Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Kuwa Malaya baaasi... Utakuwa unaamua muda wa kuamka ili ukauze kDarasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi
Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi
Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi
Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi
Kazini una amka saa 1 asubuhi
Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni.
Ni UTUMWA wa hali ya juu sana.
😃 😀 si unajua kuna watu wanajifanya wakristo kuliko kristo mwenyeweKabisa analala ili iweje , wakati baba yake kitu ameacha ni vikombe vya chai?
Aisee pole sanaMimi kazi sina lakini msala wa kuamka sa moja sijui sa ngap ni daily aiseee..
Just imagine huyu maza yeye kila.siku lazima sa 11 asbhi anakuamsha ili mshtue ile morning Glory baada ya hapo akisepa mi nalala kidogo tu naamka nakunywa chai naanza kuchek seson zangu..
Sa nane tisa hv akirud atapika tutakula then atalala mi nakua macho mpaka sa sita namwamsha nashtua kidg then hapo kulala sa nane...
Kiufupi kama ni utumwa basi mi ni baba lao
Haswaaaa kama yesu demo yake ya kwanza ni maji kuwa pombe , njoo kwa walokole sasa😆😃 😀 si unajua kuna watu wanajifanya wakristo kuliko kristo mwenyewe
Nishaanza kuzoea mkuuAisee pole sana
Ila hapa mtoto nimezaa 😅Mimi kazi sina lakini msala wa kuamka sa moja sijui sa ngap ni daily aiseee..
Just imagine huyu maza yeye kila.siku lazima sa 11 asbhi anakuamsha ili mshtue ile morning Glory baada ya hapo akisepa mi nalala kidogo tu naamka nakunywa chai naanza kuchek seson zangu..
Sa nane tisa hv akirud atapika tutakula then atalala mi nakua macho mpaka sa sita namwamsha nashtua kidg then hapo kulala sa nane...
Kiufupi kama ni utumwa basi mi ni baba lao
NAKAZIA..Ukizoea Wala si utumwa
My momy miss you alot. ..mama ulikua wapi jamniIla hapa mtoto nimezaa 😅
Majukumu mwanangu, ngoja nije chemba uniambie vizuri kuhusu maza haus wako!My momy miss you alot. ..mama ulikua wapi jamni
haya ndo maisha unless atoe altenativePrimary unamka saa 11 kamili unajiandaa saa kumi na mbili kamili umeshafika shuleni unashika. Namba na usafi unafanya .
Saa mbili darasani mpaka saa sita mnaenda kula mchana mnarudi shule hadi saa 10.
SECONDARY hivyo hivyo kasoro 8 ndio mwisho baadae rokoo na prepo.
Chuo nilikuwa day naingia mchana natoka ijioni.
Kazini unamka kama primary saa saba lunch unaendelea na kazi hadi ijioni saa 12.
So nafuu yako
ahahahah jana ananiuliza kama nina brash ya chooni as if anataka kunipa..Majukumu mwanangu, ngoja nije chemba uniambie vizuri kuhusu maza haus wako!
Mimi naamka saa 11 kila siku na kuanza kuishi kifalme kuanzia mapema asubuhi.Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi
Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi
Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi
Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi
Kazini una amka saa 1 asubuhi
Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni.
Ni UTUMWA wa hali ya juu sana.
naam mkuu --- kazi haikwepeki --- maana ukikwepa kazi hata magonjwa nayo yanapiga hodiMimi naamka saa 11 kila siku na kuanza kuishi kifalme kuanzia mapema asubuhi.