sikiliza somo zima hapa kwa lugha sanifu ya kiswahili.
Marko 10: 2 Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamwuliza, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe? Huku wakimjaribu.
3 Naye akajibu, akawaambia, Musa aliwaamuru nini?
4 Wakasema, Musa alitoa ruhusa kuandika hati ya talaka na kumwacha.
5 Yesu akawaambia, Kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwaandikia amri hii.
6 Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, aliwafanya mume na mke.
7 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe;
8 na hao wawili watakuwa mwili mmoja; hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.
9 Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.
10 Hata nyumbani tena wanafunzi wakamwuliza habari ya neno hilo.
11 Akawaambia, Kila mtu atakayemwacha mkewe na kuoa mwingine azini juu yake;
12 na mke, akimwacha mumewe na kuolewa na mtu mwingine, azini.
notabene: hajasema wakeze bali mkewe.(singula)
Pia usisahahu ndoa ya mwislamu ni "ndoa-mkataba" kapitie sharia za mirathi na kadhi uone. Ndio maana Mwisho wa siku mwanamke hapati urithi wa mumewe marehemu na akipewa anapewa gawiwo dogo sana. Ndio maana pia muhammad hakuona aibu kuwaambia kuwa wake zenu na watoto wenu ni maadui zenu, how absurd!! kwakuwa kwenu mke na mume si Mwili mmoja bali ni mkataba ambao utakuja kuvunjika. Ikiwa ni MWili wako it is obvious hauwezi kuuita adui. Ningeweza kusema na ni kama mdomo unaumba ama unalaani, manake inadaiwa mkewe kipenzi ndiye alikuyekuja kumlisha sumu mudi mwishowe. polygamy sucks