Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Wakristo mnashangaza sana sa mbona Bibilia zenu zina list ya mitume, mbona sijaona kila mmoja kaja na kitabu chake, au wewe si mkristo? Husomi bibilia ukafahamu mna mitume wangapi? Na ile ya Adam ulipo ona bibilia imemkubali kama mtume, mbona ulikimbia hukurudi tena na swali lako la ujinga.
Wapi Adamu ameelezewa kama mtume!? Halafu nyie si ndio wimbo wenu huo kila mtume na kitabu chake na umma wake, sasa hao mitume wenu wengine vitabu vyao viko wapi!?
 
Mpinga Kristo Yuko VATICAN anahalalisha Ndoa za jinsia moja.

We endelea kuskia Raha tu! Siku ukitumbukizwa kwenye moto wa jahannamu ndipo akili itakusogea.

Nini maana ya Mpinga Kristo?
Na ni kwanini ni Mpinga Kristo na sio Mpinga Musa au mtume mwingine yoyote yule?
 
Weye mlaanifu umetoa post gani ya ati kusababisha waja wasotishika na vitimbi vya ulimengu hadi ati watahayuri kutia maguu hapa barzani....!?
10704099_340175909483471_2652878556495111335_n.jpg
 
Mkuu Ishmael nasikia kipindi Muhammad anafuata swala akakutana na Musa akamuuliza umepewa swala ngapi akamuonyesha Musa akamwambia hizo ni nyingi sana, kwa jinsi ninavyoawajua wale watu hawaziwezi hizi, akarudi tena kupunguziwa, zikapunguzwa Musa akamwambia hebu tuone akamwambia hata hizi ni nyingi pia, zikapunguzwa mpaka zikabaki tano... Hicho kisa kama cha kweli huwa nabaki nacheka tu...

Ukichanganya na kile cha Waraqah ibn Nawfal huwa vinaniacha hoi...
 
Last edited by a moderator:

Kukoswa na akili ni maradhi yaso DAWA, khasa ukajamkuta mja na suit zake na ongeza zile division one za kanisa ati wanamfuata huyu mzungu ajisaidiaye vichakani....!?

Kweli mmelaanika wana mlopotea.
 
Attachments

  • 1414681208840.jpg
    1414681208840.jpg
    9.7 KB · Views: 24
General Bill Cosby , asante sana wacha niendelee kuwapa ukweli mana wanadanganywa sana kule kanisani. Si unaona wanavyo ogopa maneno ya Bibilia zao. Wanajua wazi hio Bibilia ni uwongo mtupu, eti wakinywa sumu hawafi, wakishika majoka hawadhuriki, na wakishika wagonjwa wana pona sa mbona wanawakimbia wenye magonjwa ya Ebola hahaha. 2013 na Ishmael hapo wanaukimbia ukristo lakini kwenye midomo tu wanajidai wakristo. Hapo ndio Paulo atamwambia Mungu niliwambia wasifate dini yangu hawakusikia, kama wao wamefata dini yangu mbona hawakunywa sumu? Hawakushika majoka, na waliwakimbia wagonjwa wenye Ebola. Nadhani hapo Mungu alishusha ugonjwa wa Ebola maksudi kuonyesha uwongo wa wakristo, eti wakishika wagonjwa watapona hahaha.
ukristo hauendi bila kufikiri kile kilichoandikwa kina malengo gani ama mantiki gani... kumbuka Hii sio Koran ya mwamadi... ambayo hamruhusiwi hata kujiuliza nyinyi ni kujisalimisha tu....
Neno la yesu ni Amini na Kweli.. Wewe unachohangaika nacho hapa sio kutaka kujua ukweli, kwani ukweli umeshaujua ya kuwa Yesu ndiye Bwana kwa sasa unataka Ishara ndio maana una hangaika kulazimisha maana. Kumbuka hata yesu alishawaambia wamelaaniwa wale waliotaka ishara, na hakika hamtapewa kama ishara ya yona, na ishara kuu kwa sasa ni kufa na kufufuka kwa Yesu kristo ishara iliyoweza kuonekana kwenye kitabu kinachomchukia yesu, still walilala usingizi wakashindwa kuondoa huu mstari. Surat mariam 19:33
 
Mkuu Ishmael nasikia kipindi Muhammad anafuata swala akakutana na Musa akamuuliza umepewa swala ngapi akamuonyesha Musa akamwambia hizo ni nyingi sana, kwa jinsi ninavyoawajua wale watu hawaziwezi hizi, akarudi tena kupunguziwa, zikapunguzwa Musa akamwambia hebu tuone akamwambia hata hizi ni nyingi pia, zikapunguzwa mpaka zikabaki tano... Hicho kisa kama cha kweli huwa nabaki nacheka tu...

Ukichanganya na kile cha Waraqah ibn Nawfal huwa vinaniacha hoi...
Mtumishi, hii dini imejaa vioja kuliko Bongo Comedy.

Hivi kama kweli Allah ndie aliye mpa Muhammad hizo swala. Hivi Allah hakujua kuwa ni nyingi mpaka apate usaidizi wa Musa? Inamaanisha kuwa, Musa alikuwa na akili zaidi ya Allah na Musa anawafahamu bin adam zaidi ya Allah. Huu ni Msiba kwa Allah na dini yake dhaif.
 
Hahahahahaaaa .....!
 
I see, BTW; Ishmael, when you pray, who do you pray to, GOD or JESUS? Does God answer your prayers if you pray to Jesus? And I also have one more question, when people ask you who is your God, as Christians do you say the Lord Jesus Christ or God?
We pray to God, inter-alia, Jesus is God.

YESU NI MUNGU MKUU

YESU NDIYE ATAKAYE HUKUMU WALIMWENGU (WATU) WOTE.
( ZABURI 58:11 ), ‘Hakika yuko Mungu anayetawala katika dunia". (UFUNUO 18;8 ) "Kwasababu hiyo,mapigo yake yatakuja katika siku moja,mauti na huzuni na njaanaye atateketeza kabisa kwamoto.Kwa maana Bwana Mungu aliyemhukumu ni mwenye nguvu".Tene ndiye atakaye ihukumu Dunia yote "Tena Baba hamhukumu mtu ye yote,bali amempa Mwana (YESU) hukumu yote".(MATHAYO 25:31-32 ) "Hapo atakapokuja Mwana wa Adamu (YESU) katika utukufu wake,namalaika watakatifu wote pamoja naye,ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake.Na mataifa yote yatakusanyika mbele zake,naye atawabagua kama vile mchungaji abaguavyo kondoo na mbuzi" .(MATENDO 10:42 ) "Akatuagiza tuwahubiri watu na kushuhudiaya kuwa huyu ndiye (Yesu) aliyeamriwa na Mungu awe mhukumu wa wahai na wafu" ( WARUMI 2:16 ) "Katika siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu,sawasawa na injili yangu,kwa Kristo Yesu".( 2TIMOTHEO 4:1 ) "Nakuagiza mmbele za Mungu,na mbele za Kristo Yesu,atakayewahukumu waliohai na waliokufa;kwa kufunuliwa kwake na kwa ufalme wake'.
 
Wapi Adamu ameelezewa kama mtume!? Halafu nyie si ndio wimbo wenu huo kila mtume na kitabu chake na umma wake, sasa hao mitume wenu wengine vitabu vyao viko wapi!?

Ni bora kujaribu kufundisha kondoo kuliko kumfundisha Mgalatia.

Sisi hatuna Uwezo wwt wa kumpa mtu unabii wala utume!! Wanaofanya hayo NI NYIE WAKRISTU!
Kila siku mnajipa Utume na unabii wanamme kwa wanawake! Juu ya kuwa Kwenye hilo likitabu lenu Halina nabii mwanamke HATTA MMOJA!

Hebu tazama hapa chini nini nabii wako kafanya kwa mke wa kondoo.
 
Attachments

  • 1414680862503.jpg
    1414680862503.jpg
    72.9 KB · Views: 49
Kukoswa na akili ni maradhi yaso DAWA, khasa ukajamkuta mja na suit zake na ongeza zile division one za kanisa ati wanamfuata huyu mzungu ajisaidiaye vichakani....!?

Kweli mmelaanika wana mlopotea.
Tatizo huwa haliondoi tatizo ...

Hebu fikiri kama kweli kuna wanayofanya hayo uliyodai hapo kwenye post yako,yanajibu vipi matatizo yaliyosema kwenye post uliyo quote?
 
Ni bora kujaribu kufundisha kondoo kuliko kumfundisha Mgalatia.

Sisi hatuna Uwezo wwt wa kumpa mtu unabii wala utume!! Wanaofanya hayo NI NYIE WAKRISTU!
Kila siku mnajipa Utume na unabii wanamme kwa wanawake! Juu ya kuwa Kwenye hilo likitabu lenu Halina nabii mwanamke HATTA MMOJA!

Hebu tazama hapa chini nini nabii wako kafanya kwa mke wa kondoo.

Hapo ndio umejibu swali/

Kwahiyo Adam alijipa utume?
 
Nimeona, haya sasa lete ufahamu na ukaririshwaji wako toka katika Chuo cha bibilia au ndo ule ujinga wa kumeza vizima vizima kama "chatu"....!?

Nani alikisema hayo maneno na nani alikitumia ibada au matendo hayo....!?

Au ndo kama mnyama ila ninyi mmepotoka ziada hata ya hao wanyama....!?
 
NABII WA KIKRISTO ABAKA NA KULAWITI.

http://1.bp.blogspot.com/-tcXybzwsp_M/UoMPiHzgFZI/AAAAAAAAAgI/Jd6acAUbbts/s280/Slip+2.jpg
Nabii Elisha Muliri anayetuhumiwa kwa ubakaji

http://3.bp.blogspot.com/-YFiSVSHbqpc/UoMQQcYoaxI/AAAAAAAAAgQ/znxAyS0fDzo/s280/MZAZI.jpg

Mama Mzazi wa Mwanafunzi anaedaiwa kubakwa Mary Mkombola akisimulia juu ya tukio la ubakaji lililompata Mwanae na kusababisha ujauzito mbele ya waandishi wa habari Kulia ni Martha Danie 17 aliyefanyiwa kitendo hicho.

http://robertdagaa.blogspot.co.uk/2013/11/nabii-abaka.html?m=1

NYIE MAKAFIRI mtaendelea KUBAKA mpaka kiama!
Mna laana ya Mungu.
 
Mtumishi, hii dini imejaa vioja kuliko Bongo Comedy.

Hivi kama kweli Allah ndie aliye mpa Muhammad hizo swala. Hivi Allah hakujua kuwa ni nyingi mpaka apate usaidizi wa Musa? Inamaanisha kuwa, Musa alikuwa na akili zaidi ya Allah na Musa anawafahamu bin adam zaidi ya Allah. Huu ni Msiba kwa Allah na dini yake dhaif.
Mkuu, Hivi kuna nabii katika Biblia aliyetambua unabii wake kwa mpiga faraki!?
 
Hapo ndio umejibu swali/

Kwahiyo Adam alijipa utume?

Si ndio nikasema nyie makafiri uwezo wa kuelewa Haupo. Tunawajibu haya maswali yenu ya kipuuzi kwa sababu wengine wanapata faida.

Waislamu Mitume wao na MNABII WAO wametajwa Ktk QURAAN. Na hakuna Muislamu yyt mwenye uwezo wa Kumpa binaadamu yyt UNABII au UTUME!

Nyie WAKIRISTO kupeana UTUME na unabii Ni km KUMSUKUMA MLEVI.

Mtu MALAYA, muuza Unga, jambazi na mpuuzi yyt Akiwa na hela kidogo tu na anaweza Kupiga kelele ovyo ka mvuta bangi MNAMPA UNABII.

Matokeo yake Manabi wenu wanalawiti watoto wa watu kila siku kwa kisingizio cha KUWABARIKI!

Nyie subirini Moto km Yule Jamaa yenu aliyewambwa Msalabani.
Hamna Jinsi.

ukafiri Mzigo mzito mno. Kuutua inataka Jitihada ya AJABU!

Hivi wewe huna uwezo wa kujiuliza Nani kawapa nyie Nafasi ya Kuteua NABII na Mtume?

HIvi nyie huwa mnatumia Madawa ya kuharibu Kichwa?

Ajeeb!
 
Ni bora kujaribu kufundisha kondoo kuliko kumfundisha Mgalatia.

Sisi hatuna Uwezo wwt wa kumpa mtu unabii wala utume!! Wanaofanya hayo NI NYIE WAKRISTU!
Kila siku mnajipa Utume na unabii wanamme kwa wanawake! Juu ya kuwa Kwenye hilo likitabu lenu Halina nabii mwanamke HATTA MMOJA!

Hebu tazama hapa chini nini nabii wako kafanya kwa mke wa kondoo.
Hapo nilipoweka red, Waraqa bin Naufal aliutolea wapi huo uwezo wa kumpa mtu unabii!?
 
Si ndio nikasema nyie makafiri uwezo wa kuelewa Haupo. Tunawajibu haya maswali yenu ya kipuuzi kwa sababu wengine wanapata faida.

Waislamu Mitume wao na MNABII WAO wametajwa Ktk QURAAN. Na hakuna Muislamu yyt mwenye uwezo wa Kumpa binaadamu yyt UNABII au UTUME!

Nyie WAKIRISTO kupeana UTUME na unabii Ni km KUMSUKUMA MLEVI.

Mtu MALAYA, muuza Unga, jambazi na mpuuzi yyt Akiwa na hela kidogo tu na anaweza Kupiga kelele ovyo ka mvuta bangi MNAMPA UNABII.

Matokeo yake Manabi wenu wanalawiti watoto wa watu kila siku kwa kisingizio cha KUWABARIKI!

Nyie subirini Moto km Yule Jamaa yenu aliyewambwa Msalabani.
Hamna Jinsi.

ukafiri Mzigo mzito mno. Kuutua inataka Jitihada ya AJABU!

Hivi wewe huna uwezo wa kujiuliza Nani kawapa nyie Nafasi ya Kuteua NABII na Mtume?

HIvi nyie huwa mnatumia Madawa ya kuharibu Kichwa?

Ajeeb!

Sikua nahitaji maelezo meengi ambayo hayana mantiki kwakuwa mimi wala sioni umuhimu wa mipasho,uneishia kwenye red tu na ningekuelewa

Sasa swali linakuja [kwa mujibu wa jibu lako kwenye red],Adam ni mtume wa nani,yaani alitumwa kwa akina nani?

Ni kwanini mitume wengine wote ni Wayahudi kasoro Muhammad tu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom