Maiti kugoma kuzikwa mpaka mahari itolewe

Tunarudi pale pale
-tafuta pesa V8 Sio gari za serikali
-Tafuta pesa hakuna chips za kushiba
- Tafuta pesa mahali ni sawa na zawadi na zawadi hailazimishwi.
 
Hakuna kitu kama hicho
Hizo ni siasa tuu.

Nchi hii kisheria hakuna sheria zinazotambua ukabila na mambo yake.

Ukabila ulikufa miaka mingi baada ya kuundwa kwa Tanganyika.
Ikiwa ndivyo kwa nini cheti cha ndoa ambacho ni mali ya serikali kinatambua ndoa za aina Ndoa aina tatu kikristo, Kiislam na kimila? Mila manake ni nini? Mwanafasihi hebu nijuze mila ya Tanzania ama Tanganyika ni ipi?
 
Hakuna kitu kama hicho
Hizo ni siasa tuu.

Nchi hii kisheria hakuna sheria zinazotambua ukabila na mambo yake.

Ukabila ulikufa miaka mingi baada ya kuundwa kwa Tanganyika.
Soma written laws act
 
Hakuna kitu kama hicho
Hizo ni siasa tuu.

Nchi hii kisheria hakuna sheria zinazotambua ukabila na mambo yake.

Ukabila ulikufa miaka mingi baada ya kuundwa kwa Tanganyika.
Sheria inatambua mila na desturi kwa sababu mfano kule kwa wahaya mwanamke alikuwa haruhusiwi kumiliki ardhi lkn sheria ikaikaa kwasababu inavunja sheria za nchi
 
Hakuna kitu kama hicho
Hizo ni siasa tuu.

Nchi hii kisheria hakuna sheria zinazotambua ukabila na mambo yake.

Ukabila ulikufa miaka mingi baada ya kuundwa kwa Tanganyika.
Customary law and Islamic law is established under section 9 of the Judicature and Application of Laws Act, Chapter 358 of the Laws of Tanzania [R.E. 2002] (JALA). These are sets of rules developed through customs, practices and/or usages of Tanzanian ethnic tribes and they are accepted by Tanzanian as binding rules. Umeona
 
Sheria inatambua mila na desturi kwa sababu mfano kule kwa wahaya mwanamke alikuwa haruhusiwi kumiliki ardhi lkn sheria ikaikaa kwasababu inavunja sheria za nchi

Hizo sheria za Mila ni zipi?
Je mahari ni mijawapo ya sheria hizo?.

So sheria inatambua ukabila?
 
Pesa ni mwanaharamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…