Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Utanisamehe kuingilia mazungumzo yenu ila imeniuma mno kusema far q all muslim,mkifanya mijadala msiingiz habr za udini mkaanza kututukana, we ni ------ mno, sidhan uelewa wako uko vema uko vema una elim gan we ---- mkubwa,waungwana nisameheni mno jamaa kaniudh s tabia yangu kutukana lakin kusema waislam wote wanafirwa halivumiliki broo tutakutafuta tu
 
1743733_229534820567969_2007922747_n.jpg
Duuhhh, hapa lazima wakimbie
 
Hamna kitu hapao zaidi ya ngonjera na twaswida zenu. Lete uthibitisho kuwa Allah ni Mungu bana na Allah wenu anasikiaje bila ya Masikio?

Lete jibu

Kaka sina Muda wa kukueleza jambo lilowaz na nimekufunulia hapo ktk Aya Juu na nikakuuliza nani ana dili na UUMBAJI?
 
Kaka sina Muda wa kukueleza jambo lilowaz na nimekufunulia hapo ktk Aya Juu na nikakuuliza nani ana dili na UUMBAJI?
Kijana mbona unakimbia majibu ya E Hazard? Si ulete aya ili yaishe? Kulazimisha hakukusaidii kitu zaidi ya kujaza aibu kweny Uislam wenu.

Anyways, pole kwa kushindwa kujibu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naomba uniwie radhi kama naenda nje ya mdaharo wenu
Nina dada yangu ambaye ni mkristu, amepanga kwenye nyumba moja hivi ya muslim, mwaka huu mwanzoni alijifungua mtoto wa kike nikaenda kumuona hapo alipopanga, nikawakuta wapangaji karibia wote(all of them are muslim) pamoja na mzee mwenye nyumba, mstaarabu sana huyu mzee (maybe for outward appearance)
Huyu mzee aliongea kauli moja ambayo hadi leo huwa najiuliza kama ina ukweli au laa
Ninam,QUOTE, "WATOTO WOTE HUZALIWA MUSLIM, LAKINI WAKRISTU HUWABATIZA ILI KUWAVIKA DINI YA UONGO"
Can you tell me how much this statement is true???
i'm not christian, i'm not muslim, don't call me atheist please because i beleave in one GOD

.made in mby city.

Bila kuomba Radhi mkuu.
Kwanza nataka nikufahamishe kuwa HAKUNA MKRISTO HATTA MMOJA AKAAMINI MUNGU MMOJA.!

Wewe Ukisema UNAAMINI MUNGU MMOJA basi Tayari UNAKUWA Sio MKIRISTO TENA!

Paulo Ambae ni Nabii wa UONGO anakwambia wewe Na WAKRISTO WOTE kuwa Kuna BABA, MWANA NA ROHO MTAKATIFU! Halafu anawachanganya kwa kusema hizi zote ni NAFSI MOJA!

Ukimuuliza MKIRISTO YYT kuwa KM Baba, mwana na ROHO mtakatifu ni KITU KIMOJA siku ile Yesu wa msalabani alipokufa SIKU TATU inamaana MUNGU ALIKUFA SIKU TATU? Wanakujibu eti aliyekufa ni Mwana Lkn BABA alikuwa HAI!

YAANI ni Upuuzi uliopita kiasi,

Tukirudi kwenye Swali lako.
Ni kweli kabisa kuwa jwa mujibu wa Uislamu Watoto wote wanazaliwa waislamu lkn Wakikuwa wazazi wao NDIO HUWABADILI DINI.
Ndio Maana WAKRISTO LZM Wawabatize watoto wao na kuwapa majina ya KIKRISTO.
Na ndio maana UBATIZO kwa maneno mengine unaitwa "KUZALIWA UPYA".

Dini Yenye KUAMINI MUNGU MMOJA NI UISLAMU PEKE YAKE.
 
Mkuu kwani wapagani wanazaaliwa upya? Na wahindu je? Na wengine kama budha nao ni Muslims?
 
Mkuu kwanza nashukuru kwa ufafanuzi wako, mpaka hapo nimepata mwanga kwa mnacho kiamini ninyi wenzetu muslim ukiachana na wale wenzangu wakristu
Ila mkuu naona umeongelea wakristu, inaonyesha wazi umenielewa vibaya

mkuu
Mimi siyo mkristu, kama ulivyosema kuwa wakristu wanaabudu miungu mitatu, quite different from, i do believe one GOD, so i'm not christian

Vilevile mimi si muslim because all muslim believe in allah, quite different from me, i believe in one GOD, so i'm not muslim too

I guess you got me mkuu

.made in mby city.
 
We jamaa unakaba watu vibaya mnooo

.made in mby city.

Napata picha kwa hawa watu mkuu. Ndo maana wakawa wanadai kuwa nchi hii INA idadi kubwa ya waislamu kuliki wakristo. Tageti yap kujivimbisha kifua ni kuwatumia had I wachawi na wapagani wengine wrote katika idadi yao. This is completely untrue. Wanafikiri kila mtu ni mfuasi wa majini kama wao. They are friends with devils and we are not. Wao wamezungukwa na majini mia tati kila mtu lakini sisi tuna ulinzi wa malaika
 
Kama viongozi wenu wa dini ndio hawa mnategemea nini?
 
Mkuu kwani wapagani wanazaaliwa upya? Na wahindu je? Na wengine kama budha nao ni Muslims?

Hizo imani ulizotaja hapo ZOTE zina desturi km Walivyo WAKRISTO.

Watoto wao wanapozaliwa Wakifikia UMRI FULANI wanatawazwa Rasmi na kuingizwa ktk IMANI hizo.

Soma kidogo mkuu utaelimika tu.
 
We jamaa unakaba watu vibaya mnooo

.made in mby city.

Mkuu unasema wewe unaabudu God Na Hauabudu Allah.

Nadhani kinachokupa tabu hapa ni LUGHA TU!

Hapo juu ni sawa na Kusema Wewe unamuamini GOD lkn Humuamini MUNGU.!

ALLAH ni neno la KIARABU kwa kiswahili ni MUNGU na kiingereza NI GOD.

Shule muhimu sana Mkuu.

Hata andiko lako linakwambia
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"!
 
Naona unachekesha watu kama kawaida yako...
 
Attachments

  • 1415641686938.jpg
    1415641686938.jpg
    59.1 KB · Views: 58
  • 1415641710986.jpg
    1415641710986.jpg
    49.4 KB · Views: 58
Kwakuwa ISA a.s alipenda kuwaambia kwa mfano ngoja nikupe Aya.. Kisha ng'amua we kondoo kuwa Allah alitenda haya kama mungu au?

Aya za 9 hadi 12 za Surat Fuswilat zinasema:¡°Sema: Je, kwa hakika mnamkataa aliyeumba ardhi katika nyakati mbili, na mnampa washirika? Huyo ndiye Mola wa walimwengu. Na akaweka humo milima juu yake na akabarikia humo na akapima humo chakula chake katika nyakati nne, ni sawa kwa waulizao. Kisha akaielekea mbingu na hali i moshi, ndipo alipoiambia (mbingu) na ardhi: Njooni mkipenda au msipende, vyote viwili vikasema: Tumekuja hali ya kuwa wenye kutii. Basi akazifanya mbingu saba katika nyakati mbili, na kila mbingu akaifunulia kazi yake, na tumeipamba mbingu ya karibu kwa mataa na kuilinda, hicho ndicho kipimo cha Mwenye nguvu, Mwenye kujua.¡±

Anae umba ni nani hapo Mtu au ALLAH?(MUNGU)

QURAN 92 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..

Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.
 
I swear to God, He never was a Muslim.
Christian's clam that Jesus is the messiah and their Survivor and god but take this into consideration:

1) Isaiah 45 and Zafanai3 shows that when the messiah arrives the world will unite under pure monotheism. No time in Jesus's life time did this happen.

Also, Christianity teaches that there are three gods (The Holy Spirit, God, and Jesus) that are one. Does that sound like pure monotheism to you?

2) Jesus said "Think not that I have come to abolish the law(Torah) and the prophets, I have come not to abolish them but to fulfill them. " - Matthew 5

* The Sabbath on SATURDAY is suppose to be an ETERNAL covenant but Christians do not follow that.

* Nor do ALL follow Circumcision which is also an ETERNAL covenant

*Nor do they celebrate Rosh Hashana or Yom Kippur

*Christmas or Easter was never mentioned in the OLD or NEW Testament, and these holidays have some origins of the Pagans.

* Also Christians does not eat kosher.

Jesus lied!, He did change those rules.

3) Also the Old Testament NEVER SAID THE MESSIAH WILL DIE FOR OUR SINS!

"Every man shall die for HIS OWN sin" - Deuteronomy 24:16

also NOWHERE The OLD TESTAMENT STATE THAT THE MESSIAH WILL HE A SECOND RETURN, And Christians claim Jesus will come back.

4) The Christian bible has been changed many times.

Here is the history of The "Bible" http://www.youtube.com/watch?v=xJHJMJqiiTY

5) Jesus broke one of the ten commandments.

"And it was the Sabbath day when Jesus made the clay, and opened his eyes." - John 9:14

"Observe the Sabbath day and keep it holy, as the Lord your God commanded you."-Deuteronomy 5:12

5) The Old Testament was MISTRANSLATED TO FIT WITH JESUS!

The Christian idea of a virgin birth is derived from the verse in Isaiah 7:14 describing an "alma" as giving birth. The word "alma" has always meant a young woman, but Christian theologians came centuries later and translated it as "virgin." This accords Jesus' birth with the first century pagan idea of mortals being impregnated by gods.

6) God is one! Not Three(Jesus, The Holy Ghost, and God!)

"Hear O Israel, the Lord our God, the Lord is ONE" (Deut. 6:4).

7) Jesus's name has an origin of the Devil.

When you pray to J-Esus, you are really praying to the Devil by his name Esus. BTW; Esus is the pagan, Satanic god of the Celtic Druids.

The Torah / Tanakh has been written the same since it was given to the Jews by Moses, also there was a witness of about 33,000 people who heard God speak saying "This is what I want you to follow"
Nime Quote hayo kuthibitisha dini yenu ni ya uwongo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom