Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 23,114 Reaction score 29,434 Jul 19, 2025 #41 jamaikatz said: Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi Kazini una amka saa 1 asubuhi Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni. Ni UTUMWA wa hali ya juu sana. Click to expand... Wewe lala, kwanini uwe mtumwa wa kuamka mapema? Hata watoto wako watapata haha sana maana huwezi kuwafanya watumwa.
jamaikatz said: Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi Kazini una amka saa 1 asubuhi Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni. Ni UTUMWA wa hali ya juu sana. Click to expand... Wewe lala, kwanini uwe mtumwa wa kuamka mapema? Hata watoto wako watapata haha sana maana huwezi kuwafanya watumwa.
Mbabani JF-Expert Member Joined Jun 20, 2022 Posts 2,556 Reaction score 7,398 Jul 19, 2025 #42 Castle_Lite said: Ayubu 14:1 "Mwanadamu anayezaliwa na mwanamke,Maisha yake ni mafupi nayo yamejaa tabu"÷ Click to expand... Kwani kuna mwanadamu hajazaliwa na mwanamke?
Castle_Lite said: Ayubu 14:1 "Mwanadamu anayezaliwa na mwanamke,Maisha yake ni mafupi nayo yamejaa tabu"÷ Click to expand... Kwani kuna mwanadamu hajazaliwa na mwanamke?
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 7,547 Reaction score 11,831 Jul 19, 2025 #43 Lavit said: kwani kuna mtu anakushikia fimbo? Click to expand... Maisha