Jamii Intelligence!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:

Ok.

Nakushauri ufuatilie huu mjadala.

Nimekabwa sana. But nitarudi kuangalia hiyo page iliyopita nimejiwa na kuulizwa nini kwani hata sijaangalia. Nimefungua tu mention yako.
 
Last edited by a moderator:
nataka twende pole pole hivi hivi ili uelewe concept unayoiuliza ya alifanywa laana kwa ajili yetu

kuhusiana na swali lako Yesu hakulaaniwa kwa sababu hakutenda dhambi...

We unadhani ni kosa lipi ambalo Yesu alifanya mpaka kutundikwa!? mimi nalifahamu kosa lililomfnya mpaka akatundikwa...

Wewe unadhani Wayahudi walimuhukumu kwa kosa lipi!?

Jibu hilo halafu tuendelee

Si umeona hapo? Unasema eti alihukumiwa. Mungu anahukumiwa?

Mimi naamini Yesu ni mtume wa mungu na nakujibu swali lako kama ifuatavyo:
Sijui alitenda kosa gani hata akahukumiwa. Ila nasihi walikuwa wanampinga kwani alikuwa akiwafundisha watu kumuamini Mungu wa kweli na kutomshirikisha na chochote.

Unaposema Yesu hakulaaniwa, mpaka hapo unapingana na wagalatia 3: 13.
...

Nakuuliza swali jengine.
Jee unaushahidi wowote wa andiko linalosapoti kifo cha Yesu?
 
Hapo nilipoweka red nimekueleza kuhusiana na Incarnation, ila bado hauelewi, hebu angalia hili andiko linaelezea Incarnation pia

Yohana 1:14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

Hapo nilipoweka blue hata hujui Yesu alishtakiwa kwa kosa gani, halafu hapo hapo unarukia fungu la Wagalatia, ndio maana scripture zinakupiga chenga... Sasa kama hujui Yesu alishtakiwa kwa kosa gani pamoja na filamu nyingi za Yesu, na stori za Yesu ni nyingi zaidi, huko kwa Paulo ndio utaelewa!? na kutaka kuanza kufundisha wengine...

Hapo nilipoweka purple umeniomba nikuonyeshe alifanywa vipi laana kwa ajili yetu, nikiandika vitu vingi unaniambia huelewi, na ukashauri twende pole pole, sasa na mimi naenda pole pole halafu wewe hatujamaliza huku unakuja na swali jingine, nikianza kushuka utalalamika tena na utaambulia patupu... huko tutafika tu

Haya tuendelee polepole kama unavyotaka, nijibu tuendelee

Sasa kama hakuwa na dhambi ni kwanini walimtundika!? Na sheria za Wayahudi zinasema vipi kuhusiana na kutundikwa juu ya mti!?
 
Mkuu wa chuo hapa tunabiringishana tu. Kwa maana wewe umeshikilia incarnation nami nami nakwambia hana kivuli cha kugeuka geuka.

Embu tukubali kutokubaliana hapo.

Tuje kwenye laana.

Sheria za wayahudi, mtu akitenda dhambi na akatundikwa juu ya mti, mtu huyo amelaaniwa.

Tuko pamoja hapo?

Yesu hakutenda dhambi! Nilipokwambia sina uhakika ni kutokana tu na kukosa kifungu ktk bible ili kueka kama ushahidi. But kwa imani yangu ALITAKA kuuliwa kwa kumtukuza Mungu mmoja na kumtangaza kwa watu.

Yohana 8: 40.

Lakini sasa, mnatafuta kuniua MIMI MTU ambaye NIMEWAMBIA ILIYOKWELI.

Mwenyewe alisema hivyo.

Haya pinga na hiyo.

Kuhusu habari ya kulaaniwa. Nimekwambia.

Wagalatia 3: 13. Imesema Yesu kalaaniwa.

Hiyo aya sijaitunga mimi, imo katika biblia.

Labda nikurudishie swali.

Jee Yesu amelaaniwa au hakulaaniwa?

Nakumbuka kabla ya hapa nimeshawahi kukuuliza hilo swali.

Unaweka porojo sana mpaka nashindwa kuelewa.

Hebu jibu kwa ufupi tu. Kwa mfano: hajalaniwa, na ushahidi ni ...

Sio lazima ueke mafungu mengi, kwani ukiweka mengi unazidi kunipa nafasi ya kukuuliza maswali mwisho wa siku tunarudia humo humo.

I hope umenielewa.
 
Hapo nilipoweka red lile andiko lilikuwa linamaanisha kugeuka geuka kwa umbo!? kama ndio hivyo basi nipe na maana ya mstari uliokuwa unafuata Yakobo 1:18

Yakobo 1:18 Kwa kupenda kwake mwenyewe alituzaa sisi kwa neno la kweli, tuwe kama limbuko la viumbe vyake.

Nimekuuliza Mungu alituzaa vipi hapo kwa neno la kweli!? na kwa jinsi gani tumekuwa limbuko la viumbe vyake!? sina uhakika hata kama unajua maana ya neno limbuko... Wewe si unajua kufasiri maandiko zaidi ya Wakristo, basi nielekeze na hilo andiko linalofuata lina maana gani!? mimi ninaelewa haya sasa hebu niambie hapo inamaana gani!?

Okay kwa vile Yesu hakutenda dhambi kwa hiyo hajalaaniwa... lakini hiyo inamaana gani kwa Wayahudi, jibu hili swali

inamaana ile kutundikwa tu hauoni alifanywa laana pasipokuwa na laana!? kwasababu hakutenda dhambi...

Hapo nilipoweka blue hiyo sio sababu, Sababu ya Yesu kushtakiwa ni kwasababu alijiita mwana wa Mungu, hiyo ikawa ni kufuru kwa Wayahudi

Hilo Ishmael alikujibu na mimi nikajaribu kufafanua lakini unaonekana ni mgumu kuelewa, ulijibiwa kwamba ni God Incarnate

Hapo nilipoweka purple acha UONGO wako, Hiyo Wagalatia haijasema Yesu Kalaaniwa, bali imesema alifanywa laana kwa ajili yetu, halafu ikanukuu torati

Wagalatia 3:13 Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;

zingatia hapo bold, kuhusiana na hilo swali lako nimekwisha lijibu hapo juu

Hapo nilipoweka green, tumekubaliana kwamba niende pole pole wala siweki porojo nafafanua zaidi, kuhusiana na mafungu nitapunguza kwasababu unachanganyikiwa ukiona scripture nyingi

Halafu nimekujibu hajalaaniwa na nimekupa na ushahidi kwasababu hakutenda dhambi kwasababu hakutundikwa akiwa amekufa... na wewe umekubaliana kwamba hajalaaniwa, au labda nijibu hili swali

Nini maana ya alifanywa laana!? japokuwa nimeelezea huko juu, labda wewe unamaana yako na unalisoma tofauti, hebu iweke basi...
 
Ookey. Nimeshagundua wapi iko tatizo.

Embu gugo tena hiyo Wagalatia 3: 13. Utagundua wengine wameandika 'amelaaniwa' na wengine wameandika amefanyika laana.
...
Ok na iko njema hapo ulipoelezea namna ya hiyo laana unayosema amefanyika.

Nadhani tuko pamoja hapo.

Na ulisema Yesu alikufa.

1
Thibitisha.

2
Baada ya kufa na kufufuka halafu alikwenda wapi? (Apo naongelea ule mwili wa Yesu uliofufuka)
...
Naomba unijibu hayo maswali.
 
Let me teach you something here and the original word that Apostle Paul used: First I will start with a verse from Galatians:

Galatians 3:13 Christ hath redeemed us from the curse of the law, being made a curse for us: for it is written, Cursed [is] every one that hangeth on a tree:
Now this is how it works:
Note: Galatians 3:13: The Law brought a "blessing" if obeyed or a "curse" if disobeyed. any failure to obey the Law brought on the curse (Deuteronomy 28:15-68). Therefore, everyone was under the curse (Galatians 3:22) for all have sinned (Romans 3:23). But, praise God, Christ redeemed us from the curse of the Law by bearing our curse for us. Now, through Christ, we will never receive any curse from God even though we all still disobey the Law in some way.

Apostle Paul cited Deuteronomy 21:23 to show that justice was satisfied when Jesus died for the Law we broke, thus paying the prescribed penalty and bearing the curse. There is no condemnation awaiting us from the Law, for we died in Him (Romans 8:1).

Nadhani tuko pamoja hapo.

Na ulisema Yesu alikufa.

1
Thibitisha.
Read Matthew 27: 46-51

2
Baada ya kufa na kufufuka halafu alikwenda wapi? (Apo naongelea ule mwili wa Yesu uliofufuka)
...
Naomba unijibu hayo maswali.

Luke 24:46-53 --He told them, "This is what is written: The Christ will suffer and rise from the dead on the third day, and repentance and forgiveness of sins will be preached in his name to all nations, beginning at Jerusalem. You are witnesses of these things. I am going to send you what my Father has promised; but stay in the city until you have been clothed with power from on high." When he had led them out to the vicinity of Bethany, he lifted up his hands and blessed them. While he was blessing them, he left them and was taken up into heaven. Then they worshiped him and returned to Jerusalem with great joy. And they stayed continually at the temple, praising God.
 
Ookey. Nimeshagundua wapi iko tatizo.

Embu gugo tena hiyo Wagalatia 3: 13. Utagundua wengine wameandika 'amelaaniwa' na wengine wameandika amefanyika laana.
...
Ok na iko njema hapo ulipoelezea namna ya hiyo laana unayosema amefanyika.

Nadhani tuko pamoja hapo.

Na ulisema Yesu alikufa.

1
Thibitisha.

2
Baada ya kufa na kufufuka halafu alikwenda wapi? (Apo naongelea ule mwili wa Yesu uliofufuka)
...

Naomba unijibu hayo maswali.
Hapo nilipoweka red uthibitisho ni huu

Yohana 19:33 Lakini walipomjia Yesu na kuona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu;

Hilo swali la pili nilipoweka blue
Aliwatokea watu wake kabla hajachukuliwa juu mbinguni

Marko 16:7 Lakini enendeni zenu, mkawaambie wanafunzi wake, na Petro, ya kwamba awatangulia kwenda Galilaya; huko mtamwona, kama alivyowaambia.
 
Watu wengi wanasoma vitabu vya dini,lakini huwa hawavielewi! ila wanavitumia kama kumbukumbu,ila kwa mtu ANAYETULIA kwenye mizani na kufikiri juu ya uhalisi hawezi kataa habari ya nyota,nyota inaweza kupingwa tu kama itatumika vibaya!, kwa fikra zangu nyota ni codes za mungu aishie mbinguni(anga la mbali) zinatumika kuwasiliana mungu na binadamu(hususan makuhani,shehe na viongozi wengine wakubwa wa dini),yesu alipozaliwa code ilionekana na mmamajusi! so why you ignore astrology?
 
Kama "code" kila kinachofanyika angani(nyota,sayari,mwezi,asteroids nk) kina reflect kitakachotokea duniani! usione mataifa makubwa yanang'angana kwenda angani with millions of $ invested on projects!,sema kwamba mamlaka nyingi zinajitahidi kupinga/kuzuia nyota ili kumsaidia binadamu asifadhaike kutokana na codes kutoa tarifa mbaya kama kifo,balaa,vita ukame;njaa mafuriko,tsunami n.k
 
Si umeona hapo? Unasema eti alihukumiwa. Mungu anahukumiwa?

Mimi naamini Yesu ni mtume wa mungu na nakujibu swali lako kama ifuatavyo:
Sijui alitenda kosa gani hata akahukumiwa. Ila nasihi walikuwa wanampinga kwani alikuwa akiwafundisha watu kumuamini Mungu wa kweli na kutomshirikisha na chochote.

Unaposema Yesu hakulaaniwa, mpaka hapo unapingana na wagalatia 3: 13.
...

Nakuuliza swali jengine.
Jee unaushahidi wowote wa andiko linalosapoti kifo cha Yesu?

Kifo cha yesu kilisababishwa na VIONGOZI wa dini( hapo awali walishika pia utawala wa dola/serikali) na hao ndio wenye dhambi waliotesa watu, kuwatoza sadaka kubwa,kodi,na kuwaadhibu masikini(kwa kutumia dola) wakila na kunywa vinono kwenye kasri zao na wafalme(ambao walikuwa wakiwapa ushauri na baraka kwa mwamvuli wa dini).lakini alipokuja yesu(akazaliwa zizini na sio katika kasri) kwa nia ya kuwakomboa masikini,wenye dhambi! n.k ila wakaona analeta UKOMBOZI(kwa maskini) na Kuangusha UFISADI,UNAFIKI,RUSHWA...
 
Hapo nilipoweka red uthibitisho ni huu

Yohana 19:33 Lakini walipomjia Yesu na kuona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu;

Hilo swali la pili nilipoweka blue
Aliwatokea watu wake kabla hajachukuliwa juu mbinguni

Marko 16:7 Lakini enendeni zenu, mkawaambie wanafunzi wake, na Petro, ya kwamba awatangulia kwenda Galilaya; huko mtamwona, kama alivyowaambia.

Ok hata mimi naamini Alichukuliwa mbinguni.

Swali la kwanza.

Kama alichukuliwa mbinguni, alichuliwa na nani na wakati huo yeye alikuwa nani?
Kwani mnakubali Mungu ni mmoja na kwa mujibu wa maelezo yako (toka huko nyuma) ni kwamba, Mungu ni roho, akaingia kwa Yesu, Yesu alipokufa siku tatu, roho yake ambayo ni roho ya Mungu ikarudi mbinguni, wakati anafufuka, ile roho ya Mungu ikamrudia tena.

Jee ni kweli maneno hayo?

Ikiwa ni kweli au sio kweli naomba ufafanue. Nnachota nielewe hapo ni kwamba, wakati Yesu amefufuka na Yeye ndie Mungu kwanini asiende mwenyewe huko mbinguni intead umesema akachukuliwa.
...

Umethibitisha kwa andiko juu ya kifo cha Yesu.

Mimi naamini Yesu hakufa.

Fungua Matayo 12: 38 - 40.

12:38.
Kisha baadhi ya
waandishi wa sheria
na Mafarisayo
wakam wambia,
“Mwalimu, tunataka
kuona ishara kutoka
kwako.

12:39
Lakini
yeye akawajibu,
“Kizazi cha watu
waovu na
wasiowaami nifu
hutafuta ishara;
lakini hawatapewa
ishara yo yote
isipokuwa ile ya nabii
Yona.

12:40
Kwa maana
kama vile Yona
alivyokaa katika
tumbo la nyangumi
kwa muda wa siku
tatu mchana na
usiku, vivyo hivyo
mimi Mwana wa
Adamu nitakaa siku
tatu, mchana na
usiku ndani ya ardhi.

Hapo Yesu anasema, hamtopewa ishara yoyote isipokuwa ya nabii yona.

Swali la pili?
Jee nabii yona alikufa alipokuwa ndani ya tumbo la nyangumi?

Isitoshe na hapo 12: 40 anayema yeye ni binadamu. But achana napo tumeshajadili sana kuhusu hapo.
 
Kabla ya kuanza kushuka maelezo na mambo mengine ili kwamba twende pole pole ningependa, kujua unamuelewaje Mungu!? na Mungu ni nini!? kwanini nasema hivyo, kwasababu naona Muda mwingine unampa mipaka kwamba hichi hawezi kufanya, naona concept za Mungu zinaweza zikawa zinatofautiana...

Kabla hatujaanza kuangalia concept ya omnipresent, maswali yako hayo yote nitayajibu ila naona kuna tatizo, hebu angalia hii verse halafu nitakuuliza swali

Mathayo 27:50 Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.

Sasa ningependa utafakari, ni kwa namna gani aliitoa roho yake

Umethibitisha kwa andiko juu ya kifo cha Yesu.

Mimi naamini Yesu hakufa.

Fungua Matayo 12: 38 - 40.

12:38.
Kisha baadhi ya
waandishi wa sheria
na Mafarisayo
wakam wambia,
"Mwalimu, tunataka
kuona ishara kutoka
kwako.

12:39
Lakini
yeye akawajibu,
"Kizazi cha watu
waovu na
wasiowaami nifu
hutafuta ishara;
lakini hawatapewa
ishara yo yote
isipokuwa ile ya nabii
Yona.

12:40
Kwa maana
kama vile Yona
alivyokaa katika
tumbo la nyangumi
kwa muda wa siku
tatu mchana na
usiku, vivyo hivyo
mimi Mwana wa
Adamu nitakaa siku
tatu, mchana na
usiku ndani ya ardhi.

Hapo Yesu anasema, hamtopewa ishara yoyote isipokuwa ya nabii yona.

Swali la pili?
Jee nabii yona alikufa alipokuwa ndani ya tumbo la nyangumi?

Isitoshe na hapo 12: 40 anayema yeye ni binadamu. But achana napo tumeshajadili sana kuhusu hapo.
Naona hoja yako unaijenga katika hilo fungu la Mathayo 12:40, halafu una buni na swali wakati na jibu unalo, nasikitika kukwambia kufasiri hiyo scripture kumekupiga chenga pia, sitoweka vifungu vingine nitatumia hiyo hiyo kukuuliza maswali, tu Assume kwamba mimi sijui kitu wewe ndio umenishtua, sasa mimi ili kujiridhisha nakuuliza maswali wewe mtaalamu unipe maana ya hilo andiko ili nijiridhishe kwamba madai yako ni sawa, naliweka hapa chini tena hilo fungu, halafu unisaidie kulielewa vizuri

Mathayo 12:40 Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi.

Hapo nilipoweka red moyo wa nchi ni kitu gani!? Yesu alimaanisha nini... Halafu Yesu aliwezaje kuwa kwa siku tatu huko!? au kama andiko lako kwenye hiyo tafsiri linavyosema huko ndani ya ardhi ndio wapi!? Nisaidie kwanza hapo inaonekana ni mtaalamu sana wa kufasiri, kabla hatujarukia kwenye lile hitimisho lako...
 
Kabla ya kuanza kushuka maelezo na mambo mengine ili kwamba twende pole pole ningependa, kujua unamuelewaje Mungu!? na Mungu ni nini!? kwanini nasema hivyo, kwasababu naona Muda mwingine unampa mipaka kwamba hichi hawezi kufanya, naona concept za Mungu zinaweza zikawa zinatofautiana...

Kabla hatujaanza kuangalia concept ya omnipresent, maswali yako hayo yote nitayajibu ila naona kuna tatizo, hebu angalia hii verse halafu nitakuuliza swali

Mathayo 27:50 Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.

Sasa ningependa utafakari, ni kwa namna gani aliitoa roho yake

Naona hoja yako unaijenga katika hilo fungu la Mathayo 12:40, halafu una buni na swali wakati na jibu unalo, nasikitika kukwambia kufasiri hiyo scripture kumekupiga chenga pia, sitoweka vifungu vingine nitatumia hiyo hiyo kukuuliza maswali, tu Assume kwamba mimi sijui kitu wewe ndio umenishtua, sasa mimi ili kujiridhisha nakuuliza maswali wewe mtaalamu unipe maana ya hilo andiko ili nijiridhishe kwamba madai yako ni sawa, naliweka hapa chini tena hilo fungu, halafu unisaidie kulielewa vizuri

Mathayo 12:40 Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi.

Hapo nilipoweka red moyo wa nchi ni kitu gani!? Yesu alimaanisha nini... Halafu Yesu aliwezaje kuwa kwa siku tatu huko!? au kama andiko lako kwenye hiyo tafsiri linavyosema huko ndani ya ardhi ndio wapi!? Nisaidie kwanza hapo inaonekana ni mtaalamu sana wa kufasiri, kabla hatujarukia kwenye lile hitimisho lako...

Swali no 2, clear.

Naomba unijibu swali no 1, kama nilivyokuuliza.

Nakujibu swali lako.

Mungu ni mmoja.
Hana mshirika.
Hana mtoto wala hana baba (hakuzaa wala hakuzaliwa)

Kuhusu nguvu Mungu ni muweza wa yote.
Naomba urudie post niliyokuuliza maswali na unijibu kama nilivyokuuliza kule.
 
Mungu anaweza kuwepo kila mahali kwa wakati mmoja au hawezi?
 
Mbona swali la Yesu kuwepo kwenye moyo wa nchi hujajibu?
 
Mungu anaweza kuwepo kila mahali kwa wakati mmoja au hawezi?

Eiyer Mungu yopo mote siku zote lakini hajawahi kumuingia mtu.

Hata sitaki kukuuliza swali. Sababu itafuata post ya chini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom