respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
Wewe ni mpumb.avu na huna shkurani. Bwana wako anasema umpende adui yako.
Ivi kama mimi nisingeuliza hayo maswali wewe ungepata wapi uwo ufafanuzi?
Mkuu Mashaxizo nashukuru kwa kutambua kwamba Mungu wetu yeye ambaye Yesu kristu ndiye mwanae wa pekee ametufunza kuwapenda adui zetu na katukataza katakata tusilipize "kisasi" kwani hatuwezi kushindana na mtu mwovu. Na nashukuru kwamba hakuna mahali nilipokuchukia,kama papo "I'm here Istand to be corrected" nionyeshe!!
Halafu kudai kwamba sijakushukuru, utakuwa unasoma mada kwa haraka haraka nakushauri uwe unasoma na kuelewa ili kuepusha maswali na maelezo yanayojirudia rudia na kuna mahali hapo juu nimewaona wadau flani wakihoji kwannini hamuelewi ilhali maelezo yote ya maswali yenu mmewekewa tena kwa ukamilifu lakini nado mnajifanya hamwelewi!!! Na hili nalithibitisha hapa kwani unadai sijakushukuru wakati mimi nimekushukuru si wewe tu bali na wengine wote kwa sentesi hii "Wakuu Eiyer,Ishmael,Mkuu wa Chuo na Wengineo" wewe ulitaka mpaka nikutaje kwa jina? Oky tambua nimekushukuru hapo kwenye Red
Halafu ukitaka kuonekana mwaledi na mtu makini jiepushe na matusi na lugha za mitaani vinginevyo hutapishana na walevi wa mataputapu huko Vilabuni
This is Jamii Intelligence!!
BACK TANGANYIKA
Last edited by a moderator: