Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Kwani we nani mpaa useme nimejibu makosa.Tafuta wehu wenzako ndio uwambie wamejibu sawa.Umejibu makosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani we nani mpaa useme nimejibu makosa.Tafuta wehu wenzako ndio uwambie wamejibu sawa.Umejibu makosa.
Mkuu labda ninyooshe MAelezo, ni kawaida yenu kusema Mungu hana mwana wala Mke. Mkimaanisha Ili Mungu awe na mwana basi na mke pia awepo. Ama kwa lugha nyingine ni kwamba. Mwana anatokana na Uwepo wa Mke na Mume kwa jinsi ya kibinadamu.mmm mmm Yani hii kali aisay ya mwaka nime quote hi kucheka tu, hivi dogo wewe uko sawa lakini, Mungu ana mke ulimfugisha ndoa wewe au? Yani hili bahari, miti, wanyama, matunda, navyenyewe vilitokea wapi, kama huwezi amini Mungu ana umba. Sa mke wa Mungu ndio yule mama yake Yesu au? Au ana wake wawili mama wa Adam mwingine na wa Yesu mwingine? Hii kali dogo kweli nimeamini wakristo hamna akili. hizo point zingine nimemuachia kamanda Bill Cosby , ameisha kupa dozi sina hoja ya kuzidisha mengi.
Yohana 10 29 Mimi na Baba tu umoja.We unasema Huyo yesu ni MUNGU!
Mara unasema wakati Yesu anatiwa maji Aliskia Sauti ya Mungu !!!!!
Hivi nyie mna miungu wangapi?
Halafu hebu msome hapa Yesu anavyoomba Dua Asije kusulibiwa Lkn Huyo Unaesema Aliimba kwaya wakati mwanae anachezea maji HAKUMSIKILIZA hatta kidogo mwanae.
Yesu anaomba anasema .
"Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.- Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.
- Luka 22.42-4
Baada ya Huyo mtoa sauti kali ka Ni hadija kopa Kumkaushia Yesu ikabidi apelekwe akauawe msalabani.
Alipofikishwa pale baada ya Kichapo kitakatifu akashindwa kuvumilia akalia akisema :-
Na mwishoni naye yupo mslabani:
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani?- yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?
Mathayo 27.46
Nakuuliza km huyu babake na yesu ni mwenye huruma ilikuwaje AKAAMUA kumpuuza mwanae anaeloa KWA SAUTI namna hii?
Na wewe mkishumundu ukiambiwa yule Baba yake na Yesu juu ya kuwa una meno meusi lkn ameamua kukupenda tu! Je utakubali MAPENZI ya kutundikwa Msalabani?
Acheni UONGO nyie.
Yohana 10 29 Mimi na Baba tu umoja.
[/SIZE]
Angalia jinsi mnavyo babaikia wazungu mweee!!!!!!Sasa angalia mchakachuo huu ndio ujue Hilo likitabu leni ni balaa tu.
Yohana 14:28
".........kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.-
Sasa kama hizi sio bangi ni nini?
Mbona hasira mapema hii. Kijana nilikuonya na kukwambia dini haisomwi kwenye Madrasa, hukusikia, sasa unatokwa povu baada ya kunywa juisi ya pilipili.Kwani we nani mpaa useme nimejibu makosa.Tafuta wehu wenzako ndio uwambie wamejibu sawa.
Angalia jinsi mnavyo babaikia wazungu mweee!!!!!!
Eti alikuwa Mwarabu, my foot. [/COLOR][/FONT]
Mtumishi, unajua kuna tofauti ya Mungu kuto kuwa na Mwana na Mungu kuto kuwa na uwezo wa kuwa na Mwana. Allah, yeye hana uwezo wa kuwa na mwana maana hakuwai umba binadamu.Mkuu labda ninyooshe MAelezo, ni kawaida yenu kusema Mungu hana mwana wala Mke. Mkimaanisha Ili Mungu awe na mwana basi na mke pia awepo. Ama kwa lugha nyingine ni kwamba. Mwana anatokana na Uwepo wa Mke na Mume kwa jinsi ya kibinadamu.
JE Binadamu anaweza kuzaa kilichokitakatifu na kisichona dhambi??????? Angali mwanadamu yu na Dhambi??
KAma YEsu sio MWana wa Mungu. Baba yake yuko wapi?????????????????
[h=2]How can Allah have a son when He has no wife?[/h]By Adiosamigo![]()
mmm mmm Yani hii kali aisay ya mwaka nime quote hi kucheka tu, hivi dogo wewe uko sawa lakini, Mungu ana mke ulimfugisha ndoa wewe au? Yani hili bahari, miti, wanyama, matunda, navyenyewe vilitokea wapi, kama huwezi amini Mungu ana umba. Sa mke wa Mungu ndio yule mama yake Yesu au? Au ana wake wawili mama wa Adam mwingine na wa Yesu mwingine? Hii kali dogo kweli nimeamini wakristo hamna akili. hizo point zingine nimemuachia kamanda Bill Cosby , ameisha kupa dozi sina hoja ya kuzidisha mengi.
Sa dogo ile imani yako inasema hata ukinywa sumu hufi, umeisha jaribu tujuwe wewe ni mkristo kweli kweli. Au umeisha shika nyoka mbona mnaogopa kuwashika nyoka, kama dini yenu iko sawa. Mimi namini hakuna mkristo atakaye kunywa sumu asife au kushika nyoka asiumwe, Paulo aliwakomesha hapo, mana alijua atakaye jaribu tu anakufa na anenda motoni. Hata mkishitaki kule kwa Mungu atasema niliwambia wanywe sumu kama wanaifata dini yangu mbona hawajainywa, pia atasema niliwambia washike nyoka mbona hawajashika, walikuwa wanaogopa nini kama wao wakristo wa kweli hahaha. [h=1]Mark 16:18[/h] [SUP]18 [/SUP]they shall take up serpents, and if they drink any deadly thing, it shall not hurt them. They shall lay hands on the sick, and they shall recover."Mbona hasira mapema hii. Kijana nilikuonya na kukwambia dini haisomwi kwenye Madrasa, hukusikia, sasa unatokwa povu baada ya kunywa juisi ya pilipili.
Pole sana.
Sa mbona Adam hana baba wala mama? Yani Adam baba yake atakuwa Mungu, na mama yake atakuwa Mungu sio:A S wink:Mkuu labda ninyooshe MAelezo, ni kawaida yenu kusema Mungu hana mwana wala Mke. Mkimaanisha Ili Mungu awe na mwana basi na mke pia awepo. Ama kwa lugha nyingine ni kwamba. Mwana anatokana na Uwepo wa Mke na Mume kwa jinsi ya kibinadamu.
JE Binadamu anaweza kuzaa kilichokitakatifu na kisichona dhambi??????? Angali mwanadamu yu na Dhambi??
KAma YEsu sio MWana wa Mungu. Baba yake yuko wapi?????????????????
Did God have a wife?How can Allah have a son when He has no wife?
Islam Watch - "How can Allah have a son when He has no wife?" by Mumin Salih
Hii aibu sijui utaificha wapi eti mtume alikuwa mzungu. Nimesiha kuambia we hadith zako hizo sijui unazitoa kwenye zile ngojera za Paulo.Angalia jinsi mnavyo babaikia wazungu mweee!!!!!!
Yeye alifanya Ngamia wake apige magoti katika Msikiti, halafu akamfunga Mguu wake kamba na kisha akauliza: "Ni nani kati yenu ni Mtume Muhammad" Wakati huo Mtume alikuwa amekaa miongoni mwetu (wenzake) huku akiwa ameegemea mkono wake. Sisi tukajibu, "Huyu MZUNGU aliye agemea mkono wake ndiye Muhammad." Kisha akasema naye, "O Mwana wa 'Abdul Muttalib." -Sahih Bukhari 1:3:63
Eti alikuwa Mwarabu, my foot.
Adam ni Mwanaume na Binadamu wa Kwanza kuumbwa akiwa na Eva kwa Udsongo: mpaka hapa hakuna shaka.Sa mbona Adam hana baba wala mama? Yani Adam baba yake atakuwa Mungu, na mama yake atakuwa Mungu sio:A S wink:
Yohana 10 29 Mimi na Baba tu umoja.Sasa angalia mchakachuo huu ndio ujue Hilo likitabu leni ni balaa tu. Yohana 14:28".........kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.- Sasa kama hizi sio bangi ni nini?
oh yes.. asante mkuuMtumishi, unajua kuna tofauti ya Mungu kuto kuwa na Mwana na Mungu kuto kuwa na uwezo wa kuwa na Mwana. Allah, yeye hana uwezo wa kuwa na mwana maana hakuwai umba binadamu.
Ushahidi wa Allah anaapa kwa aliye umba:
QURAN 92 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..
Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.
Unaona Allah anaapa kwa aliye umba, sasa kama hata kuumba binadamu hawezi, je huyu Allah ataweza kuwa na Mwana? Huu ni msiba kwao.
Mtumishi, hawa ni kuenda nao, taratiib, maana huwa wanakimbia ukiwashika pabaya. Hawato gusa hilo jibu zaidi ya kuingiza na kuchomekea mavitu mengine ya ajabuajabu.oh yes.. asante mkuu
Unaona jinsi unavyo pata uchungu kila kukicha. Sasa unafuata Mtume mzungu. Huo ni msiba kwenu.Hii aibu sijui utaificha wapi eti mtume alikuwa mzungu. Nimesiha kuambia we hadith zako hizo sijui unazitoa kwenye zile ngojera za Paulo.
Allah's wife, her name is AL-LAT. She was worshipped at Mecca for 2000 years before Islam. The famous Muslim pilgrimage spot in Mecca was originally her shrine. Allat's name means simply "the Goddess," just as Allah means, "the God." The T ending is feminine.Did God have a wife?
Makafiri wa Kiislam walisha jaribu kinipiga risasi na haikufanya kazi. Teh teh teh teh, Yesu ni Mungu wa Allah na Muhammad. Ndio maana Wakristo wenye kujitambua hawawezi kuukubali Uislam bandia na dhaif.Sa dogo ile imani yako inasema hata ukinywa sumu hufi, umeisha jaribu tujuwe wewe ni mkristo kweli kweli. Au umeisha shika nyoka mbona mnaogopa kuwashika nyoka, kama dini yenu iko sawa. Mimi namini hakuna mkristo atakaye kunywa sumu asife au kushika nyoka asiumwe, Paulo aliwakomesha hapo, mana alijua atakaye jaribu tu anakufa na anenda motoni. Hata mkishitaki kule kwa Mungu atasema niliwambia wanywe sumu kama wanaifata dini yangu mbona hawajainywa, pia atasema niliwambia washike nyoka mbona hawajashika, walikuwa wanaogopa nini kama wao wakristo wa kweli hahaha. Mark 16:18
[SUP]18 [/SUP]they shall take up serpents, and if they drink any deadly thing, it shall not hurt them. They shall lay hands on the sick, and they shall recover."