Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Matatizo hujafika Makkah Al Mukarama ukajua kama wana abudu mawe au wana abudu Mungu, unadhani wote wameutukuza mti wa laana ile misalaba? Ukienda kule ndio utajua kisa kamili cha dini ya Mungu na kufahamu Prophet Ismail ndio alikuwa kipenzi cha Mungu yeye na mamayake Hajar. Ukienda Huko ndio utajua kila dini lazima iwe na dalili yake kama uislam ndio dini ya kweli. Dalili zote za Prophet Ibrahim kupewa mitihani yeye na Mungu utaziona Pale Makkah Al Mukarama.
 
HAPA NATHIBITISHA BIBLE IMECHAKACHULIWA.
Nitatumia aya chache ktk Quran na nyingi ktk Bible.

Biblia ni nini?

Biblia ni neno lililotokana
na neno la Kigiriki Biblios
lenye maana ya
mkusanyiko wa vitabu
vingi.

Hata wewe ukikusanya vitabu vingi na ukaandika ktk kitabu kimoja waweza ita biblia.

Jee biblia ni maneno ya Mungu?

Ili kujibu hapo yatupasa kuangalia Mungu alishusha vitabu gani.

3: 3-4 Quran. Mungu anamwambia Muhamad.

Amekuteremshia kitabu kwa haki (Quran) kinachosadikisha yaliyokuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili. Zamani, ziwe uwongozi kwa watu, na akateremsha vitabu vyengine vya kupambanua baina ya haki na batili...

Kwa mfano?

17: 55 Qurani.

...na Daudi tulimpa Zaburi.

Hivyo ndio vitabu vilivyoshushwa na Mungu.

BAADA YA KUONDOKA MANABII, VITABU VYA MUNGU VILIKAMATWA NA WANADAMU NA VIKACHOMWA MOTO.

Maneno hayo, yanapatikana hata ktk biblia.

1: 53-54 Makabayo 1.

Hata Waizraili walazimika wajifiche katika makimbilio yao huko Jasiri, siku ya keiselvu, mwaka wa mia 45, waliweka chukizo juu ya madhabahu, na katika miji ya Uyahudi, kila upande walijenga vimadhabahu vya miungu, wakafukiza uvumba milangoni pa nyumba na njiani, NA VITABU VYA TAURATI WALIVYOVIPATA WALIVIRARUA VIPANDE VIPANDE WAKAVITEKETEZA KWA MOTO, MTU YOYOTE ALIEPATIKANA NA KITABU AU ALIEONEKANA ANAIFUATA SHERIA, ALIHUKUMIWA KUFA KAMA ALIVYOAMURU MFALME.

Hapo sasa maneno ya Mungu yakaanza kupotea, watu wakata kuiandika Taurati ikawa hakuna tena Taurati hapo ikaja KUMBUKUMBU LA TAURATI.
Taurati yenyewe iko wapi?

Watu wakaendelea kuandika uongo wao ambao mimi naita mchakachuo.

8: 8 Yeremia.

Mwasemaje, Sisi tuna
akili, na torati ya Bwana
tunayo pamoja nasi?
Lakini, tazama, kalamu
yenye uongo ya
waandishi imeifanya
kuwa uongo.

3: 78 Quran.

Na miongoni mwao (hao waloandika uongo ndani ya biblia) kuna baadhi yao wanaopinda ndimi zao kwa (kusoma) kitabu ili mpate kuyafikiri maneno yao hayo kuwa ni ya kitabu cha Mwenyezi Mungu, wala si ya kitabu cha Mungu, na wanasema 'haya yametoka kwa Mungu' na hali hayakutoka kwa Mungu, na wanamsingizia Mungu uwongo na hali wanajua (kuwa huo ni uongo).

Vitabu vya Mungu wahuni walivichoma moto.
Wao wakajifanya kuandika uongo uongo matokeo yake akatukanwa Mungu, manabii na watu baki.

1: 25 Wakoronto 1.

Upumbavu wa Mungu unahikma kuliko wanadamu.

Ivi Mungu anaupumba?

23: 17 Isaya.

Hata itakuwa mwisho
wa miaka sabini, Bwana
ataizuru nchi ya Tiro,
naye atarudi apate ujira
wake, atafanya ukahaba
pamoja na falme zote za
ulimwengu juu ya uso wa
dunia.

Tukiwambia bible si tabu la Mungu mnapinga, vitabu vya Mungu wahuni walivipiga moto.

4: 10 Yeremia.

Nami
nikasema, Aa,
Bwana MUNGU!
Hakika
umewadanganya
sana watu hawa na
Yerusalemu,
ukisema, Mtakuwa
na amani lakini
upanga umeingia
katika nafsi za watu.

Mungu akashushuliwa na kuambiwa muongo.

11: 2-27 Samuel 2.

Inaesema nabii wa Mungu akazini. Ni Daudi ndie alieambiwa mzinifu hapo.

Jamani wakiristo, vijijini kuna uhaba wa magazeti, wapelekeeni hilo tabu wakafungie chapati.

Sio kitabu cha Mungu hicho, kitabu cha Mungu wahuni walikipiga moto zamani sana.

6: 26 Methali.

Kwa mwanamke malaya, hutiwa kwa sababu ya kuhitaji kipande cha mkate.

Utalisoma andiko hilo mbele ya mwanao.

Sio hivyo tu.

Ajabu ya wakiristo wanafuata zile aya zilizochakachuliwa na kupinga aya zenye ukweli.

Nguruwe kaharamishwa ktk bible na bado wanamla.

Mingoma imeharamishwa lakini bado waipiga makanisani mwao.

Ile ya kusema Yesu ni Mungu na tuiache.

Wakiristo wanakula sadaka za watu. Nk nk.

Wadau niko hai hai naomba niishie hapo.
 
Unaweza kunipa ushahidi wa kihistoria kuwa mji wa Makhah ulikuwepo kabla ya karne ya 4?
 
Mkuu Mashaxizo kama kitu hujui ni bora ukauliza kwanza umenukuu hiyo Wamakabayo, halafu hata ulichonukuu hujui kinazungumzia kitu gani nitakiweka hapa chini ili twende vizuri, hata mistari yenyewe uliyoipangilia umeipangilia ndivyo sivyo, hivi unafanya hivyo kwa lengo gani!? ngojea tuiangalie hiyo Wamakabayo uliyonukuu 1 Wamakabayo 1:53-58

1 Wamakabayo 1:53-59

53 na kuwafanya watu waaminifu wa Israeli watoroke na kujificha popote walipoweza.
54 Siku ya kumi na tano ya mwezi wa Kislevu, mwaka 145, mfalme Antioko aliisimamisha lile Chukizo Haribifu juu ya madhabahu kuu ya sadaka za kuteketezwa hekaluni, na vimadhabahu vya miungu vikajengwa katika miji yote ya Yudea,
55 wakawa wanafukiza ubani milangoni mwa kila nyumba na mitaani.
56 Vitabu vyovyote vya sheria walivyoviona walivichanachana na kuvichoma moto.
57 Yeyote aliyeshikwa ana kitabu cha agano au anaifuata sheria, aliuawa kwa amri ya mfalme.
58 Mwezi hata mwezi, watu hao waovu walitumia mabavu dhidi ya Waisraeli waliokamatwa katika miji mbalimbali.
59 Siku ya ishirini na tano ya mwezi huo huo, watu hao walitoa tambiko katika kimadhabahu kilichosimamishwa juu ya madhabahu kuu ya sadaka za kuteketezwa hekaluni.

Haya hiyo hapo juu Wamakabayo uliyoileta, Wewe si ni mtaalamu wa kuchambua scripture, haya niambie Antioko ni nani!? ukishindwa google Antiochus Epiphanes uweze kumtambua, huyo ndio mfalme wanayemzungumzia hapo...

chukizo la uharibifu ni kitu gani!? nijibu maana wewe ndio unatufundisha kwamba unajua japokuwa nimeona hujui ulichokileta

Unafahamu hao Wamakabayo ni kina nani!?

Halafu kitu kingine hapa mmepewa ushauri ila nashindwa kuelewa sijui huwa hausomi

Quran 29:46 Wala msijadiliane na Watu wa Kitabu ila kwa njia iliyo nzuri kabisa, isipo kuwa wale walio dhulumu miongoni mwao. Na semeni: Tumeyaamini yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwenu. Na Mungu wetu na Mungu wenu ni Mmoja. Na sisi ni wenye kusilimu kwake

Quran 29:47
Na namna hivi tumekuteremshia Kitabu (cha Qur'ani). Basi wale tulio wapa Kitabu (cha Biblia) wataiamini (Qur'ani), na miongoni mwa hawa (washirikina) wapo watakao iamini. Na hawazikatai Ishara zetu isipo kuwa makafiri.

Wewe Mashaxizo, unasema Biblia imechakachuliwa halafu ukatolea mfano ilianza kuchakachuliwa kipindi cha Wamakabayo ndio maana umeleta andiko kutoka kwa Wamakabayo, kipindi hicho cha Wamakabayo ilikuwa hata kabla ya Yesu hajaja, Uislamu haupo kwa maana Muhammad wala Quran havipo, hapa chini nitakuwekea aya zinazowataka nyie mtuulize sisi wenye kitabu, Je inamaana Mungu wenu alikuwa hajielewi wakati akiwaagiza hivyo!? wakati anajua tayari imeshachakachuliwa kipindi hicho

Quran 10:94 Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.

Quran 21:7
Na kabla yako hatukuwatuma ila watu wanaume tulio wapa wahyi (ufunuo). Basi waulizeni wenye ilimu ikiwa nyinyi hamjui.

Quran 16:43
Nasi hatukuwatuma kabla yako ila watu wanaume tulio wapa Wahyi (Ufunuo). Basi waulizeni wenye ukumbusho kama nyinyi hamjui

Hizo aya zote zinaelezea mmeagizwa mtuulize sisi kama nyie hamjui, Sasa kama Mungu wako alijua yamechakachuliwa kitambo, kwanini awaambie hivyo!?

Hapo juu mnaambiwa muwaulize watu wa kitabu, halafu mnaelekezwa pia hapa chini namna hii

Quran 10:64 Wao wana bishara njema katika maisha ya dunia na katika Akhera. Hapana mabadiliko katika maneno ya Mwenyezi Mungu. Huko ndiko kufuzu kukubwa.

Quran 6:115
Na yametimia maneno ya Mola Mlezi wako kwa kweli na uadilifu. Hapana awezaye kuyabadilisha maneno yake. Na Yeye ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.

Nijibu tuendelee...
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wa chuo aya zote nilizoweka kuproof hapo umeona wamakabayo tu? mbona hata izo ulizoziweka wewe zinathibitisha kwamba taurati ilichomwa moto?

Unaonaje tukimaliza mjadala hapa?

Labda nikushauri tu. Hem nawe fuata mila na desturi za Yesu.
Mila na desturi za Yesu ni kuabudu ktk sinagogi, i hope kifungu kile unakijua but if utapindisha ukweli. Fanya unachohisi ni sahihi kwako.

Nakutakia usiku mwema.
Na sitegemei kurudi tena hapa.
If nimekukwaza popote unisamee bure.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa chuo aya zote nilizoweka kuproof hapo umeona wamakabayo tu?

Ivi unadhani hayo maneno nimebuni mimi na sijatoa kwenye kitabu?

Ndugu lingekuwa sikio linasikia na akili inafanya kazi wangeisha sikia na kufahamu. Hao Mungu kaisha sema hivi kwenye Qur'an ; Surat At-Tawbah (The Repentance) - سورة التوبة
textEnlargeActive.gif

textShrinkInactive.gif

textSize.gif

This is a portion of the entire surah. View more context, or the entire surah.

9:125to top

9_125.png
Sahih International
But as for those in whose hearts is disease, it has [only] increased them in evil [in addition] to their evil. And they will have died while they are disbelievers.

Swahili
Ama wale wenye maradhi katika nyoyo zao, basi inawazidishia uovu juu ya uovu wao; na wanakufa hali ni makafiri.
 
Mkuu hawa jamaa hawana kitu.

eti analeta ubishi wakati mwenyewe ktk kuorodhesha kathibitisha kwamba vilichomwa moto!!!!!!!
 
Mkuu Mashaxizo kama kitu hujui ni bora ukauliza kwanza umenukuu hiyo Wamakabayo, halafu hata ulichonukuu hujui kinazungumzia kitu gani nitakiweka hapa chini ili twende vizuri, hata mistari yenyewe uliyoipangilia umeipangilia ndivyo sivyo, hivi unafanya hivyo kwa lengo gani!? ngojea tuiangalie hiyo Wamakabayo uliyonukuu 1 Wamakabayo 1:53-58

1 Wamakabayo 1:53-59

53 na kuwafanya watu waaminifu wa Israeli watoroke na kujificha popote walipoweza.
54 Siku ya kumi na tano ya mwezi wa Kislevu, mwaka 145, mfalme Antioko aliisimamisha lile Chukizo Haribifu juu ya madhabahu kuu ya sadaka za kuteketezwa hekaluni, na vimadhabahu vya miungu vikajengwa katika miji yote ya Yudea,
55 wakawa wanafukiza ubani milangoni mwa kila nyumba na mitaani.
56 Vitabu vyovyote vya sheria walivyoviona walivichanachana na kuvichoma moto.
57 Yeyote aliyeshikwa ana kitabu cha agano au anaifuata sheria, aliuawa kwa amri ya mfalme.
58 Mwezi hata mwezi, watu hao waovu walitumia mabavu dhidi ya Waisraeli waliokamatwa katika miji mbalimbali.
59 Siku ya ishirini na tano ya mwezi huo huo, watu hao walitoa tambiko katika kimadhabahu kilichosimamishwa juu ya madhabahu kuu ya sadaka za kuteketezwa hekaluni.

Haya hiyo hapo juu Wamakabayo uliyoileta, Wewe si ni mtaalamu wa kuchambua scripture, haya niambie Antioko ni nani!? ukishindwa google Antiochus Epiphanes uweze kumtambua, huyo ndio mfalme wanayemzungumzia hapo...

chukizo la uharibifu ni kitu gani!? nijibu maana wewe ndio unatufundisha kwamba unajua japokuwa nimeona hujui ulichokileta

Unafahamu hao Wamakabayo ni kina nani!?

Halafu kitu kingine hapa mmepewa ushauri ila nashindwa kuelewa sijui huwa hausomi

Quran 29:46 Wala msijadiliane na Watu wa Kitabu ila kwa njia iliyo nzuri kabisa, isipo kuwa wale walio dhulumu miongoni mwao. Na semeni: Tumeyaamini yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwenu. Na Mungu wetu na Mungu wenu ni Mmoja. Na sisi ni wenye kusilimu kwake

Quran 29:47
Na namna hivi tumekuteremshia Kitabu (cha Qur'ani). Basi wale tulio wapa Kitabu (cha Biblia) wataiamini (Qur'ani), na miongoni mwa hawa (washirikina) wapo watakao iamini. Na hawazikatai Ishara zetu isipo kuwa makafiri.

Wewe Mashaxizo, unasema Biblia imechakachuliwa halafu ukatolea mfano ilianza kuchakachuliwa kipindi cha Wamakabayo ndio maana umeleta andiko kutoka kwa Wamakabayo, kipindi hicho cha Wamakabayo ilikuwa hata kabla ya Yesu hajaja, Uislamu haupo kwa maana Muhammad wala Quran havipo, hapa chini nitakuwekea aya zinazowataka nyie mtuulize sisi wenye kitabu, Je inamaana Mungu wenu alikuwa hajielewi wakati akiwaagiza hivyo!? wakati anajua tayari imeshachakachuliwa kipindi hicho

Quran 10:94 Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.

Quran 21:7
Na kabla yako hatukuwatuma ila watu wanaume tulio wapa wahyi (ufunuo). Basi waulizeni wenye ilimu ikiwa nyinyi hamjui.

Quran 16:43
Nasi hatukuwatuma kabla yako ila watu wanaume tulio wapa Wahyi (Ufunuo). Basi waulizeni wenye ukumbusho kama nyinyi hamjui

Hizo aya zote zinaelezea mmeagizwa mtuulize sisi kama nyie hamjui, Sasa kama Mungu wako alijua yamechakachuliwa kitambo, kwanini awaambie hivyo!?

Hapo juu mnaambiwa muwaulize watu wa kitabu, halafu mnaelekezwa pia hapa chini namna hii

Quran 10:64 Wao wana bishara njema katika maisha ya dunia na katika Akhera. Hapana mabadiliko katika maneno ya Mwenyezi Mungu. Huko ndiko kufuzu kukubwa.

Quran 6:115
Na yametimia maneno ya Mola Mlezi wako kwa kweli na uadilifu. Hapana awezaye kuyabadilisha maneno yake. Na Yeye ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.

Nijibu tuendelee...

nipo hapa hapa.

tuendelee.

huyo ulieniambia nimtafute ata sio ishu hapa.

Namna ulivyojibu na kuung'angania ukiristo nahisi sio bure unalako jambo.

IVI WEWE NI MCHUNGAJI AU KONDOO?
 
Last edited by a moderator:
Nimejikuta nacheka sana hadi jamaa yangu hapa akaniuliza kulikoni

JF ina watu wa kustaajabusha sana!

Eiyer huna kitu.
leta izo hoja zako kwa nilichokithibitisha hapo.

tena imekuwa njema ulisema wewe si mkiristo kwasababu umezaliwa na wakiristo. kumbe uzshi mtupu.

sasa hapo nimekuthibitishia kwamba wewe ndie umeingia chaka.

ukifa kafiri utakwenda motoni.

bado hujachelewa. hata leo waweza kuata mila na desturi za Yesu kwenda kuabudu kwenye sinagogi.
 
Mkuu wa chuo aya zote nilizoweka kuproof hapo umeona wamakabayo tu?

Ivi unadhani hayo maneno nimebuni mimi na sijatoa kwenye kitabu?

Unaonaje tukimaliza mjadala hapa?

Labda nikushauri tu. Hem nawe fuata mila na desturi za Yesu.
Mila na desturi za Yesu ni kuabudu ktk sinagogi, i hope kifungu kile unakijua but if utapindisha ukweli. Fanya unachohisi ni sahihi kwako.

Nakutakia usiku mwema.
Na sitegemei kurudi tena hapa.
If nimekukwaza popote unisamee bure.
Hiyo Wamakabayo ndiyo uliyoitumia kujenga hoja zako zile zote, ndio maana ukafuata zile aya zingine sasa nilichokifanya ni kwenda kwenye msingi ulioutumia kujengea hoja zako, ya kwamba unataka kuaminisha kwamba ilikuwa imeandikwa jinsi gani ilivyochakachuliwa, kumbe hata hayo maandiko ya Wamakabayo ulikuwa hujaelewa yanazungumzia kitu gani, baada ya hapo tungefuata na zile aya zingine, nilikuwa nataka niliweke kwanza lile sawa

Hapo nilipoweka red inawezekana umetoa kwenye kitabu lakini hauelewi kinazungumziwa kitu gani, mfano nimeonyesha ulivyoichukua ile Wamakabayo ukaiweka tu hata huelewi wanazungumzia kitu gani...

Hapo nilipoweka blue, maana ya Sinagogi ni Msikiti wa Wayahudi sio msikiti wa Waislamu, kwani wakati huo uislamu ulikuwa haupo hata hivyo ukiisoma hiyo Luka 4:16-30 hata hivyo kama Bwana Yesu alikuwa Mwislamu vipi wale waliokuwa ndani ya sinagogi wajae ghadhabu na kumfukuza Mwislamu mwenzao!?

Allaziina ukhrijuu min-diyaa rihim -bi- gayrihaqqin illaaa any- yaqquulu Rabbu- nallah walaw laa daf - ul-laahinn aasa ba- zahum- biba-zil- lahuddimat SAWAA. MI- U, WA BIYA - UNIWWA, Sala waatunwwa Masaajidu. Yuzkaru filihas -Mul- laahi Kasiira. Wa la- Yansu - Nannallahu May - Ya Nsuruh Innallaaha la-qawiyyun Aziz

Quran 22:40 Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu.

Mashaxizo kama masinagogi ingekuwa ni misikiti vipi Quran mbona imetofautisha hayo majumba!? kwa mujibu wa hiyo aya hapo juu masinagogi na misikiti ni viwili tofauti ndio maana vimetajwa vyote...

Hapo nilipoweka rangi ya purple nikutakie usiku mwema pia, kwa vile umesema pia hautegemei tena kurudi nikuache na hii aya kutoka kwenye Quran ambapo nyie mnatakiwa mtufuate sisi

Quran 6:90 Hao ndio ambao Mwenyezi Mungu amewahidi. Basi fuata hidaya yao. Sema: Mimi sikuombeni ujira. Haya hayakuwa ila ni mawaidha kwa walimwengu wote.
 
Mkuu hawa jamaa hawana kitu.

eti analeta ubishi wakati mwenyewe ktk kuorodhesha kathibitisha kwamba vilichomwa moto!!!!!!!
LATATTABI UNNA SNANA LLADHIYNA MIN QABLIKUM SHIBRAN SHIBRAN WA DHIRAA- AN BII DHIRAA HATAA LAW DAKHALUWFIY JUHRI DHWABBA LAATTABA "UTUMUW HUM"

Mnatakiwa kufuata njia ya wale waliokuwa kabla yenu hatua kwa hatua, inchi kwa inchi, hata kama wataingia ndani ya shimo la mjusi, basi nanyi mtawafuata tu humo
 
Eiyer huna kitu.
leta izo hoja zako kwa nilichokithibitisha hapo.

tena imekuwa njema ulisema wewe si mkiristo kwasababu umezaliwa na wakiristo. kumbe uzshi mtupu.

sasa hapo nimekuthibitishia kwamba wewe ndie umeingia chaka.

ukifa kafiri utakwenda motoni.

bado hujachelewa. hata leo waweza kuata mila na desturi za Yesu kwenda kuabudu kwenye sinagogi.
Hichi kitu nimekijibu hapo juu kwenye moja ya post zangu na haya ni maneno machache miongoni mwa yale mengine, nakuwekea kipengele hapa chini kilichojibu kuhusiana na sinagogi hujibu nilichokuuliza
Hapo nilipoweka blue, maana ya Sinagogi ni Msikiti wa Wayahudi sio msikiti wa Waislamu, kwani wakati huo uislamu ulikuwa haupo hata hivyo ukiisoma hiyo Luka 4:16-30 hata hivyo kama Bwana Yesu alikuwa Mwislamu vipi wale waliokuwa ndani ya sinagogi wajae ghadhabu na kumfukuza Mwislamu mwenzao!?

Allaziina ukhrijuu min-diyaa rihim -bi- gayrihaqqin illaaa any- yaqquulu Rabbu- nallah walaw laa daf - ul-laahinn aasa ba- zahum- biba-zil- lahuddimat SAWAA. MI- U, WA BIYA - UNIWWA, Sala waatunwwa Masaajidu. Yuzkaru filihas -Mul- laahi Kasiira. Wa la- Yansu - Nannallahu May - Ya Nsuruh Innallaaha la-qawiyyun Aziz

Quran 22:40 Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu.

Mashaxizo kama masinagogi ingekuwa ni misikiti vipi Quran mbona imetofautisha hayo majumba!? kwa mujibu wa hiyo aya hapo juu masinagogi na misikiti ni viwili tofauti ndio maana vimetajwa vyote...

Hapo nilipoweka rangi ya purple nikutakie usiku mwema pia, kwa vile umesema pia hautegemei tena kurudi nikuache na hii aya kutoka kwenye Quran ambapo nyie mnatakiwa mtufuate sisi

Quran 6:90 Hao ndio ambao Mwenyezi Mungu amewahidi. Basi fuata hidaya yao. Sema: Mimi sikuombeni ujira. Haya hayakuwa ila ni mawaidha kwa walimwengu wote.
 
Hiyo Wamakabayo ndiyo uliyoitumia kujenga hoja zako zile zote, ndio maana ukafuata zile aya zingine sasa nilichokifanya ni kwenda kwenye msingi ulioutumia kujengea hoja zako, ya kwamba unataka kuaminisha kwamba ilikuwa imeandikwa jinsi gani ilivyochakachuliwa, kumbe hata hayo maandiko ya Wamakabayo ulikuwa hujaelewa yanazungumzia kitu gani, baada ya hapo tungefuata na zile aya zingine, nilikuwa nataka niliweke kwanza lile sawa

Hapo nilipoweka red inawezekana umetoa kwenye kitabu lakini hauelewi kinazungumziwa kitu gani, mfano nimeonyesha ulivyoichukua ile Wamakabayo ukaiweka tu hata huelewi wanazungumzia kitu gani...

Hapo nilipoweka blue, maana ya Sinagogi ni Msikiti wa Wayahudi sio msikiti wa Waislamu, kwani wakati huo uislamu ulikuwa haupo hata hivyo ukiisoma hiyo Luka 4:16-30 hata hivyo kama Bwana Yesu alikuwa Mwislamu vipi wale waliokuwa ndani ya sinagogi wajae ghadhabu na kumfukuza Mwislamu mwenzao!?

Allaziina ukhrijuu min-diyaa rihim -bi- gayrihaqqin illaaa any- yaqquulu Rabbu- nallah walaw laa daf - ul-laahinn aasa ba- zahum- biba-zil- lahuddimat SAWAA. MI- U, WA BIYA - UNIWWA, Sala waatunwwa Masaajidu. Yuzkaru filihas -Mul- laahi Kasiira. Wa la- Yansu - Nannallahu May - Ya Nsuruh Innallaaha la-qawiyyun Aziz

Quran 22:40 Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu.

Mashaxizo kama masinagogi ingekuwa ni misikiti vipi Quran mbona imetofautisha hayo majumba!? kwa mujibu wa hiyo aya hapo juu masinagogi na misikiti ni viwili tofauti ndio maana vimetajwa vyote...

Hapo nilipoweka rangi ya purple nikutakie usiku mwema pia, kwa vile umesema pia hautegemei tena kurudi nikuache na hii aya kutoka kwenye Quran ambapo nyie mnatakiwa mtufuate sisi

Quran 6:90 Hao ndio ambao Mwenyezi Mungu amewahidi. Basi fuata hidaya yao. Sema: Mimi sikuombeni ujira. Haya hayakuwa ila ni mawaidha kwa walimwengu wote.

HAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAA.

Mtachakachua vyote lakini si Quran.

iyo aya haijataja sinagogi kabsaaaaaa.

sijazungumzia mambo ya ujira, hoja ni kwamba mungu wenu atkuja kufanya umalaya!!!

unakubali au unakataa?

Then hujaniambia kama wewe ni mchungaji au ni kondoo.

niambie tu mkuu, hilo litarahisisha miadala wetu.
 
LATATTABI UNNA SNANA LLADHIYNA MIN QABLIKUM SHIBRAN SHIBRAN WA DHIRAA- AN BII DHIRAA HATAA LAW DAKHALUWFIY JUHRI DHWABBA LAATTABA "UTUMUW HUM"

Mnatakiwa kufuata njia ya wale waliokuwa kabla yenu hatua kwa hatua, inchi kwa inchi, hata kama wataingia ndani ya shimo la mjusi, basi nanyi mtawafuata tu humo

leo utaongea hata kichina.
embu nipe kifungu, mwamke malaya atafanywaje?
 
HAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAA.

Mtachakachua vyote lakini si Quran.

iyo aya haijataja sinagogi kabsaaaaaa.

sijazungumzia mambo ya ujira, hoja ni kwamba mungu wenu atkuja kufanya umalaya!!!

unakubali au unakataa?

Then hujaniambia kama wewe ni mchungaji au ni kondoo.

niambie tu mkuu, hilo litarahisisha miadala wetu.
Hapo nilipoweka green kwenye hiyo quote yako
Angalia hapa chini hii aya nairudia tena angalia nilipoweka red, halafu utaangalia na zile rangi nyingine, uone tofauti, then unijibu

Quran 22:40 Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu.

Mashaxizo kama masinagogi ingekuwa ni misikiti vipi Quran mbona imetofautisha hayo majumba!? kwa mujibu wa hiyo aya hapo juu masinagogi na misikiti ni viwili tofauti ndio maana vimetajwa vyote...
 
leo utaongea hata kichina.
embu nipe kifungu, mwamke malaya atafanywaje?

Baada uombe uelekezwe we unaleta mzaha, lakini hata hivyo mmeonywa hapa

Qurani 6:156 Msije mkasema: Hakika mataifa mawili kabla yetu yameteremshiwa Kitabu; na sisi tulikuwa hatuna khabari ya waliyo kuwa wakiyasoma.
 
Hapo nilipoweka green kwenye hiyo quote yako
Angalia hapa chini hii aya nairudia tena angalia nilipoweka red, halafu utaangalia na zile rangi nyingine, uone tofauti, then unijibu

Quran 22:40 Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu.

Mashaxizo kama masinagogi ingekuwa ni misikiti vipi Quran mbona imetofautisha hayo majumba!? kwa mujibu wa hiyo aya hapo juu masinagogi na misikiti ni viwili tofauti ndio maana vimetajwa vyote...

Huyu Mashaxizo anafurahisha sn.

Na Mimi namuongezea Maswali hapa. Nampa Kz yeye alete kwa lugha ya kiarabu ili tupate kuona km SINAGOGI ina Maana sawa na Msikiti km ambavyo wamekua wanadanganyana siku zote..!

Kanisa ni Kiswahili na church ni kiingereza Je kwa kiarabu kanisa itakua nini?

Hekalu ni kiswahili, temple ni kiimgereza na kwa kiarabu itakua nini?

Msikiti ni Kiswahili na mosque ni kiingereza na masjid ni kiarabu.

Hapa Sasa ndo patumu:

Sinagogi ni Kiswahili na kwa kiingereza inabaki hivyo hivyo Je kwa kiarabu itakuaje?

Mashaxizo hili swali la mwisho ndo la muhimu kujibu hayo mengine nimekutolea tu Lkn ni km mfano ili uweze kuona kile nachotaka wewe ujibu!
 
Last edited by a moderator:
HAPA NATHIBITISHA BIBLE IMECHAKACHULIWA.
Nitatumia aya chache ktk Quran na nyingi ktk Bible.

Biblia ni nini?

Biblia ni neno lililotokana
na neno la Kigiriki Biblios
lenye maana ya
mkusanyiko wa vitabu
vingi.

Hata wewe ukikusanya vitabu vingi na ukaandika ktk kitabu kimoja waweza ita biblia.

Jee biblia ni maneno ya Mungu?

Ili kujibu hapo yatupasa kuangalia Mungu alishusha vitabu gani.

3: 3-4 Quran. Mungu anamwambia Muhamad.

Amekuteremshia kitabu kwa haki (Quran) kinachosadikisha yaliyokuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili. Zamani, ziwe uwongozi kwa watu, na akateremsha vitabu vyengine vya kupambanua baina ya haki na batili...

Kwa mfano?

17: 55 Qurani.

...na Daudi tulimpa Zaburi.

Hivyo ndio vitabu vilivyoshushwa na Mungu.

BAADA YA KUONDOKA MANABII, VITABU VYA MUNGU VILIKAMATWA NA WANADAMU NA VIKACHOMWA MOTO.

Maneno hayo, yanapatikana hata ktk biblia.

1: 53-54 Makabayo 1.

Hata Waizraili walazimika wajifiche katika makimbilio yao huko Jasiri, siku ya keiselvu, mwaka wa mia 45, waliweka chukizo juu ya madhabahu, na katika miji ya Uyahudi, kila upande walijenga vimadhabahu vya miungu, wakafukiza uvumba milangoni pa nyumba na njiani, NA VITABU VYA TAURATI WALIVYOVIPATA WALIVIRARUA VIPANDE VIPANDE WAKAVITEKETEZA KWA MOTO, MTU YOYOTE ALIEPATIKANA NA KITABU AU ALIEONEKANA ANAIFUATA SHERIA, ALIHUKUMIWA KUFA KAMA ALIVYOAMURU MFALME.

Hapo sasa maneno ya Mungu yakaanza kupotea, watu wakata kuiandika Taurati ikawa hakuna tena Taurati hapo ikaja KUMBUKUMBU LA TAURATI.
Taurati yenyewe iko wapi?

Watu wakaendelea kuandika uongo wao ambao mimi naita mchakachuo.

8: 8 Yeremia.

Mwasemaje, Sisi tuna
akili, na torati ya Bwana
tunayo pamoja nasi?
Lakini, tazama, kalamu
yenye uongo ya
waandishi imeifanya
kuwa uongo.

3: 78 Quran.

Na miongoni mwao (hao waloandika uongo ndani ya biblia) kuna baadhi yao wanaopinda ndimi zao kwa (kusoma) kitabu ili mpate kuyafikiri maneno yao hayo kuwa ni ya kitabu cha Mwenyezi Mungu, wala si ya kitabu cha Mungu, na wanasema 'haya yametoka kwa Mungu' na hali hayakutoka kwa Mungu, na wanamsingizia Mungu uwongo na hali wanajua (kuwa huo ni uongo).

Vitabu vya Mungu wahuni walivichoma moto.
Wao wakajifanya kuandika uongo uongo matokeo yake akatukanwa Mungu, manabii na watu baki.

1: 25 Wakoronto 1.

Upumbavu wa Mungu unahikma kuliko wanadamu.

Ivi Mungu anaupumba?

23: 17 Isaya.

Hata itakuwa mwisho
wa miaka sabini, Bwana
ataizuru nchi ya Tiro,
naye atarudi apate ujira
wake, atafanya ukahaba
pamoja na falme zote za
ulimwengu juu ya uso wa
dunia.

Tukiwambia bible si tabu la Mungu mnapinga, vitabu vya Mungu wahuni walivipiga moto.

4: 10 Yeremia.

Nami
nikasema, Aa,
Bwana MUNGU!
Hakika
umewadanganya
sana watu hawa na
Yerusalemu,
ukisema, Mtakuwa
na amani lakini
upanga umeingia
katika nafsi za watu.

Mungu akashushuliwa na kuambiwa muongo.

11: 2-27 Samuel 2.

Inaesema nabii wa Mungu akazini. Ni Daudi ndie alieambiwa mzinifu hapo.

Jamani wakiristo, vijijini kuna uhaba wa magazeti, wapelekeeni hilo tabu wakafungie chapati.

Sio kitabu cha Mungu hicho, kitabu cha Mungu wahuni walikipiga moto zamani sana.

6: 26 Methali.

Kwa mwanamke malaya, hutiwa kwa sababu ya kuhitaji kipande cha mkate.

Utalisoma andiko hilo mbele ya mwanao.

Sio hivyo tu.

Ajabu ya wakiristo wanafuata zile aya zilizochakachuliwa na kupinga aya zenye ukweli.

Nguruwe kaharamishwa ktk bible na bado wanamla.

Mingoma imeharamishwa lakini bado waipiga makanisani mwao.

Ile ya kusema Yesu ni Mungu na tuiache.

Wakiristo wanakula sadaka za watu. Nk nk.

Wadau niko hai hai naomba niishie hapo.

Mashaxizo ni sahihi kutumia ushahidi wa andiko hili kuthibitisha mapungufu ya qur-an?

Qur-an 15:91 au Surat Al-Hijr

"Ambao wameifanya Qur-an kua mkusanyiko wa UONGO alioukusanya nabii Muhammad akadai kua ni maneno ya Mwenyezi Mungu"
 
Last edited by a moderator:
Matatizo hujafika Makkah Al Mukarama ukajua kama wana abudu mawe au wana abudu Mungu, unadhani wote wameutukuza mti wa laana ile misalaba? Ukienda kule ndio utajua kisa kamili cha dini ya Mungu na kufahamu Prophet Ismail ndio alikuwa kipenzi cha Mungu yeye na mamayake Hajar. Ukienda Huko ndio utajua kila dini lazima iwe na dalili yake kama uislam ndio dini ya kweli. Dalili zote za Prophet Ibrahim kupewa mitihani yeye na Mungu utaziona Pale Makkah Al Mukarama.
You like to make assumptions a lot. You guys worship stone and moon god.
Black+Stone+Mecca.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom