Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee kwangu vigeniNdiyo
Hicho kusimama kwa uume kabla hajakata roho ndiyo chanzo, kumbuka ikifikia hivyo tayari vitangulizi vya manii vilishatoka. Hivyo zipo njiani, alikata roho kabla hajatoka.Embu fafanua...
Na hizo shahawa zilitokaje?
Hicho kusimama kwa uume kabla hajakata roho ndiyo chanzo, kumbuka ikifikia hivyo tayari vitangulizi vya manii vilishatoka. Hivyo zipo njiani, alikata roho kabla hajatoka.k
kwa ninavofaham mimi moyo na ubongo hausimam apo apo....ila tasfiri ya tendo ni mrejesho baada mtu kuhis....je ni viungo vingapi vilivosimam kazi zake mpk ubongo ufanye kazi zote hizo....
Ngoja wajuvi wajeeena ndo maana halisi ya kuanzisha uzi huu kupata uwelewa zaidi
Mbegu za kiume zinaweza kusurvive kwenye halijoto ya kiasi gani?Hicho kusimama kwa uume kabla hajakata roho ndiyo chanzo, kumbuka ikifikia hivyo tayari vitangulizi vya manii vilishatoka. Hivyo zipo njiani, alikata roho kabla hajatoka.
shukrani mkuu....lakini katika majib yako hulenga kwa mtu yule aliekuwa amekufa ikiwa eidha yupo katka utayar wa kufanya mapenz ua katka tendo....lkni taarifa ni kwamba mdada huyo kufanya mapenzi na maiti mbali mbali si mjaJua kuwa mbegu X hukaaa masaa 72 kabla ya kufa na mbegu Y hukaaa masaaa 48 kabla ya kufa sasa hapa theory yangu ni hii hapa.
-> huyo marehemu inawezekana alikuwa ana matatizo ya moyo hivyo alipokuwa anafanya mapenzi pindi alipofika climax (kileleni) alifariki kwa mshtuko wa moyo jua kuwa moyo huongezeka mapigo pindi mtu anapokuwa anakaribia kumwaga na anapomwaga
Hivyo huyo maiti alishamwaga manii na alipofariki uume wake ulikuwa bado una chembe chembe za manii yale hivyo alipofikishwa mochwari jua kuwa mwili huwa hauwekwi kwenye freezer lile mpaka afanyiwe vipimo hivyo dada huyo alipoenda kufanya naye mapenzi manii yale yaliingia kupitia uke wake na kwenda kurutubisha yai (ina maaana alikuwa kwenye siku za hatari).
Na inavyoonekana alikuwa amegusanisha uume wa marehemu kwenye uke wake na jua kuwa si lazima uume usimame ndipo eti mimba inaweza kuingia as long as alishamwaga manii na baada ya hapo akawa in contact na uke wa huyo mdada basi mimba huingia.
sawa mkuu ila ukumbuke kuwa ubongo ndio huratbu matendo yote haya....ni baada taarifa ya mait kuisi rah katka tendo na kuleta msisimko zaid....sasa je umee umekuwa kokiNimeongelea iliyompa mimba mkuu na inavyoonekana kwenye ufanyaji wake wa mapenzi alikuwa anagusishana nyeti zake na za maiti
Mkuu haujanielewa hapo ni kuwa mtua akimwaga na kisha kufariki papo hapo kuna chembe chembe za manii ambazo huwa zinabaki na kutoka taratiibu baada ya kumwaga na huwa hazitegemei msukumo wa misuli hivyo hata kama uume ulilala basi zile chembe za manii zilizobaki huwe kunasisha mimbasawa mkuu ila ukumbuke kuwa ubongo ndio huratbu matendo yote haya....ni baada taarifa ya mait kuisi rah katka tendo na kuleta msisimko zaid....sasa je umee umekuwa koki
na hii upelekea mzunguko wa damu kwenda mara mbili katika uwalisia wake....na taarifa upelekwa katika njia tatu kweny ubongo kuisi kwa ngozi na msisimko wa kichwa cha uume na mawazo kisha taarifa hzo utasfiriwa na kufahm kuwa wew unapata raha....hivo kuziaanda mbegu hzo kwa ajili ya kutoka....na ukumbuke kuwa ni mzunguko mwengin unaofanywa kweny makende kuleta shahawa hzo.....je vyote hvo viko hai ikiwa umekufaNimeongelea iliyompa mimba mkuu na inavyoonekana kwenye ufanyaji wake wa mapenzi alikuwa anagusishana nyeti zake na za maiti
aaah mekupata mkuu sasa hoja yangu kuhusu maiti hiyo ambayo uandaa mbegu na kutoa mpk mimbaMkuu haujanielewa hapo ni kuwa mtua akimwaga na kisha kufariki papo hapo kuna chembe chembe za manii ambazo huwa zinabaki na kutoka taratiibu baada ya kumwaga na huwa hazitegemei msukumo wa misuli hivyo hata kama uume ulilala basi zile chembe za manii zilizobaki huwe kunasisha mimba