Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Kuwa Malaya baaasi... Utakuwa unaamua muda wa kuamka ili ukauze kDarasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi
Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi
Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi
Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi
Kazini una amka saa 1 asubuhi
Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni.
Ni UTUMWA wa hali ya juu sana.