Maiti kugoma kuzikwa mpaka mahari itolewe

Hiyo ndio habari ya mjini, wewe ishi na mtoto wa mtu haujamalizana na upande wa kwao, siku akikufa utalipa labda uombe utangulie wewe
Peaceful negotiation yaani vurumai lakufa mtu unasema huu ni msiba au vita
 
Kwenye msiba kweli kwann wasisubir
Wakusubiri wapi wakati hawakuoni ? Wengine wakichukua watoto wa watu ndio hivyo hakuna taarifa utakuta ndugu jamaa na marafiki wana hasira balaa hawachelewi kusema wewe ndio umesababisha kifo cha mtoto wao..., sio kwamba nakubaliana nao bali ni ushauri tu kwa wadau sometimes its easier to make it official... yasijekukuta ya kukuta..., yaani umeiba mtoto wao (bila kufuata mila zao) alafu unawarudishia maiti ?!!! lazima wakukomoe kwa hasira
 
Afrikan customs must be followed sisi kwetu ukitos mahari tunakupa uondoke nae
 
Sijakuelewa hapa ukitoa mahari you have made it official haujatoa mahari tena uamue kumzika huko unavyojua wewe bila kutoa taarifa siku ukija kuulizwa mtoto wetu yupo wapi ? Mkuu binafsi siwezi kufanya hivyo ila ninaelewa wazee hawa how they feel; kwao ni kama umeleta dharau, hauna tofauti na mwizi kama wezi wengine tu..., kumbuka mambo yamebadilika ila wazee wa zamani walikuwa na misimamo yao na ili kuepusha shari unafunika Kombe Mwanaharamu Apite....
 
Sasa hapo maiti imegomaje? Uko timamu kichwani kweli!
 
Kuna tukio nalo lilitokea kilombero morogoro la ajabu sana.
Baba wa binti alisafiri kutoka tabora hadi kilombero akiambatana na watoto wake wa kiume 2 kwenda kudai mahari iliyobaki kwa kijana aliyeoa binti yake na kwenda kuishi naye huko kilombero.
Kufika huko hawakielewana ukatokea ugomvi na vurumai yule baba na watoto wake wa kiume 2 kaka za binti aliyetolewa mahari nusu wakamshambulia yule kijana ambaye hakumalizia mahari na kwa bahati mbaya akafariki.
Wakakamatwa wakawa na kesi ya mauaji
 
😂Hela si the source of all evils
 
Sijakuelewa hapa ukitoa mahari you have made it official haujatoa mahari tena uamue kumzika huko unavyojua wewe bila kutoa taarifa siku ukija kuulizwa mtoto wetu yupo wapi ? Mkuu binafsi siwezi kufanya hivyo ila ninaelewa wazee hawa how they feel; kwao ni kama umeleta dharau, hauna tofauti na mwizi kama wezi wengine tu..., kumbuka mambo yamebadilika ila wazee wa zamani walikuwa na misimamo yao na ili kuepusha shari unafunika Kombe Mwanaharamu Apite....
Mahari ni muhimu kwenye tamaduni za afrika hata kama utafunga ndoa bila kushirikisha wazazi ikifika hii stage watakuja bila gadi wakupe.idadi kwa wastani
 
kwanini hiyo peaceful negotiation usiifanye wakat unamchukua binti wa watu
Kitu kishatokea busara ndo inakuja wakati huo nakubali kakosea ila sio kwa vurugu ile na kudhalilishwa yaani una uchungu unaongezewa na aibu
 
Back
Top Bottom