Maisha yote ni utumwa, tangu unazaliwa

Maisha yote ni utumwa, tangu unazaliwa

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi
Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi
Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi
Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi
Kazini una amka saa 1 asubuhi

Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni.
Ni UTUMWA wa hali ya juu sana.
 
Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi
Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi
Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi
Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi
Kazini una amka saa 1 asubuhi

Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni.
Ni UTUMWA wa hali ya juu sana.
suluhisho ni nini mku?
 
Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi
Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi
Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi
Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi
Kazini una amka saa 1 asubuhi

Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni.
Ni UTUMWA wa hali ya juu sana.
utapumzika ukifa, kuna mtu amekulazimisha kuamka saa moja?
 
1751032391754.jpg
 
Mimi kazi sina lakini msala wa kuamka sa moja sijui sa ngap ni daily aiseee..

Just imagine huyu maza yeye kila.siku lazima sa 11 asbhi anakuamsha ili mshtue ile morning Glory baada ya hapo akisepa mi nalala kidogo tu naamka nakunywa chai naanza kuchek seson zangu..

Sa nane tisa hv akirud atapika tutakula then atalala mi nakua macho mpaka sa sita namwamsha nashtua kidg then hapo kulala sa nane...

Kiufupi kama ni utumwa basi mi ni baba lao
 
Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi
Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi
Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi
Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi
Kazini una amka saa 1 asubuhi

Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni.
Ni UTUMWA wa hali ya juu sana.
Achana nayo. Fanya kitu kingine
 
Kuna jirani yangu hufunga duka siku ya jumapili huwa namwambia tutapumzika kaburini. Duka langu ni kama kituo cha redio hakuna kufungwa.. 😃 😀 😄
Kabisa analala ili iweje , wakati baba yake kitu ameacha ni vikombe vya chai?
 
sijaelewa, ulitakaje labda kwa mfano? wamasai hawana hiyo routine unaweza kwenda kuishi huko kwenye manyata …
 
Back
Top Bottom