Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Wewe lala, kwanini uwe mtumwa wa kuamka mapema? Hata watoto wako watapata haha sana maana huwezi kuwafanya watumwa.Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi
Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi
Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi
Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi
Kazini una amka saa 1 asubuhi
Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni.
Ni UTUMWA wa hali ya juu sana.